habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya kutwa. Jamani hebu tusaidiane kwa hili, kwa asilimia kubwa baadhi ya wanaume hupenda kuchelewa kurudi nyumbani, hivi ni muda gani ambao mwanaume anapaswa awe amefika nyumbani baada ya kutoka ktk mihangaiko ya maisha.
Naamini nitajifunza kitu hapa. Thanx
Naamini nitajifunza kitu hapa. Thanx