Assume: Muungano umevunjika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Assume: Muungano umevunjika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chanya, May 11, 2011.

 1. C

  Chanya Senior Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati hali ya muungano ikiwa tete hebu tuchukulie umeshavunjika alafu mchakato wa kugombea uwakilishi visiwani utakuwaje wale wa kule vs wa jamhuri si patakuwa hapatoshi au watakata tena yaongezeke majimbo ya uwakishi kwa hili naona bora watatue kero za muungano mana ukivunjika wengine wakirudi kule watakosa pa kugombea na kukalia benchi....ni mtazamo tu
   
 2. m

  mob JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  kwanza citizenship itakuwaje
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Itakua furaha sana,..kupata jina la nchi yangu tena!
  Tanganyika
   
 4. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Sasa Mkuu ukishavunjika huo unaouita "muungano", unazungumzia jamhuri ipi tena?
   
 5. M

  Magezi JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Binafsi sioni faida ya kuwa na muungano kwani unaendeshwa kwa usanii tu.
   
 6. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Shein aliogopa kuja Dodoma juzi, aliogopa yaliyomkuta Jumbe? aogope nini naKikwete anaiunga mkono Zanzibar kwa inavyodaiwa na mzalendo.net?
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Chanya.
  Muungano ukivunjika kila nchi na kila mwananchi, kila mtu atarudi katika uhalisia wa siasa, uhalisia wa maisha.

  Kwa wa "visiwani" kama hii unamaanisha Zanzibar hao wabunge watakaorudi kwao wanaweza kuchaguliwa kuwa mabalozi wa Zanzibar nje ya nchi au UN au katika regional bodies nyengine kwa wale wenye sifa na uwezo wa kazi...lakini wanaweza kuamua kuchukua uraia wa Tanganyika.

  Kama speaker post #3 alivyosema Tanganyika inarudi na siasa za "kujivua magamba" itabidi zikome, siasa za usanii, janja na mazingaombwe na sababu za "kiintelijensia" zitakuwa zimepatiwa dawa.

  Lakini la faida kuu ni kwa wananchi wa nchi mbili, nchi ya Tanganyika kujua nani wa kumkabili, wa kumshushia ghadhabu zao, kwani viongozi watakuwa ni viongozi wa Tanganyika na sio kama sasa kujifanya wao ni viongozi wa Tanzania, nchi ya kufikirika tu kitu kinachowafanya kutokuwa na uchungu na nchi na maliasili zake.

  Na wananchi wa Zanzibar nao hawatapewa tena sababu za "muungano unaibana Zanzibar". Viongozi wa huko wasipowajibika watakumbana na ghadhabu ya wananchi, huenda wakatiwa moto kama vibaka.

  Chanya, Muungano ukivunjika itakuwa hakuna tena shamba la bibi .Tanganyika itakuwa na wenyewe,wananchi wa nchi ya kikweli Tanganyika.
  Kufufuka kwa Tanganyika itakwenda sambamba na kuwa na katiba mpya ya Tanganyika ambayo katika kuandikwa kake itahakikisha kiongozi mzembe anawajibishwa anaposhindwa kujiwajibisha. Sheria ya upokeaji rushwa na ufisadi itakuwa kama hukumu ya China.

  Mimi naona unachelewa mbona kuvunjika?
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Sijui kwanini napenda jina TANGANYIKA natamani lirudi
   
 9. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamna wa kupandisha humu lakini hayo maneno yako yanakusuta maana ni wewe unaetukana kama shoga.

  Kama huwezi kujadiliana kistaarabu si uende ukacheze mchiriku Mkuu?

  Mtu mzima mwenye akili yake timamu hawezi kuzungumza kama hizi zako wewe.

  Mimi niliamini JF ni forum ya GT, kumbe na m... wapo?

  Pole sana Mkuu, wengine hatukuzoea matusi lakini na wewe jifunze ustaarabu.
   
 10. C

  Chanya Senior Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Onh! Pharaoh shauri yako, mabalozi wapo watateuliwaje wengine sio kwamba wabunge kutoka zanzibar watamwagiwa kitumbua mchanga ndo mana sijasikia wabunge wa huko wakiomba uvunjwe pia ukivunjika si ndo mwisho wa CUF kuwa kama jahazi asilia mana bara wano kama 2 wamagamba nao watapata hasara lakini unawatesa watu huu muungano inafika time tuseme ZANZIBAR NA MAFUTA YAO TANGANYIKA NA MADINI YAO LILIKUFA AZIMIO LA ARUSHA VIPI MUUNGANO
   
 11. C

  Chanya Senior Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nazungumzia wabunge wanaotoka zanzibar katika bunge la jamhuri ukivunjika si watakosa ulaji wataenda vijiweni ndo mana siwaskii kuomba uvunjwe
   
 12. C

  Chanya Senior Member

  #12
  May 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nazungumzia wabunge wanaotoka zanzibar katika bunge la jamhuri ukivunjika si watakosa ulaji wataenda vijiweni ndo mana siwaskii kuomba uvunjwe pindi,rashid,khatib, wataenda wapi na majimbo yamejaa au watakuwa na mabunge mawili kama USA
   
 13. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tutakuwa na jamhuri ya Tanganyika, It sound so nicely to be called The Republic of Tanganyika
   
 14. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chanya
  Muungano ukivunjika kwa Wazanzibar nifuraha tupu na sherehe kem kem a) b) kurudisha Tanganyika nyenu sio kuvunja Muungano, nikurudisha historia ya nchi yenu mulioipigania uhuru na kuitolea jacho.

  Kuhusu wawakilishi wewe lisikushuhulishe hilo hio ni kazi ya Wazanzibar wenyewe kujipanga safu yao? lamuhimu kwako ni kuirudisha Tanganyika yenu na kuashana na kungagania Muungano ambao kwa Wazanzibar ni uharo wa Bata wenye kunuka.
   
 15. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #15
  May 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Mkuu Chanya.

  Hao hata siku moja hawasemi uvunjike at least not publicly.

  Ndio wanaofaidi hayo matunda ya "muungano" huu kupitia migongo yetu na wengi wamewekeza huko kwenu na wengine kuoa dada zenu.

  Ukivunjika (na naomba sana uvunjike), watarudi vijiweni kwetu na kujichekesha chekesha tu.

  Tutawaombea uraia huko, najua hamtakataa Mkuu.
   
 16. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hapo Mkuu umenena vyema.
   
 17. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Written by Nassor | 11/05/2011

  [​IMG]
  Tanganyika tuipendayo umetukosa nini?

  Hivi sasa kuna kila sababu za kurudishwa Tanganyika ili kuja kusimamia mambo ya Tanganyika yasio ya Muungano ili kuondosha utata wa kila upande kuhisi unafaidika zaidi na Muungano?.

  Ikiwa tunataka Muungano uimarishwe na uenziwe nilazima Tanganyika irudi, kama Watanganyika watakataa kurudi kwa Tanganyika yao kuja kusimamia mambo yao yasio ya Muungano basi hata mimi nitaungana na wenye kuvunja Muungano.


  Nikweli haingii akilini kuwa wenzetu wa Tanganyika wanasema kuwa Zanzibar ipo lakini Tanganyika haipo? lakini chakushangaza nikuwa hawaitaji wala kuisikia Tanganyika yao kama vile hawaitaki au kuwa na haja nayo tena.


  Cha kujiuliza Tanzania na Tanganyika ipi yenye historia yake ya uhuru wa watu wake na nchi yake au ikiwa wameamuwa kubadilisha jina na kulipenda jina la Tanzania basi nikuzaliwa upya Tanganyika kwa jina la Tanzania?

  Hivi sasa Wazanzibar wanaukana hazarani Muungano na wameshatuma ujumbe sehemu nyingi lakini umepuzwa na viongozi washashe wenye kuangalia maslahi yao binafsi na kuachana na sauti za Wazanzibar, Muungano ulokuwepo hivi sasa ni wakulazimishana na kutumiana nguvu lazima ukubalike.


  Kero kubwa la Muungano kwa Wazanzibar ni kufaa kwa Tanganyika na kuondowa uhalali wa kuwepo Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kubakia Muungano wa Tanzania na Zanzibar ccm/smz.


  Kuna hatari kuwa Wazanzibar wakipata mwanya mwanya mdogo tu hivi sasa basi wataweza kuutumia, hakuna asiojuwa kuwa Muungano upo lakini upande moja tu yani Tanganyika kuungana na ccm-smz lakini jamii ya kizanzibar hauna mvuto tena wala laza wanataka leo kesho ufee foroho.
   
 18. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwanini msiseme kurudi kwa ukoloni si kutawaliwa!!. Mimi sioni sababu ya kuwa na serikali tatu sioni hata sababu ya kuwa na serikali mbili. Tuungane tuwe na nchi moja na malengo yanayofanana. Pamoja na kwamba wenzetu wa Zanzibar na utamaduni wa kiislam lakini matatizo ya maisha yanafanana, sisi ni ndugu na tunataka maendeleo. Sasa tusifikie serikali kubwa zitasaidia maendeleo!
   
 19. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  kwa nini musiungane na ruwanda na burundi na uganda kiramani inaonekana ni ndugu kabisa kuliko zanzibar udugu wa ccm na smz sio udugu huo munao ufikiria nyie.

  Sisi tuliungana katika masuala ya kusaidiana kiunchumi na kama hakuna faida basi bora tuuvunje na faida sisi wazanzbari hatuzioni kiuchumi bali ni hasara kubwa ilioje,na hatutavumilia tena suala hili la muungano hata serikali tatu hatuhitaji tena ni kuuvunja muungano tu,

  Miaka 47 zimeundwa tume17 kumaliza kero zamuungano lakini naona kila tume zikiundwa ndio wanaongeza kero,hii ndio imetufa tutoke na imani na viongozi wa tanganyika na watanganyika wenyewe.

  MUUNGANO VUNJA.

  View attachment 29825
   
 20. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  tuvunje tu naomba serikali imipishe KURA YA MAONI TU NI INFINITE SOLUTION HAKUNA JIPY HAPA
   
Loading...