Hongera babu... kama kutakua na juice ya mbilimbi naomba unipigie sim nije kujumuika.
Hongera babu... kama kutakua na juice ya mbilimbi naomba unipigie sim nije kujumuika.
Man na Woman of ze year hata kama hawajaoana lakini ni muhimu kufanya ziara gesti japo kwa siku mbili. Mimi namwendea Keren Happuch botswana wewe mrukie mbili smile apo.Fellow tablet hebu hebu weka wazi hapo. Mjukuu yupi tumwendee Botswana. Afu hivi man na woman ofu ze yia si wanatakiwa waoane?
Mkubwa mwenzangu vipi tukutane viwanja gani leo kw aajili ya kusherehekea ushindi...............?Aisee kumbe kuna zawadi?
Tusker Malt zitanikomaje?
Naomba wanaotaka kujumuika nami katika kuiteketeza hii fifty wanyooshe vidole juu.
Ahsanteni sana.