RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,846
- 137,085
Sio ngumu kuwapata ikiwa wewe utaamua kuwapata.......
Theoretically unafikiri kuna asiependa mke/mume wa kwenye kitabu kama huyo?
Sio ngumu kuwapata ikiwa wewe utaamua kuwapata.......
Asante kwa maoni yako,hawatimizi halafu wakiamua kuishi peke yao basi wataongea hadi basi hadi unajuliza haya maneno yanasemwa na mwanaume ausema wanaume wote wangekuwa wanatimiza hayo yaliyoandikwa..
Ni rahis kutamka lakn nivigumu kutimiza kilichotamkwa.
eemwaaa gwakukajha
Duniani hapa kuna wanaume wengine ni mauzauza na mabalaa tu, yaani bora ubebe gunia la misumari kuliko kuwa na mume wa aina hii. hakuna anae penda upweke ila inafika wakati inalazimu mtu kuona bora uishi mwenyewe kuliko kubeba zigo la misumari kichwani.
Na kwako pia mtani........mtani jumatatu iww njema kwako
Moyoni wengi wanatamani lakini lakini kiuhalisia wanashindwa kuwapata kwa kuwa mazingira yao na mfumo wao wa kimaisha unawaweka mbali na watu hao wanaowahitaji....mfano wewe unaweza kuwa una ndoto za kuoa mcha mungu lakini kama kutwa nzima unashinda bar na mcha mungu anashinda kwenye nyumba za ibada sidhani kama kuna uwezekano wa kutimiza hitaji la moyo wako...kama usipoamua kubadilika na kuenenda sawa na mazingira ya mcha mungu unayemtaka.........theoretically....unafikiri kuna asiependa mke/mume wa kwenye kitabu kama huyo??
Asante nawe kwa kunielewa......Baraka pia zikurudie.....Uwepo wako eneo hili umenibariki sana, Asante kwa kusema ukweli.
Wanaume tuko wachache sana, wengine kwa muonekano ni kama wanaume lakini ni mashoga na mitarimbo yao ni kama mpira wa kumwaga mkojo tu
ulinkhafu kalumbu.
Ndinkafu.... Nungwe???