At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

Hahahahaaaaaaaaa! WAMESAHAU KUSEMA WANAUME WENYE PESAAAAAAAAAA! Kama pu.mb hata beberu anazooooooooo, tena kubwa na nzito hatariiii! Uongo shogaaaaaaaaa? Hahahhaaaaaaaaaaaaa! Halooooooooooooooo!

Wala si utani shoga angu,
Kutwa wanawake wametugeuza big G, tuko midomoni,
Kwani wanawake bila wanaume hatuishi?
Watupishe sieeeeeeeeeeeeeee.
Kutoka ubavuni mwa Admu ndo imekuwa kero....hebuuuu wasambaratikie hukooooo.
 
.....

1.Dada unaongelea kipimo cha lita wakati bao moja hata kwenye kijiko halijai
2.Mfumo wa uzazi haujaumbwa kwa ajili ya kumeng'nya protein na kuzifyonza kuingia katika mfumo wa damu
3.Njia pekee rahisi yakuzipata hizo protein ni kama mhusika atazinywa kwa mdomo zipita kwenye mfumo wa uyeyushaji wa chakula kama inavyokuwa kwa vyakula vingine
ulivyoandika ni kinyume na watu wengi wanavyofikiria kwamba bao moja kwa moja humfanya mhusika anenepe

HUJANIELEWA. SOMA KWA MAKINI. unaonekana ni mtu wa uelewa wa juu juu. Listen ukisoma kwa makini maneno yangu nimeyaweka kwenye main points. Na kila point inabeba ujumbe mpana na kamili. Unahisi nilivyosema nyinyi mnatoa sisi tunapokea ni point iliyojitegemea ninauelewa na mmengenyo najua hauko kwenye via vya uzazi.
Yaani wewe umeunganisha pharases kama mtoto wa chekechea. maneno yangu yana lugha ya picha ndani yake. kunenepeana kunaweza kusimaanishe unene ila relaxisation e.t.c
Uwe unasumbua kichwa bwana siwezi kuandika kama mtoto kwa jinsi unavyotaka.
 
I beg to differ..kila mwanaume ni fahari ya mwanamke..inategemea mwanamke yopi. somebody might be your nightmare but he is some other woman's most valuable thing

kila shetani ana mbuyu wake..........
 
Umekosea sana kunifananisha na mwanafunzi wa chekechea.. siku nyingine unaopoandika vitu ambavyo ni scientific kama unahisi tu bila huvielewa bora uviache. yaani kunenepa = ku relax..inaonekana maisha yako yametawaliwa na myths hatari sana kama ndo unajua hivyo... any way ur IQ is to low to argue with me ..
 
I beg to differ..kila mwanaume ni fahari ya mwanamke..inategemea mwanamke yopi. somebody might be your nightmare but he is some other woman's most valuable thing
Aksante mkuu , mtu hawezi kuwa mbaya kwa kila mtu.
 
Umekosea sana kunifananisha na mwanafunzi wa chekechea.. siku nyingine unaopoandika vitu ambavyo ni scientific kama unahisi tu bila huvielewa bora uviache. yaani kunenepa = ku relax..inaonekana maisha yako yametawaliwa na myths hatari sana kama ndo unajua hivyo... any way ur IQ is to low to argue with me ..
Ndiyo maana hutaweza kuelewa, kwasababu unataka majibu tambarare 1+1=2....let say mtu kama wewe akiona rangi ya orange anaishia kuona rangi ya orange tu huoni rangi nyingine zilizondani ya orange. sishangai ukifananisha moja kwa moja kunenepa=ku relax
hakukuwa na science ya kutisha hapo ni ile ya darasa la tatu ndiyo niliyoitumia nafikiri hukuwahi kuelezwa (kuhusu shahawa) na mwalimu wako ndiyo maana mimacho imekutoka. Hata ku -google huwezi.Kwa jinsi unavyo respond vinanieleza wazi umri wako na elimu yako pia. UNAONGELEA low IQ yako ni mgando na kama una binti yeyote uko naye basi ana shida
 
Ila kwakweli mie mwenyewe nahitaji mwanaume maishani tu mambo ya kujifanya u single sijui nini hapana. I dont care about pesa wala nini.. ni mtu ataenipa furaha yaani hata kama how hard and stressful life is lakini nikiwa nae nione the world is a better place to live. Kuwa na mtu anaekupenda.. anaekuelewa na kukujali ni raha tu jamani....
 
Well said, and that is #Heaven on Earth
 
upo sahihi kabisa ingawa sina hakika kama mtoa mada alikuwa conclusive kwamna mwanamke anamhitaji mwanamme but mwanamme hamhitaji mwanamke, nadhani hakumaanisha hivyo.

actually, wakati mungu anaumba alisema tazama, kila kitu ni chema..the only thing alichosema si chema katika uumbaji wake wote alisema "its not good that man should be alone" so furaha ya mwanamke na ile ya mwanamme is "mutual dependent" single parents kuwa good ni maneno ya losers! watu waliofeli katika mahusiano

And that is the truth.
 
Umekosea sana kunifananisha na mwanafunzi wa chekechea.. siku nyingine unaopoandika vitu ambavyo ni scientific kama unahisi tu bila huvielewa bora uviache. yaani kunenepa = ku relax..inaonekana maisha yako yametawaliwa na myths hatari sana kama ndo unajua hivyo... any way ur IQ is to low to argue with me ..
Nina gloves hapa, worn-out but still efective... zinawafaa nyie two people.. maana naona mnaanza kuweka stance za judo..gloves ziko labelled "agreeing to differ"
 
lara 1

Kila jambo lina wakati wake jitahidi kusoma alama za nyakati na uishi kuendana nazo,ukifka wakati wa kuolewa automatically utajihisi haujakamilika,then you need somebody to hold you tight,some one who will always be there when you need him its just a matter of time.
Ni kweli ila siku hizi hawapo!!
Waliopo ni hao wanaotaka uwashukuru maisha yako yote kwa kuolewa nao, so usiku wewe ndio uwashikilie (siku wanayochagua uwepo standby) na uwe tayari muda wote when they need you!! wakitaka house girl uwepo 24/7, wakitaka ngono uwepo tayari, wakitaka show off kwa marafiki uwepo beautifully, wakitaka mkopo au grant uwe nayo tayari!!!

Bora upweke (upeke) mara elfu.
 
Kila mmoja wetu anahitaji upendo au kupendwa....ni jambo lenye kuleta hisia za kupendeza kuwa na mtu maishani mwako ambaye kwa upendo wake wewe unapata sababu ya kuishi na kuyatazama maisha katika hali ya kupendeza....kosa kubwa kwenye mapenzi ni kuviweka kwenye mzani mmoja MAPENZI na MALI...wakati mwingine tunatakiwa tuziache nyoyo zetu ziamue....kwani si kila wakati kwenye maisha tunahitaji fedha na mali kukamilisha furaha zetu..bali kuna wakati kuwa tu karibu na tuwapendao ni zaidi ya raha maishani...ni raha kwa sababu kila tukiwa nao na raha tuzipatazo tunajihisi kama tumeshapata kila kitu maishani
 
Back
Top Bottom