At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

KikulachoChako

Wanaume wote wangekuwa wanawaza na kufikiri kama wewe ndoa zingekuwa paradiso hapa duniani,kula like1000
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, maana kuna wanaume vichomi wake zao nyuso zao zinafubaa na kukosa nuru kila siku kwa majanga wanayopambana nayo

KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:
tunajinenepea

Hapo kwenye red umenikumbusha shangazi yetu mmoja alinenepa baada ya mjomba kufariki.akatwambia kuanzia alhamis anko alikuwa anaondoka nyumbani kurudi jumatatu jioni......michepuko michepuko na yeye...pombe pombe na yeye....mwanamke stress zikamjaa......ingawa anasema muda mwingine uwa anammiss mmewe....lakini mateso yalikuwa makubwa sana....sasa anafurahi maisha....anapendeza na kunenepa.....
 
Oh kumbe huwa tunapoteza protein ndo mana tunapungua. So unataka nambia tusiwe tunawatumia hata wake zetu kwa muda mrefu?
 
KikulachoChako

"Kutimiza mahitaji yake kwa wakati muafaka" kama huna ukaibe?
 
Last edited by a moderator:
"kutimiza mahitaji yake kwa wakati muafaka" kama huna ukaibe?
Kama huna hilo ni tatizo jingine.....lakini kiukweli kila mmoja wetu hujisikia raha endapo atapatiwa kitu alichokuwa akikihitaji kwa wakati muafaka......hebu chukulia una kiu cha ajabu lakini kabla hujatamka unaletewa maji ya kunywa..bila shaka ni jambo lenye kufurahisha....nafsi na roho.......
 
Wanaume wote wangekuwa wanawaza na kufikiri kama wewe ndoa zingekuwa paradiso hapa duniani,kula like1000

sema wanaume wote wangekuwa wanatimiza hayo yaliyoandikwa..

Ni rahis kutamka lakn nivigumu kutimiza kilichotamkwa.
 
Duniani hapa kuna wanaume wengine ni mauzauza na mabalaa tu, yaani bora ubebe gunia la misumari kuliko kuwa na mume wa aina hii. hakuna anae penda upweke ila inafika wakati inalazimu mtu kuona bora uishi mwenyewe kuliko kubeba zigo la misumari kichwani.
 
Umetisha ndugu, nimekukubali big up

Asante Faith, ni wajibu wa kila mmoja wetu kupinga hiz effect za utandawazi kwa watu kujiona wako huru kuliko Mungu alivyokusudia.
 
Back
Top Bottom