La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 486
- 784
Hili ndilo tatizo la Mwanaume anayejua kupikaMimi siku pendelea samaki wake ana kaangwa akiwa na baridi ya friji samaki hakuki vizuri sikuinjoy
Tushajua leo ulikula mihogo kwa Aslay. Umeeaanzaaa mbaaali.Habari za Mihangaiko..
Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo
Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna
Sasa kilichonifanya niandike mimi Sikuaribii Biashara yako Nimeamua kula Mihogo na Fresh juice
Ila mihogo ni Migumu Saana imekaangwa mpaka hata kutafuna ni Shida Sasa Ushauri wangu Ambia Team yako Muandae Mihogo vizuri kwa Wateja Imagine nimekuta mteja mmoja na Nimeondoka hakuna mteja
Jitahidi kuweka
Mishikaki
Soseji
Sambusa vitu kama hivyo Eneo ni zuri sanaa ila Huduma Ziro Mimi Nashauli kwa Upendo tuu ni Hayo🙏
View attachment 3427349
Kwahy nisisema ukweli hajui 😂😂 hivi ushawai kaanga samaki alie toka kwenye friji na uku muacha mda mrefu apoe? Ndio wao wanavyo pika wababua samakiH
Hili ndilo tatizo la Mwanaume anayejua kupika
Esha ndo wanataka kumpambanisha na shishi food alooBiashara ya chakula n usimamizi, unatakiwa kua very punctual bila hivyo una poteza uhaalisia wa unacho tangaza na unacho uza koz wafanyakaz watakupa fake upost halafu wanacho hudumia n kingine🚮, nampongeza esha buheti ana jitahidi
Umeona Eee wabadirike.Ata apa dodoma ni ivuo ivyo
PoleMimi siku pendelea samaki wake ana kaangwa akiwa na baridi ya friji samaki hakuki vizuri sikuinjoy
Ndio Ulipe Pesa Uache kula??Mihogo migumu lakini ujabakiza umepita nayo mazima na juice umeshushia.
Habari za Mihangaiko..
Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo
Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna
Sasa kilichonifanya niandike mimi Sikuaribii Biashara yako Nimeamua kula Mihogo na Fresh juice
Ila mihogo ni Migumu Saana imekaangwa mpaka hata kutafuna ni Shida Sasa Ushauri wangu Ambia Team yako Muandae Mihogo vizuri kwa Wateja Imagine nimekuta mteja mmoja na Nimeondoka hakuna mteja
Jitahidi kuweka
Mishikaki
Soseji
Sambusa vitu kama hivyo Eneo ni zuri sanaa ila Huduma Ziro Mimi Nashauli kwa Upendo tuu ni Hayo🙏
View attachment 3427349
Habari za Mihangaiko..
Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo
Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna
Sasa kilichonifanya niandike mimi Sikuaribii Biashara yako Nimeamua kula Mihogo na Fresh juice
Ila mihogo ni Migumu Saana imekaangwa mpaka hata kutafuna ni Shida Sasa Ushauri wangu Ambia Team yako Muandae Mihogo vizuri kwa Wateja Imagine nimekuta mteja mmoja na Nimeondoka hakuna mteja
Jitahidi kuweka
Mishikaki
Soseji
Sambusa vitu kama hivyo Eneo ni zuri sanaa ila Huduma Ziro Mimi Nashauli kwa Upendo tuu ni Hayo🙏
View attachment 3427349
Sato fresh kabisa au sangara walionona mapanki ni isues za mutandaoni na propaganda tu ukishindwa kabisa unakula furu zako za kutosha.
11
Habari za Mihangaiko..
Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo
Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna
Sasa kilichonifanya niandike mimi Sikuaribii Biashara yako Nimeamua kula Mihogo na Fresh juice
Ila mihogo ni Migumu Saana imekaangwa mpaka hata kutafuna ni Shida Sasa Ushauri wangu Ambia Team yako Muandae Mihogo vizuri kwa Wateja Imagine nimekuta mteja mmoja na Nimeondoka hakuna mteja
Jitahidi kuweka
Mishikaki
Soseji
Sambusa vitu kama hivyo Eneo ni zuri sanaa ila Huduma
View attachment 3427349
Nani kakwambia tunahangaika?
Hahahaha, samaki wa wasanii analembwa sn nenda ww sasa unakuta kijisamaki hlf kamechinaMimi niliendaga siku moja hii ya huku Dar, mh yaani samaki na mihogo wanayoendaga kula wasanii na unayoletewa wewe tofauti kabisa
Nilijuta na mihogo ni migumu siyo kama wanayokulaga akina Mandonga😂😹Hahahaha, samaki wa wasanii analembwa sn nenda ww sasa unakuta kijisamaki hlf kamechina
Siku moja nataka nikajaribu kwenda kwa Kazimoto pork nione yaliyomo yamo maana huko mitandaoni naona watu wanafaidiHahahaha, samaki wa wasanii analembwa sn nenda ww sasa unakuta kijisamaki hlf kamechina
Labda ujaribu huko lkn aslay mihogo wa mwanza biashara lazima imkate, nikitaka samaki hasa sato huwa nashuka kule sokoni samaki unamuona anatoka majini halafu unakaangiwa vizuri.Siku moja nataka nikajaribu kwenda kwa Kazimoto pork nione yaliyomo yamo maana huko mitandaoni naona watu wanafaidi
Kwa huko Mwanza samaki ni wengi, watu hawana mzuka na samakiLabda ujaribu huko lkn aslay mihogo wa mwanza biashara lazima imkate, nikitaka samaki hasa sato huwa nashuka kule sokoni samaki unamuona anatoka majini halafu unakaangiwa vizuri.
Angepeleka labda mtwara huko, songea na maeneo ambayo samaki ni adimuKwa huko Mwanza samaki ni wengi, watu hawana mzuka na samaki
Au hata Morogoro hiviAngepeleka labda mtwara huko, songea na maeneo ambayo samaki ni adimu