Upuuzi umeona wewe kwani wewe na yeye nani mpuuzi, unajua ni wangapi wanaokuona wewe zoba? kwa nini umuite mwenzio mpuuzi.Heri ya Krismas, naangalia misa kupitia TBC na katika mahubiri yake Askofu huyu wa Geita kajipambanua kabisa kuhusu kuichukia Tanganyika na sababu anazozitoa ni za kipuuzi kabisa. Kumbe kuwa kiongozi wa kidini sio kujua yote na anavoonekani ni 'dictator' huyu kwa kuwalazimisha watu waikatae historia ya nchi yetu. Majanga mno.
Umekosea sana kumtukana mtumishi wa Mungu,hata kama una mawazo tofauti yatoe bila kutukana -------- sana wewe.Heri ya Krismas, naangalia misa kupitia TBC na katika mahubiri yake Askofu huyu wa Geita kajipambanua kabisa kuhusu kuichukia Tanganyika na sababu anazozitoa ni za kipuuzi kabisa. Kumbe kuwa kiongozi wa kidini sio kujua yote na anavoonekani ni 'dictator' huyu kwa kuwalazimisha watu waikatae historia ya nchi yetu. Majanga mno.
Heri ya Krismas, naangalia misa kupitia TBC na katika mahubiri yake Askofu huyu wa Geita kajipambanua kabisa kuhusu kuichukia Tanganyika na sababu anazozitoa ni za kipuuzi kabisa. Kumbe kuwa kiongozi wa kidini sio kujua yote na anavoonekani ni 'dictator' huyu kwa kuwalazimisha watu waikatae historia ya nchi yetu. Majanga mno.
Mkuu, katika mifano yake ya kutetea Tanganyika isahaulike alitoa mifano finyu kama nchi za Malawi, Msumbiji, Zambia, Ghana na alituacha hoi kwa Ivory Coast. Inauma kwa msomi kama yeye kupotosha HISTORIA kwa kutumia cheo alichokuwa nacho. Mkuu ungesikiliza/angalia TBC ungetuelewa.fafanua anachokiongea siounakurupuka tu
Mkuu mie sio nalamisha maoni yangu ila kama ungeangalia/sikiliza TBC ungeelewa namaanisha nini. Yeye katumia pahala patakatifu kulazimisha hoja ya kuizima Tanganyika, pana masuala mazuri tu ya kijamii kaongea lakini hili alikosea kulizungumzia hapo kwa kutulazimisha tukubaliane nae kwa kutoa mifano potoshi.Mtoa mada unalazimosha fikra zako zifanane watu wote, kila anaeongelea tofauti na mawazo yako ni mkosaji.
Nikushauri give urself time to digest alichokiongea,kama kweli umetimia hapo juu utamuelewa.Mkuu, katika mifano yake ya kutetea Tanganyika isahaulike alitoa mifano finyu kama nchi za Malawi, Msumbiji, Zambia, Ghana na alituacha hoi kwa Ivory Coast. Inauma kwa msomi kama yeye kupotosha HISTORIA kwa kutumia cheo alichokuwa nacho. Mkuu ungesikiliza/angalia TBC ungetuelewa.
Mkuu sijamuona mpuuzi ila hoja alizotoa za kuizima Tanganyika ndio za kipuuzi hata hivo pana mengi tu ya kijamii kazungumza vizuri mno na tumeyaafiki.Upuuzi umeona wewe kwani wewe na yeye nani mpuuzi, unajua ni wangapi wanaokuona wewe zoba? kwa nini umuite mwenzio mpuuzi.
Heri ya Krismas, naangalia misa kupitia TBC na katika mahubiri yake Askofu huyu wa Geita kajipambanua kabisa kuhusu kuichukia Tanganyika na sababu anazozitoa ni za kipuuzi kabisa. Kumbe kuwa kiongozi wa kidini sio kujua yote na anavoonekani ni 'dictator' huyu kwa kuwalazimisha watu waikatae historia ya nchi yetu. Majanga mno.
Huwa mnakosea sana mnapokuwa mnakimbilia kujiona nyinyi mko sahihi sana na kutukana wenzenu, kumbuka huyu ni mtumishi wa Mungu, hawa watu wana upeo mkubwa sana nani wasomi tofauti unavyofikilia wewe.Mkuu sijamuona mpuuzi ila hoja alizotoa za kuizima Tanganyika ndio za kipuuzi hata hivo pana mengi tu ya kijamii kazungumza vizuri mno na tumeyaafiki.
Mkuu, sijakurupuka ila tumeisikiliza hotuba yake kwa makini na kuona hapo kapotoka kutumia nafasi yake kushinikiza hoja yake dhidi ya wengi.Nikushauri give urself time to digest alichokiongea,kama kweli umetimia hapo juu utamuelewa.
Mkuu, tusi liko wapi hapo?
Mkuu, sijakurupuka ila tumeisikiliza hotuba yake kwa makini na kuona hapo kapotoka kutumia nafasi yake kushinikiza hoja yake dhidi ya wengi.
Mkuu, labda TBC watairejea ibada hiyo ila alikuwa anakosoa sherehe ya uhuru wa taifa letu kutambulika ni uhuru wa Tanganyika ila akalazimisha itambulike ni uhuru wa Tanzania bara kwa uchache tu.Tufafanulie ni k namna gani antaka kuizima Tanganyika.
Sawa mkuu, lakini hawa ni binadamu kama wengine na kumbuka ni hatari kutumia imani kwa kulazimisha jambo lako.Huwa mnakosea sana mnapokuwa mnakimbilia kujiona nyinyi mko sahihi sana na kutukana wenzenu, kumbuka huyu ni mtumishi wa Mungu, hawa watu wana upeo mkubwa sana nani wasomi tofauti unavyofikilia wewe.