Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
I'm too old for this bullshit you came up with. Ila ushauri wa bure jaribu kujenga hoja zenye kujenga, soma halafu bisha, ila usibishe bila kusoma utachekesha siku nyingine tatizo hili linaweza kukuta au hata ndugu yako ukawa umepata knowledge, ndio maana tupo hapa jf kuelimishana.

sokwe .... your mission is impossible

all the best
 
Last edited by a moderator:
Disko kaingia mmasai sasa mnavyojibishana mgonjwa anazidi kuwa hoi mjue sokwe relax
 
Last edited by a moderator:
sokwe .... your mission is impossible

all the best

Ndugu cortunix wewe ni mshari, mfitini, na mpenda magomvi kabisaa, inajidhihirisha jinsi unavyoitikia kwenye posti za maana za wenzio wenye mipango na malengo ya kunisaidia.

Naaanza kukasirika na kuhoji juu ya uzima wa akili yako na uwezo wa kureason kama great thinker mkongwe wa jf.

Pathetic!!
 
Last edited by a moderator:
mgonjwa ugua pole, naona watu wamekusahau wameanza kujibizana wao kwa wao tu badala ya kukusaidia
Ndugu cortunix wewe ni mshari,
mfitini, na mpenda magomvi kabisaa, inajidhihirisha jinsi unavyoitikia
kwenye posti za maana za wenzio wenye mipango na malengo ya kunisaidia.

Naaanza kukasirika na kuhoji juu ya uzima wa akili yako na uwezo wa
kureason kama great thinker mkongwe wa jf.

Pathetic!!
 
Mdogo wangu mungu akubariki sana! Wala hujarogwa Kama unavyofikiria wewe unasumbuliwa na sick house syndrome! You're allergic to mold, ni tatizo Hilo Hilo lilinifanya Mimi kuwa mgonjwa kwa miaka 2 nikakata tamaa ya maisha aliyenifungulia njia alikuwa mmarekani mwanajeshi mgeni ambaye alikuwa amehamishiwa kikazi hapa Japan aliniomba nimsaidie kumtembeza hapa Tokyo japokuwa Hali yangu haikuwa nzuri kiafya nilikubali bahati mbaya ktk kumtembeza niliishiwa nguvu na kuanguka! Alinisaidia kwenda hospital lakini nilishakwenda hospital zote kubwa hapa Japan na hakuna walichokiona, huyu kijana mdogo wa kizungu aliponiambia inawezekana unasumbuliwa na mold! Sikuwahi kusikia habari za mold ila nilivyokuja fanya research nikakuta Nina dalili nyingi sana, bahati mbaya madaktari wanaotibu Hilo tatizo sio wengi ila linatibika nilikwenda kutibiwa marekani Washington na nimepona kabisaaaa! Nitakupa dalili chache za mold unaweza ukawa nazo zote a upungufu au zaidi, headache, insomnia, anxiety, depressed, fatigue, night sweating, low sexual drive, low cortisol, anemia. Low white blood cell, irregular heart beat, confusion, poor concentration, blurred vision, lack of energy, bad dreams,poor digestion, cold hands and feet, feeling thirsty all the time, burning sensation, ears ringing e.t.c. Nina uhakika ndio tatizo lako, mold ni aina ya fungus ambao wana produce secondary metabolic inaitwa mycotoxins, kadili inavyozidi kukaa kwenye mazingira ya mazalio yake ndivyo inavyozidi kukufanya mgonjwa Kama una uwezo wa kwenda kutibiwa marekani nitakupatia namba ya simu na jina la huyo daktari, ila kwa sasa jambo la kwanza kufanya ni kuhama hapo unapoishi.
du !! mkuu huu ugonjwa ina maanisha tanzania hawajaujua hata hapo muhimbili? , kwa jinsi ulivyoelezea nahisi wachungaji wa kiroho wanatuvuna mawazo yetu, ndiyo maana wanasema mwisho wa kufikiri ndiyo mwanzo wa matatizo yako , naikubali sana hii kauli
 
mgonjwa ugua pole, naona watu wamekusahau wameanza kujibizana wao kwa wao tu badala ya kukusaidia

Asante mwaya!! Si huyu ndugu cortunix ndio amekuja kuchafua hali ya hewa na kughafilisha watu.

Naamini ni mtu mzuri pia cortunix.
 
KUNA MAGONJWA MENGINE YA KIZUNGUUUUUU kha!
sasa ugonjwa wa kupona kwa kuhama nyumbani ndo unakuwaje?
WEWE una shida hizi
-hujiamini
-unaamini kuna watu wengine wanatakiwa kufanya maisha yako yawe vile unataka
-mama yako anakuaminisha vitu vingiiiii kichwani ambavyo havipo
-una utegemezi wa kihisia
-hukubali kuwajibika juu ya matatizo yako
-una ndoto fulani na bado hujaona njia ya kuifikia
-nachelea kusema famili nyingi zenye mzazi wa kike amabye amenyanyaswa na upande wa kiume wa baba wa watoto wake aidha akiwa mjane au akiwa mtalaka hulea watoto kwa malezi ya aina hii!
KUJIHAMI KWNEYE KILA KITU!UNAJIHAMI MKA CHUMBA CHA MTIHANI!
too bad umeiacha au wameukuacha ukue nayo kwa miaka hiyo 19,HAWAKUKUTENDEA HAKI!

Wazazi hebu tuwaache watoto waishi maisha yao sio maisha yetu!
we mess with ours lets them have theirs afresh!
thread yako imenipa fikara sana!
 
for your info I now sense that sokwe and folk are the same culprits and agents of evil things
COMMENT YAKO IMENIPA JIBU KWANINI HII THREAD IMENIFIKIRISHA!
come to think of it

kijana atoke alikotoka aanze oh mimi nipo kwenye familia ya kimaskini?ila nina shida bla blah za sijui kitu gani ila atakayenisaidia nampa milioni moja? HAKUNA MAHUSIANO YA MILIONI NA ANACHOUMWA!NA UMASIKINI WAKE!

ghalfa kwenye thrad hiyo anatokea mtu anyejua huo ugonjwa ryty vere vere!na deatils kibao nilipokuwa japan,mzungu,nikaanguka,akanipeleka washngton na bla blah zingine mpka anafikia kutaka kumnunulia dawa?INAWEZEKANA LABDA MI NI MUOVU SANA KIASI NAAMNINI HAKUNA WATU WEMA!

ona dogo alivyo na mtii kwa jamaa!veeery veeery humbly submissive!
AAHAHAHAHAHHAA
ili tujae wengi sio?
WA KUMSAIDIA NA WA KUSAIDIWA?
halafu?
NYIE sokwe sijui folk HEBU KAJIPANGENI UPYA!
msituletee hizo za kimtego wa pembe za pofu hapa!
MNAVYOTIRIRIKA NA COMMENTS ZENU mnajichora zaid mnavyofikiria!
AHSANTE SANA @Cortunix
 
Last edited by a moderator:
Folk pamoja na maombi, na dawa za mzizimkavu kwanini usifuate ushauri wa sokwe kupeleka sample US? Amekuambia atakuunganisha na Dr. kuhusu kutuma sample inawezekana ukifuata utaratibu.

Huyo shetani au devil au mchawi, hutumia vitu vilivyoumbwa kukuroga; sasa huenda katumia hao fungus kukuletea yote hayo na Mungu hutumia watu kuleta neema, yaweza kuwa mchngaji au madaktari wa US.
Check na sokwe, amelikomalia hili kwakuwa anakuonea huruma kwani alikuwa kama wewe ndio maana anakuelewa kuliko sisi wemgine.

sweetheart hebu pitia hii thread tena!pitia tu,yani isome tena!puleeez!
niitie na Fixed Point
 
Last edited by a moderator:
Unajua watanzania tumejenga tabia za kupenda kupinga vitu bila hoja! Mtu yoyote aliyewahi kufuatilia post zangu nilishawahi kuandika niliwahi kuugua kwa kipindi cha miaka 2 nikiwa hapa Japan na nilikwenda kutibiwa Washington kwa kipindi cha Miezi 2, sikuwa namjua bwana folk! Lakini mungu ni mwema na anawafikia watu kwa njia tofauti sana, napata wakati mgumu kuelewa mnavyofikiria ivi hujawahi kuwa labda kuna kitu hukijui ila ktk kuongea na watu ikatokea mtu ryt away anakijua?ni rahisi watu ku judge kadili mnavyotaka kwasabab hayajakukuta yaliyiyonikuta, pili nafikiri uwezo wa kufikiri wa watu wengine ni mdogo sana, Kama unafikiri kila ugonjwa muhimbili wanaujua ni kituko, serikali inapeleka watanzania kutibiwa nje kila siku na hili pia hujui? Nimekuambia ingia mtandaoni usome kuhusu mold utapata picha ya kitu gani ninachozungumzia! Kusoma hutaki ila unataka tubishane! Ivi huwezi jiuliza unabisha kwa facts zipi!! Au fanya kujitolea tu nenda muhimbili kaulize Kama kuna daktari Ana fahamu na kutibu mold na kwa bahati nzuri watu wengi inaonekana wanasumbuliwa na tatizo hili kwani tangu nianze kulizungumzia watu wengi wamekuwa wakinitumia private msgs kwa ushauri! Ufikiri ni jambo jema kusaidia mtu mwenye shida na hasa kwenye tatizo unalolijua na limeshawahi kukupata!?Anatokea mtu from nowhere na kuanza kusema upo mwembepande! Unampa namba ya simu kuthibitisha ulipo, anakuita tapeli unamuuliza nimeshawahi kukutapeli? Au hata jamaa yake au ndugu yake! Hana jibu, anaruka watapeli wajapan!! Unajiuliza huyu mtu Ana matatizo gani kichwani hupati jibu, anaona kwenda marekani ni Kama mbinguni! Kumbe hata yeye akifanya jitihada atafika, nimesema someni kwanza kuhusu sick house syndrome na zipo za aina nyingi sio mold tu!!! Na amini hata kiumri ni mdogo na pengine ukali wa maisha unachangia,vinginevyo ni vigumu kufahamu huyu bwana Ana dhamira gani!!!
 
Anza nakusoma hizi link mbili.
Moldvictim.org na survivingmold.com
 
Again

guys beware of cyber crimes and internet thugs

these are upfront payment scams
 
  • Thanks
Reactions: T11
...aanza na kuchunguza nyumbani kwenu,trust me kwa kesi kama hizi mara nyingi mchawi yupo humohumo ndani yenu...
 
usiganganyike ndugu; ukianza kupont finger hutamkamata mbaya wako hata ck..hakuna binadamu mchawi Bali Luna roho za kichawi ambayo ni roho ya shetani;ambazo huwatumia wanadamu wengi Wao unwillingly; so adui yako ni shetani..
kwanza tubu na kuwasamehe wote unaowahisi kwamba ndo wabaya wako:then usiogope kabisa uchawi.. then urevoke uchawi kwa mane no ya ushindi na uzima..Fanya yote hayo kwa jina LA Yesu.I am afraid to say hutapata solution nyingine ambayo ni ya kudumu ya bure na rahis kama Hii. pm kwa msaada zaidi.
 
Coturnix, Sista, Rover Rider mangatara na Snowwhite ni watu wapumbavu sana kama Invisible anavyoshauri inabidi mfiche upumbavu wenu mwonyeshe hekima yenu...

Kama mtu hauna suluhisho kuhusiana na tatizo inabidi upotezee tu sio lazima kuchangia upumbavu au kuanza kushambulia wachangiaji bila ya suluhisho lenu mnaweza mkasoma thread tu bila ya kuchangia na yenyewe inatosha tu!

Watu wapo na shida na watu wapo wanafuatilia huu uzi sasa nyie mnapoleta upumbavu niwaeleweje mmeniudhi sana...
 
Last edited by a moderator:
Coturnix, Sista, Rover Rider mangatara na Snowwhite ni watu wapumbavu sana kama Invisible anavyoshauri inabidi mfiche upumbavu wenu mwonyeshe hekima yenu...

Kama mtu hauna suluhisho kuhusiana na tatizo inabidi upotezee tu sio lazima kuchangia upumbavu au kuanza kushambulia wachangiaji bila ya suluhisho lenu mnaweza mkasoma thread tu bila ya kuchangia na yenyewe inatosha tu!

Watu wapo na shida na watu wapo wanafuatilia huu uzi sasa nyie mnapoleta upumbavu niwaeleweje mmeniudhi sana...
tuheshimiane best sijakuita -------- mahali popote!
ukiona hoja yangu sivyo unavyoamini wewe pinga kwa hoja!
ukianza matusi hapa HUTAKAA ujue!
Ohooooooooooooooooo!nakuheshimu asee!
 
yaani mdogo wangu, kama ulivyoomba kule samare na mimi ndo naomba hapa. lisredi limeenda sana hata sijui nianzie wapi

ahahahha kule nako kuna mambo!lol
back to ze topic
soma post #189
unaweza kupata kamwanga!ila inanoga zaidi ukiisoma toka mwanzo!
hebu fanya hivyo utengeneze analysis yako mwenywe!
 
Nenda kwa viongozi wa dini, kama wewe ni Mkristo nenda katika vikundi vya maombi kwa makanisa ya kiroho. Na kama kweli umeenda mpaka kwa Mchungaji ila hukufanikiwa basi inawezekana wewe unataka Mungu ajibu sawasawa na mapenzi yako na sio kwa mapenzi ya Mungu. Biblia inasema 'Mungu hachelewi wala hawai kujibu' kwahiyo ulichotakiwa ni wewe na subira tu. Vilevile Mungu hapendi mtu wa kujichanganya yaani leo upo kanisani kesho upo kwa mganga, kama umeamua kwenda kwa Mungu nenda kwa Mungu na kama unaenda kwa Waganga kwenye Ushirikina basi nenda huko ila tambua hivi ni vitu viwili tofauti. Mungu ni Mungu, Ibilisi ni Ibilisi.

USHAURI: Mimi binafsi nimeshuhudia Mungu akifungua watu ktk kwenye uchawi kwa macho yangu, sasa nimekushangaa kuniambia kwa Mungu imeshindikana. Ni_PM nikupe namba za Mchungaji ili aangalie ni namna gani ataweza kukusaidia kupitia Mungu. Mungu anaweza ndugu yangu. Ubarikiwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom