At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

How ? mama na baba na ndugu wengine home kama ni hivi yes
kama mume na watoto nipo njiani
Nilikuwa namaanisha kuwa una mji wako....??......kwa lugha nyepesi ni kuwa umeolewa...???......kama bado upo safarini nakutakia safari njema.....na uwe makini na abiria wako......
 
bhule bhule nkhale fijo? Papo ngubhona kubhalaumu fijo abhanyanmbala.

Alipo umnyambala ghwangu jhumo, kaka ghwake miss chaga aisee akamnyambala, umnyanmbala kufwana alinikighiri, alinamahelu, kukoma bhakikulu, ihela syosa kubhuka nasyo kunwa ubhulwalwa, po ukuti ujhu alimnyanmbala gwa niniegha dada ghakwo????????? Hapana aiseee!!!! nilichapa lapa nikasema huo msalaba ajaribu mwingine.
 

Msubiri Lara 1 anakuja kukujibu

Ngoja waje wenyewe

Kila jambo lina wakati wake...jitahidi kusoma alama za nyakati na uishi kuendana nazo...ukifka wakati wa kuolewa automatically utajihisi haujakamilika...then you need somebody to hold you tight...some one who will always be there when you need him......its just a matter of time......

HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! Huku kwetu watu wanaolewa na kuachana kila saa, kama wanamtania Mungu tu. AINT NOTHING SPECIAL ABOUT MOST MARRIAGES I SEE.

Some one who will always be there when you need him my foot. What if my perspective changes, i am tired crowling i wanna fly? What if i dont need him anymore??????????

Its true about TIME, Yaani binti usipokula bata mpaka kuku waone wivu while you are in your late teens and 20s IT IS OFFICIALLY OVER YOU. Huko mbele hata kudra hazitokusaidia. Imagine you have an 80yrs life time! WHAT IS WRONG WITH WASTING 20 OUT THE 80???????? See my point?
 
Ukisoma hii sredi kwa makini utaona kila upande unalalamikia upande wa pili

Ila yote tisa, kumi ni hapo mposhadadiaga mambo ya kugegedana utafikiri ndo msingi hasa wa ndoa, yaani suala la uzinzi linaonekanaga la kawaida sana wakati ndo linaongoza kuvuruga mahusiano
 
Humu mtaongea meengi mazuri, kwenye vitendo sasa daah, uchafu mtupu!! uzinzi sijui michepuko ndo imewashinda kabisaa, tena walioko kwenye ndoa ndo usiseme!!!
 
Si kila mwanaume ni fahari ya mwanamke bali ni yule mwanaume anayetambua thamani ya mwanamke na kujua kuwa mwanamke anataka nini na kwa wakati gani na kumtimizia kwa wakati muafaka mahitaji yake...ni yule mwanaume anayemuheshimu mwanamke si tu kwa uanamke wake bali tu kwa mazuri anayomtendea.....ni yule anayejua kuwa mwanamke ni malikia na anaonyesha umalikia wake kwa vitendo......

Uwiiii NIMEKUPENDA
 
Naunga mkono mada;nimesoma komenti nyingi za wadau mbalimbali.Wengi wanalaumu jinsia iliyotofauti na yake!Tunasahau kwamba MALEZI NA MAKUZI ndio yanayo muunda mtu kuwa mume/mke mzuri.MFano unakuta kijana wa kiume ana pigana,tukanana na mzazi wake,au wazazi kutetea maovu anayofanya kijana wake labda uwizi ,uma.layan.k.Usitarajie mtu huyu kuja kuwa mume/mke mwema.......sahau.JE KTK MALEZI YA M/WATOTO WAKO WEWE KAMA CO~PARENT AU SINGLE PARENT UNAMUANDAAJE KUJA KUWA MWENZA MWEMA?
 
Mtoa mada unashangaza unapoangalia upande mmoja. Umeshajiuliza kama wewe unaweza ishi bila mwanamke? Na wewe pia unajisikia raha unapokuwa na kiumbe cha kike infact huwezi kuishi bila mwanamke huwezi! si bora wanawake wanajaribu kuendesha familia zao wenyewe nyie mnaweza. kwa hiyo usijishaue bure kwa kuwa kila mtu anamuhitaji mwenzie.
Kinachotokea wanawake kuamua kuishi peke yao ni kuwa wamekosa upendo ule mlioamuliwa kuwapenda hao viumbe mmekuwa waongo na wadanganyifu kwao that's why

upo sahihi kabisa ingawa sina hakika kama mtoa mada alikuwa conclusive kwamna mwanamke anamhitaji mwanamme but mwanamme hamhitaji mwanamke, nadhani hakumaanisha hivyo.

actually, wakati mungu anaumba alisema tazama, kila kitu ni chema..the only thing alichosema si chema katika uumbaji wake wote alisema "its not good that man should be alone" so furaha ya mwanamke na ile ya mwanamme is "mutual dependent" single parents kuwa good ni maneno ya losers! watu waliofeli katika mahusiano
 
Hahahahaaaaaaaaa! WAMESAHAU KUSEMA WANAUME WENYE PESAAAAAAAAAA! Kama pu.mb hata beberu anazooooooooo, tena kubwa na nzito hatariiii! Uongo shogaaaaaaaaa? Hahahhaaaaaaaaaaaaa! Halooooooooooooooo!

alkuja kumbe?duuh ngoja nikatafute pesa!
 
Alipo umnyambala ghwangu jhumo, kaka ghwake miss chaga aisee akamnyambala, umnyanmbala kufwana alinikighiri, alinamahelu, kukoma bhakikulu, ihela syosa kubhuka nasyo kunwa ubhulwalwa, po ukuti ujhu alimnyanmbala gwa niniegha dada ghakwo????????? Hapana aiseee!!!! nilichapa lapa nikasema huo msalaba ajaribu mwingine.

hahahaaaaaa!! Pole kalumbu!! Lelo bhobhakaja bhosa. Kila nnyambala alinindumbula jake.

Mma amasiku agha lwakunsuma kyala itolo..

Linga gwalinkenja nakwegaga une
 
I beg to differ..kila mwanaume ni fahari ya mwanamke..inategemea mwanamke yopi. somebody might be your nightmare but he is some other woman's most valuable thing

kikulachochako kamaliza yote msome hapo juu
 
hahahaaaaaa!! Pole kalumbu!! Lelo bhobhakaja bhosa. Kila nnyambala alinindumbula jake.

Mma amasiku agha lwakunsuma kyala itolo..

Linga gwalinkenja nakwegaga une

Hahahaha!! mwee!! loli ujhobhile sya naloli.
Une dada ghwako tukufuma ikolo kimoja pa kyela ghwe mwana ughwe.
 
Hahahaha!! mwee!! loli ujhobhile sya naloli.
Une dada ghwako tukufuma ikolo kimoja pa kyela ghwe mwana ughwe.

chobha leka esyo ukamanya ukhuti zimwi likujualo..... Po kikoja kanunu fijo
 
Humu mtaongea meengi mazuri, kwenye vitendo sasa daah, uchafu mtupu!! uzinzi sijui michepuko ndo imewashinda kabisaa, tena walioko kwenye ndoa ndo usiseme!!!

Uko sahihi...maneno mengi blah blah kibao kwenye real life majanga tu!
 
Back
Top Bottom