Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Pamoja na kuwa na sura na tabia za kijelajela lakini hakika ubunifu wako unaibeba chi chat.Tulizana sasa,stick to what you can do best,to cheat chat,achana mambo ya kupimana ubavu na kina mwanakijiji,wale mabaunsa bongo zao kila siku ziko gym,wataishia tu kukuchomekea ban.Hivi huoni raha warembo wanavyokushobokea chit chat? Embu nambie mwanamke gani ashawahi kukutaka huko kwingine ,FF au nani?
The secretary hantaki bana ,anasema kwanza mkitambi wangu too much na pia ninakoroma sana.
Mkuu wangu kule ni shurba tu!! Usipime.
hebu tuwe serious kidogo, umewahi kuwa comedian?? umenichekesha mwenzio kila mtu ananishangaa mpaka clients! sasa huyo kufunikwa na matofali hivyo ndio nini jamani?? darling we waeza nichekesha hata kwenye ukaguzi, nimeshashtuka u cant b serious kha!
weeeeeeeeee! subutu! gfsonwin is not for ukaguzi. period.
ongea na asali ya ODM akupe round! kha!nna ham ya tendo la ndoa!
dada msiri wangu wa moyoni! za jioni?? kha, mi mithd u, ndio nilikuwa najiandaa kuanza maandamano, nimecheck na kituo cha polisi mabwe-pande nimekuta hola! kha u made me to b so scared!nini hyo taamu???????? hebu niambie Kaizer umeanza lini hii mambo?
kilugwai kitakuhusuje tena?? shaurilo! hivi unasalimiaje kwa lugha yenu tena? ni taspota, au paspota? kha! nahitaji kujua!eti eh? si ndo mana wanawake kibao wanampiga chini?
huyu ummu kulthum nasubiri mohamed trans ya saa 12 from singina inaleta mafaili yake... Catherine si nilikwambia ndo namfanyia usajili na usaili wa mwanzo?