mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 387
- 469
Hiyo biashara kwa mwanza itamsumbua sn, mwanza hawana ushamba na.samaki angepeleka maeneo ambayo kidogo samaki ni changamotoHabari za Mihangaiko..
Napenda kumshauli huyu Dogo Aslay kuhusu Biashara ya mihogo
Leo nimesema niende kula mihogo na Mishikaki ajabu hawana Mishikaki
Eti kuna Samaki tuu na Mimi Mchana nimekula Samaki Sasa nikauliza Hamna kibgine zaidi ya Samaki?? Jibu hamna
Sasa kilichonifanya niandike mimi Sikuaribii Biashara yako Nimeamua kula Mihogo na Fresh juice
Ila mihogo ni Migumu Saana imekaangwa mpaka hata kutafuna ni Shida Sasa Ushauri wangu Ambia Team yako Muandae Mihogo vizuri kwa Wateja Imagine nimekuta mteja mmoja na Nimeondoka hakuna mteja
Jitahidi kuweka
Mishikaki
Soseji
Sambusa vitu kama hivyo Eneo ni zuri sanaa ila Huduma Ziro Mimi Nashauli kwa Upendo tuu ni Hayo🙏
View attachment 3427349
Yes kama kitimoto ya pork jointsMsosi Bomba Hautangazwi....Msosi Bomba Utazisikia Tu Habari Zake...Bila Matumizi Ya Miguvu Mingii Mingii....
Wachaana Kabisaa Na Ule Mwili Wa Kristu...Yes kama kitimoto ya pork joints
Hawa wakishawaona wasanii sjui bongo movie wanaenda na waooMsosi Bomba Hautangazwi....Msosi Bomba Utazisikia Tu Habari Zake...Bila Matumizi Ya Miguvu Mingii Mingii....
Hawajui kupika samakiMimi siku pendelea samaki wake ana kaangwa akiwa na baridi ya friji samaki hakuki vizuri sikuinjoy
Kabisa nilijua ni mimi ndio naona hawajui kupika sikurudi tenaHawajui kupika samaki
Na kama mpenzi wa samaki
Hapo siyo sehemu ya kwenda
Ova
Apate Chakuposti Na Kutamba Nacho Sosho Midiazi....Hawa wakishawaona wasanii sjui bongo movie wanaenda na waoo
Mbiooo 😄
Ova
Huko wanako kula mapanki!?Hiyo biashara kwa mwanza itamsumbua sn, mwanza hawana ushamba na.samaki angepeleka maeneo ambayo kidogo samaki ni changamoto
Sato fresh kabisa au sangara walionona mapanki ni isues za mutandaoni na propaganda tu ukishindwa kabisa unakula furu zako za kutosha.Huko wanako kula mapanki!?