Aslay jamani, show yake haikujaa tatizo ni nini sasa ni promo au? mbona ray c hakuja ku-perform?
OKNafuu 100 kajitahidi sana
ukiwa na maringo mingi ndio utatesekaDunia sio mbaya ila walimwengu ndio wabaya
Very correctWabongo wabishi tu....bongo fleva haina soko nje ya nchi japo wanalazimisha sana kuwapa chati wasainii wao. Peleka bendi ya maana inayopiga muziki live utaona watu watakavyojazana. Watu wanapenda vitu vya ukweli si hizi Big G za computer.