we ni kijana wa pekee then at same time mko sita unajua maana ya pekee?
au wakati wa kuandika ulishakuwa umekunywa vidonge vya cofta na juice ili u commit suicide softly??
all da best ...!
Umewahi kuishi nje ya Tanzania? Jaribu kubadili mazingira aisee, sometimes ni psychological problems ndio zinakusumbua. Pia mcheki Mzizi mkavu anaeza kukupa ushauri[/
Kaka hilo nalo laweza kuwa na ukweli ndani yake ila nasita kukubali moja kwa moja kwamba suala hili liko kwenye traumatic experiences and psychological aspects hapana sidhani kaka...I can feel something stranger within my body...enhee!!
POLE SANA NDUGU YANGU, KUOMBEWA NI SAWA, LAKINI WAOMBAJI HAWAWEZI KUWAPO NA WEWE KILA MAHALI NA KILA WAKATI, HIVYO ILI UWE SALAMA WAKATI WOTE, SIKIA NENO HILI,NAKUHAKIKISHIA TATIZO LAKO LITAKUWA LIMEGOTA MWISHO. TUBU DHAMBI ZAKO UOKOLEWE, ZALIWA MARA YA PILI = HAKUNA UCHAWI WALA UGANGA KWA WALOKOLE ( SIO WALE WA KUIGIZA) NJOO KANISA LA FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP - MWENGE -KWA ASKOFU KAKOBE -TATIZO LAKO LITAKUWA HISTORIA . NI PM TAFADHALI.
ndugu yangu hujaeleza tatizo...vingereza vingi lakini hujaeleza hasaa unashida gani.
Kama unaeleza kitu vizuri unaweza kupatiwa msaada pengine bure kabisa bila kutoa hiyo milioni moja unayoinadi.