At least amechelewa sanaaaa arudi saa ngapi

shosti usinielewe vibaya...
Si maanishi mwanamke asimwambie mumewe hayo mazungumzo..

Ninachesema mwenzio akirudi amechoka mpe space kwanza....

Mbona nyie hamtupi space tukiwakuta mmetangulia nyumbani. kwa hiyo muda gani unafaa mpewe ili niweze kuongea na mume akirudi home?
 
shosti usinielewe vibaya...
Si maanishi mwanamke asimwambie mumewe hayo mazungumzo..

Ninachesema mwenzio akirudi amechoka mpe space kwanza....

Tupeane space wote na wewe sio uwahi kurudi uanze kero zako oohh nataka hiki na taka kile aahhh babu eeehh hata mie nimechoka ati??? Njoo soma magazeti yako angalia news utulie bila kuanza usumbufu wako
 
wanawake kabla ya kuolewa huwa wanaficha
their true colors....

Huwajui mpaka uwaweke ndani...ndo unawatambua...
wanaume je,ningekujua msoma magazeti hodari naolewa nawe ili iweje...nyie ndo mkiwa mwataka chauvunguni mwainama kwelikweli:hand:
 
mbona nyie hamtupi space tukiwakuta mmetangulia nyumbani. Kwa hiyo muda gani unafaa mpewe ili niweze kuongea na mume akirudi home?

mda hata saa moja hivi..
Sasa wewe ukirudi na unakimbilia moja kwa moja bafuni....lazima nikuulize umetokea wapi

au nywele zimevurugika...nisikuulize?????
Au umekunywa pombe lazima nijue ulikunywa na nani...
Na gubu litakuwa kubwa tu..
 
Mwanaumw anayewahi kurudi nyumbani ana mambo huyo.
Mwanaume akiwahi kurudi home ugomvi sana home, ndio maana kuna, baa, vijiwe vya kahawa nk,
Will be back

Umenikumbusha kuna siku tulikuwa tunapata moja baridi, mwenzetu akaaga mida ya saa mbili usiku kuwa anawahi nyumbani. Mara akarudi tena bar mida ya saa nne usiku akisema ameamua kurudi b'se home hakukaliki.
 
Tupeane space wote na wewe sio uwahi kurudi uanze kero zako oohh nataka hiki na taka kile aahhh babu eeehh hata mie nimechoka ati??? Njoo soma magazeti yako angalia news utulie bila kuanza usumbufu wako

Soma magazeti? Kuna utata hapa. News wataangalia saa ngapi wakati na wewe unataka kuangalia vile vipindi vyako? Labda ndio maana wanaangalizia news na JF huko huko kabla ya kurudi. Awahi halafu aperuzi mbele yako JF jukwaa la mapenzi na urafiki?
 
Umenikumbusha kuna siku tulikuwa tunapata moja baridi, mwenzetu akaaga mida ya saa mbili usiku kuwa anawahi nyumbani. Mara akarudi tena bar mida ya saa nne usiku akisema ameamua kurudi b'se home hakukaliki.

Wanaume hawawezi kuvumilia kelele za watoto home bana tusidanganyane. Mie nakumbuka mdingi alikuwa akiwahi kurudi anaingia chumbani hatoki mpaka kesho maana akija tu sebuleni lazima ataanza kusema wewe umeoga, mmekula, banda la kuku limesafishwa, nje kumefagiliwa, bustani imemwagiliwa maji, mbwa kashafunguliwa yaani ni taabu mtindo mmoja sasa kuepusha hayo alikuwa hatoki chumbani
 
Soma magazeti? Kuna utata hapa. News wataangalia saa ngapi wakati na wewe unataka kuangalia vile vipindi vyako? Labda ndio maana wanaangalizia news na JF huko huko kabla ya kurudi. Awahi halafu aperuzi mbele yako JF jukwaa la mapenzi na urafiki?

EMT mie mwanaume anayewahi kurudi home simtaki na sina wa hivyo kero tu tutaleteana
 
mwanamke yeyote hampendi msoma magazeti,hata kama hakuambii yaaani kooote huko yalikuwa hayasomeki mpaka nyumbani...taratibu jamani:rain:

nilikuwa sijui aisee....thanx.......
Nitaacha now
 
tupeane space wote na wewe sio uwahi kurudi uanze kero zako oohh nataka hiki na taka kile aahhh babu eeehh hata mie nimechoka ati??? Njoo soma magazeti yako angalia news utulie bila kuanza usumbufu wako

wewe unafaa kabisa kuwa wife wangu...
 
gubu ni kumsumbua mumeo na matatizo yako..

Mfano mwenzio amerudi unaanza ooho ile pesa ya asubuhi niliyokuambia
ipo wapi?

Mara sijui nani alikuja kasema upuuzi gani....

Na mazungumzo yeyote yasiyo na maana.....

Wanaume tukirudi nyumbani kwanza tunataka space....
Na ukimya wa mda fulani hivi.....

Unasoma magazeti na kubadili channel za tv huku unawaza taratibu....

The last thing unachotaka ni mwanamke asie jua kunyamaza..
..

Space.....magazeti.....channel za Tv......huwezi saidia kazi za nyumbani? wewe ndo umechoka zaidi au?
 
wewe unafaa kabisa kuwa wife wangu...

Kweli eehhh???

Tuambizane ukweli jamani wanaume akiwahi home noma sana bana wasumbufu kweli kweli mara hiki mara hiki aahh basi tabu mtindo mmoja.

Hebu kaa na wanaume wenzako muongee mambo yenu urudi home uoge, ule ukalale yaishe mambo ya kuanza kubughuziana bana mie hapana aisee. Mie kwanza akiwahi kurudi naumwa kichwa kabisa nakwenda kulala maana huo usumbufu wake utalala hoi
 
Kama anatoka kazini saa kumi na mbili jioni kwanini aje saa nane za usiku nyumbani,ni vizuri kufika nyumbani muda ambao unajau mtapata chakula cha jioni pamoja na familia yako,siyo mpka watoto wakusahau maana usiku wa manane ndiyo unarudi na asubuhi ndiyo wa kwanza.
Siyo kuwapa nafasi ya kwanza unaokuwa nao baada ya kutoka kazini badala ya familia yako
 
Back
Top Bottom