Aslay kuwa na shoo ya watu 100 Sababu ni nini?

Aslay jamani, show yake haikujaa tatizo ni nini sasa ni promo au? mbona ray c hakuja ku-perform?

Wabongo wabishi tu....bongo fleva haina soko nje ya nchi japo wanalazimisha sana kuwapa chati wasainii wao. Peleka bendi ya maana inayopiga muziki live utaona watu watakavyojazana. Watu wanapenda vitu vya ukweli si hizi Big G za computer.
 
Point alishawahi kuja Jay Dee UK kaweka CD mashabiki wakamshusha kwa kumuambia hata sisi CD tunazo home
 
Aslay jamani, show yake haikujaa tatizo ni nini sasa ni promo au? mbona ray c hakuja ku-perform?

Akiishi kwa kigezo cha kuwa na talent tu hatofika mbali.Watu walio ktk inner cycle yake inabidi wamkumbushe kuwa mbali na talent mziki ni business. Serious business!
 
Back
Top Bottom