MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 596
Hivi Zanzibar ina uchumi9 gani mpaka hawa Wazanzibari wafikirie kuwa hatuwezi kuishi bila Zanzibar?
Kuna nini cha maana Zanzibar au mwanamke gani wa bara anataka kuolewa na wanaume mabwabwa wa Zanzibar? Kuna wanawake gani wazuri Zanzibar wasioluwepo bara - kama ni wamanga koko wamejaa Kigoma ujiji, Tabora, Tanga, Kilwa, Bagamoyo n.k ..... nani anawataka hao waarabu waliochoka kimaisha?
Sioni mantiki ya mtoa hoja!!!! - Zanzibar kuna dhahabu kama za Geita, Kuna Sangara kama za Mwanza na Kigoma, Kuna mgebuka? Kuna Tanzanite, Kuna Kahawa nzuri kama za Kilimanjaro au kuna Pamba kama za Shinyanga? Je Zanzibar wana mbuga za wanyama kama Serengeti na Mikumi? ==---- Wana beach za kupumzikia watalii kama za Kigamboni,,,,,
Zanzibar watueleze kuwa wanakitu gani cha maana kinachotushawishi tuwaone wa maana katika Muungano!!
Mie ni mmoja ya wazanzibari ambao wanaamini Tanganyika inaweza kuendelea bila ya kutegemea Zanzibar, na vile vile Zanzibar inaweza kuendelea zaidi ya ilipo sasa bila ya kutegemea Tanganyika.
Nadhani mkuu umejikita na nadharia mbovu na kusahau lengo na madhumuni ya muungano.Lengo kuu kwa wakati huo lilozaa muungano ni shinikizo kutoka nje (vita baridi) na lile la kisiasa kwa upande wa Karume.
Mwenye akili timamu, hawezi hoji kama nchi mbili zinaweza kuishi kama majirani na kuendelea na shughuli zake bila ya tatizo lolote maana ilikuwa hivyo kwa takriban miaka yote kasoro hio 47 ya muungano.Hivyo masuala yako hayana mashiko.
Hoja ya msingi ya wananchi wanayojiuliza ni faida gani wameipata ndani ya miaka 47 ? Sioni faida yoyote, bado inaendelea kuwa faida kuu ya muungano ni ya kisiasa ambayo inanufaisha wachache. Ukihoji faida za muungano hata Kikwete atakwambia ni wa kipekee barani Afrika, amani na utulivu bla bla.....This is just not enough, ukizingatia mzanzibari analipa double tax ndani ya jamhuri!