Asubuhi kuna karibia

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
366
Reaction score
721
Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma.

Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa kuomba kwa habaro ya Nchi.

Mtumishi wa Mungu Mwl Mwakasege alitufundisha faida 7 za kuombea nchi na faida kubwa ambayo imebeba faida zote ni kujenga uhusiano wako na Mungu kwa njia ya Maombi.

Tulijifunza kwa njia ya maombi ya Nchi Muombaji unapata faida ya kujenga usiano na Mungu na faida zingine ni pamoja na.

Kuwa contact personal wa Mungu duniani, unapewa nafasi na Mungu ya kuwa mtu ambaye Mungu akitaka kufanya jambo juu ya Tanzania kukushirikisha maoni na mipango yake

Pia tulipata kujifunza juu ya changamoto za waombaji kwa kuomba kwa kuangalia habari za mitandao ya kijamii

Changamoto hizo ni kuomba kwa kuangalia mazingira ya sasa badala ya kuomba kwa kusikia kutoka kwa Mungu, Maombi ya mihemko kila unachoskia kwenye mtandano unakwenda kuomba

Mwisho Mtumishi wa Mungu alitupata nafasi ya kuitikia wito wa kuomba kwa ajili ya Nchi yetu na ni Miongoni ambayo tulikubali wito wa kuomba kwa ajili ya Nchi yetu ya Tanzania.

Mwalimu alitutia moyo na Neno la Bwana unapoona usiku umekwenda sana ujue asubuhi inakaribia

Karibu katika wito wa kuomba kwa ajili ya Tanzania

Kama uko tayari kuomba kwa ajili ya Tanzania tafadhari pokea maombi haya

Ee Mungu Baba , Niko Mbele zako Mimi Mwenye dhambi naomba unisamehe , naomba unirehemu dhambi zang7 zote , nilizozifanya kwa kuwaza kwa kutenda, futa jina langu kwenye kitabu cha hukumu , na handika jina langu kwenye kitabu cha uzima ,, Ee Bwana nimeskia Neno lako kwambs unatafuta mtu ambaye atasimama kwa ajili ya Tanzania kuomba ili mapenzi yako yatimie juu ya Tanzania, Ee Bwan niko tayari kuitikia wito, nito tayari kuwa askari Mlinzi kwa ajili ya Tanzania , Ee Bwana nina kubali wito wa kuomba kwa ajili ya Tanzania niko tayari unitumie jinsi unavyotaka kwa ajili ya Nchi yangu Tanzania
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…