Aspirin: "JF Man Of The Year 2011"

Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.

Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
Felo tablet.... wanaopinga matokeo tuwachukulie gunia ngapi za dagaa?
 
Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.

Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
Hilo ndo tatizo lenu.
Mtu aki-cricize basi mnamuona adui.
Tatizo kubwa la jukwaa hili ni kuwa kuna watu wanalazimisha na wanatamani kila mtu afikirie wanachofikiria wao.

Siwezi kusema hii ni nyeupe wakati ni nyekundu.
 
Mkuu tuchukulie tu Superman kaamua kutoa sadaka hizo 50 kwa wanao pendwa na member wa JF
Yeah...tena ukizingatia Superman nimesoma naye praimare mpaka diploma ya ualimu.

Nlikuwa namkopeshaga sana hela. Ngoja alipe fadhila baada ya kuukwaa uhedimasta wa shule ya kata...Mwarubaini sekandare skul
 
Kama mtu ana multi IDs ni yeye na akili yake.
Sasa hayo yanakuwa mashindano au *****..!
Yaani kwenye mchezo wa mpira wa miguu timu moja ina wachezaji 11 huku nyingine ikiwa na wachezaji 12 bado unasema haina tatizo?
 
Hata kama si sahihi?

Mkuu kumbuka tu uongozi wa JF haujashiriki zoezi hili ni mtu tu na mapenzi yake kaamua kuanzisha shindano hili na watu wameitia kwa mitazamo tofauti tumwachie yeye kama ni sahihi au sio sahihi yeye anajua
 
Hilo ndo tatizo lenu.
Mtu aki-cricize basi mnamuona adui.
Tatizo kubwa la jukwaa hili ni kuwa kuna watu wanalazimisha na wanatamani kila mtu afikirie wanachofikiria wao.

Siwezi kusema hii ni nyeupe wakati ni nyekundu.
Dah! greti thinka mitishamba yuko serious kweli. Easy kamanda. Huyo mkuu wenyewe wa tume anasmamia huu uchaguzi akiwa intaneti cafe, sio serious kiviiile jibaba
 
Yeah...tena ukizingatia Superman nimesoma naye praimare mpaka diploma ya ualimu.

Nlikuwa namkopeshaga sana hela. Ngoja alipe fadhila baada ya kuukwaa uhedimasta wa shule ya kata...Mwarubaini sekandare skul

Mwambie akutumie kwa M pesa utanikuta Tip Top kuna Bar mpya imefunguliwa mi ndo meneja mpwa inaitwa Woodland
 
Mkuu kumbuka tu uongozi wa JF haujashiriki zoezi hili ni mtu tu na mapenzi yake kaamua kuanzisha shindano hili na watu wameitia kwa mitazamo tofauti tumwachie yeye kama ni sahihi au sio sahihi yeye anajua
Ndo upuuzi wenyewe huu!
Kama ni mapenzi yake si angewachagua moja kwa moja hao anaowapenda.
Kuna haja gani ya kuweka misingi ya kumpata yule anayemtaka yeye kwa kivuli cha "shindano"
 
Kwa nini mnadhani mmu ndo jf yote?

Weka sawa record zangy hapo wanao pendwa na wana MMU na Chit Chat
Mbona majukwaa mengine bado anashindanisha pitia pitia utaona kwenye siasa mi nilipenda aweke na jukwaa la kikubwa kule mi ningenyakua 50 hiyo
 
Kama umenifuatilia vizuri ndo mana nimesema hiyo title ibadilishwe na kuwa "mmu man of the year". Hiyo tuta-argue vingine tofauti na sasa.
 
Back
Top Bottom