Aslay kuwa na shoo ya watu 100 Sababu ni nini?

hi
Nimetoa Ushauri kwenye hili jukwaa Mara nyingi na bado nitaendelea..
Bongo fleva lazima wakubali kubadilika..
Hizi sifa wanazotafuta Zinawazidi Uwezo..
Hii ni aibu kwa huyu Dogo..
Wajijengee Uwezo wa ku perform Kwa (Raia)Waingereza Siyo Watanzania wanaoishi Uingereza..

hilo nalo neno, shukran boss!
 
  • Thanks
Reactions: prs
Kuna mawili hapa, kwanza huenda hajaroga vya kutosha kama kaka yake Diamond. Pili, watanzania wengi haswa wa diaspora hawana mpango na bongo fleva wanapenda muziki wetu wa asili wa dansi na taarab.
 
jamaan Bongo Fleva inaingizia watuMkate wa kila siku jamaa!

Ni kweli ila kwa hapa Bongo tu, watanzania wengi waishio nje hawana mpango na bongo fleva hili nimethibitisha mwenyewe. Wengi wanaiponda bongo fleva kwa kusema imejawa na wababishaji na si wanamuziki wa kweli.
 
Woi
Ndio mana sijajiunga Diaspora
Kazi kuoneana wivu tu
doh
Ni kweli ila kwa hapa Bongo tu, watanzania wengi waishio nje hawana mpango na bongo fleva hili nimethibitisha mwenyewe. Wengi wanaiponda bongo fleva kwa kusema imejawa na wababishaji na si wanamuziki wa kweli.
 
kwa mtazamo wangu,kwa sababu alishakuwa na jina (brand) atumie nafasi hiyo kuitangaza kwenye vyombo vya habari mtandao/magazeti atafute General Manager au meneja masoko natumaini atapata wahitimu ni wengi;na aeleze majukumu ya kila mmoja ambayo yatamuwezesha msanii kuendelea kuingiza kipato; anaweza akawa anawalipa M1.5 kwa kuanzia huku ikiongezeka kutokana na shoo zinazopatikana
 
Kweli kabisa
 
UJINGA MTUPU
HAUTAKI KUSAPOTI VYA KWENU UNADHANI NANI ANAVISAPOTI VYA DIASPORA SASA?
WATZ WENGI WAMETOKA HUKO KAMA HUJUI,,, WANAFANYA MAKOROKOCHO YA KIJINGA MTUPU HASA WA USA

Toka lini bongo fleva ukwa muziki wa Tanzania? Kuiga Nigerians ndiyo muziki wetu, Wacheni ujinga wa kuiga iga na kujitoa ufahamu, si bora hata nisikilize singeli au hata taarab?
 
Wasanii wengi kama siyo wote wanaoenda kufanya show ulaya au marekani wanafanyia kwenye vi ukumbi vidoogo vya watu kama 100-200 na wanaohudhuria ni wenyeji wa hukuhuku.
Sababu ni kutojulikana
 
Back
Top Bottom