Aslay mihogo Mwanza

Halafu morogoro angepiga hela, angejiweka pembeni ya samakisamaki pale asingekosa soko, pale mwanza ukienda unakuta wahudumu tu tena wanapiga mihayo na kwa nadra sn mteja mmoja mmoja na mwenyewe akitoka hapo harudi tena.
Huko kakosea sana location, hivi samaki samaki moro ipo kwa wapi?
 
Njia ya kwenda dom ukitoka stands ya msavu kama km1 au mbili hv kama sikosei
 
Biashara ya chakula n usimamizi, unatakiwa kua very punctual bila hivyo una poteza uhaalisia wa unacho tangaza na unacho uza koz wafanyakaz watakupa fake upost halafu wanacho hudumia n kingine๐Ÿšฎ, nampongeza esha buheti ana jitahidi
Huyo tapeli bufee yake aliniuzia samaki peke yake 15k sina hamu naye.

Hata kama ndio titafute hela sio kwa gharama hizo aisee ile siku nilijua kujilipua....bajeti ya kula siku 5 nilikula kwa lunch tu.

Sahani nzima ilikuwa 47k.
 
Aslay mihogo ni jina Ila wahusika wengine.

Kuhusu unachoongea is about negativity Kama ilivyo waswahili wengi.

Asante
 
Asante kwa ushauri tunaupitia na tutaufanyia kazi.
 
Huyo tapeli bufee yake aliniuzia samaki peke yake 15k sina hamu naye.

Hata kama ndio titafute hela sio kwa gharama hizo aisee ile siku nilijua kujilipua....bajeti ya kula siku 5 nilikula kwa lunch tu.

Sahani nzima ilikuwa 47k.
Lakin kitamu, sifa zake mpe bhna na kuhusu bei we sema hukua na hela wakat huo๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hao wote wamevamia biashara tu za watu,service,upishi sifuri
Huwezi ukawa na mgeni wako wa maana ukasema Acha nmpeleke aslay nn sijui akale
Kuna mahali unampeleka mtu kula hata kama utatiboka lkn service,chakula unasema yesss


Ova
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ