Askofu wa Geita ni adui wa Tanganyika.

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,674
1,685
Heri ya Krismas, naangalia misa kupitia TBC na katika mahubiri yake Askofu huyu wa Geita kajipambanua kabisa kuhusu kuichukia Tanganyika na sababu anazozitoa ni za kipuuzi kabisa. Kumbe kuwa kiongozi wa kidini sio kujua yote na anavoonekani ni 'dictator' huyu kwa kuwalazimisha watu waikatae historia ya nchi yetu. Majanga mno.
 
Upuuzi umeona wewe kwani wewe na yeye nani mpuuzi, unajua ni wangapi wanaokuona wewe zoba? kwa nini umuite mwenzio mpuuzi.
 
Umekosea sana kumtukana mtumishi wa Mungu,hata kama una mawazo tofauti yatoe bila kutukana -------- sana wewe.
 
Heri ya Krismas, naangalia misa kupitia TBC na katika mahubiri yake Askofu huyu wa Geita kajipambanua kabisa kuhusu kuichukia Tanganyika na sababu anazozitoa ni za kipuuzi kabisa. Kumbe kuwa kiongozi wa kidini sio kujua yote na anavoonekani ni 'dictator' huyu kwa kuwalazimisha watu waikatae historia ya nchi yetu. Majanga mno.

fafanua anachokiongea siounakurupuka tu
 
Mtoa mada unalazimosha fikra zako zifanane watu wote, kila anaeongelea tofauti na mawazo yako ni mkosaji. Sasa taarifa yako mpake wewe unapata nafasi ya kuandika hapa ni matokeo ya kukubali uhuru kujieleza.
 
fafanua anachokiongea siounakurupuka tu
Mkuu, katika mifano yake ya kutetea Tanganyika isahaulike alitoa mifano finyu kama nchi za Malawi, Msumbiji, Zambia, Ghana na alituacha hoi kwa Ivory Coast. Inauma kwa msomi kama yeye kupotosha HISTORIA kwa kutumia cheo alichokuwa nacho. Mkuu ungesikiliza/angalia TBC ungetuelewa.
 
Mtoa mada unalazimosha fikra zako zifanane watu wote, kila anaeongelea tofauti na mawazo yako ni mkosaji.
Mkuu mie sio nalamisha maoni yangu ila kama ungeangalia/sikiliza TBC ungeelewa namaanisha nini. Yeye katumia pahala patakatifu kulazimisha hoja ya kuizima Tanganyika, pana masuala mazuri tu ya kijamii kaongea lakini hili alikosea kulizungumzia hapo kwa kutulazimisha tukubaliane nae kwa kutoa mifano potoshi.
 
Mkuu, katika mifano yake ya kutetea Tanganyika isahaulike alitoa mifano finyu kama nchi za Malawi, Msumbiji, Zambia, Ghana na alituacha hoi kwa Ivory Coast. Inauma kwa msomi kama yeye kupotosha HISTORIA kwa kutumia cheo alichokuwa nacho. Mkuu ungesikiliza/angalia TBC ungetuelewa.
Nikushauri give urself time to digest alichokiongea,kama kweli umetimia hapo juu utamuelewa.
 
Upuuzi umeona wewe kwani wewe na yeye nani mpuuzi, unajua ni wangapi wanaokuona wewe zoba? kwa nini umuite mwenzio mpuuzi.
Mkuu sijamuona mpuuzi ila hoja alizotoa za kuizima Tanganyika ndio za kipuuzi hata hivo pana mengi tu ya kijamii kazungumza vizuri mno na tumeyaafiki.
 
Heri ya Krismas, naangalia misa kupitia TBC na katika mahubiri yake Askofu huyu wa Geita kajipambanua kabisa kuhusu kuichukia Tanganyika na sababu anazozitoa ni za kipuuzi kabisa. Kumbe kuwa kiongozi wa kidini sio kujua yote na anavoonekani ni 'dictator' huyu kwa kuwalazimisha watu waikatae historia ya nchi yetu. Majanga mno.

Mkuu mbona umekurupuka kuandika? Maana naona maelezo uliyoyatoa ni finyu mno na hayaeleweki ukilinganisha na Shutuma ulizozitoa. Japo unaendelea kufafanua lakini bado haujaeleweka, toa maelezo ya kujitosheleza maana siyo kila mtu anaangalia Luninga kwa sasa.
 
Mkuu sijamuona mpuuzi ila hoja alizotoa za kuizima Tanganyika ndio za kipuuzi hata hivo pana mengi tu ya kijamii kazungumza vizuri mno na tumeyaafiki.
Huwa mnakosea sana mnapokuwa mnakimbilia kujiona nyinyi mko sahihi sana na kutukana wenzenu, kumbuka huyu ni mtumishi wa Mungu, hawa watu wana upeo mkubwa sana nani wasomi tofauti unavyofikilia wewe.
 
Nikushauri give urself time to digest alichokiongea,kama kweli umetimia hapo juu utamuelewa.
Mkuu, sijakurupuka ila tumeisikiliza hotuba yake kwa makini na kuona hapo kapotoka kutumia nafasi yake kushinikiza hoja yake dhidi ya wengi.
 
Kama ndio msimamo wa Maaskofu na Wachungaji kuwa Tanganyika izimwe basi serikali ya Tanganyika haitafufuka.

Plan B:
Ni kuwa provocate Wa-Pwani wadai kuwe na Tanzania Pwani, pia yaani tuwe na Tanzania Bara na Tanzania Pwani.

Kwa namna hii tutawaweka kwenye kona ya aidha wawashikilie Maaskofu na Taifa liendelee kugawanyika au wairudishe Tanganyika.
 
Tufafanulie ni k namna gani antaka kuizima Tanganyika.
Mkuu, labda TBC watairejea ibada hiyo ila alikuwa anakosoa sherehe ya uhuru wa taifa letu kutambulika ni uhuru wa Tanganyika ila akalazimisha itambulike ni uhuru wa Tanzania bara kwa uchache tu.
 
Huwa mnakosea sana mnapokuwa mnakimbilia kujiona nyinyi mko sahihi sana na kutukana wenzenu, kumbuka huyu ni mtumishi wa Mungu, hawa watu wana upeo mkubwa sana nani wasomi tofauti unavyofikilia wewe.
Sawa mkuu, lakini hawa ni binadamu kama wengine na kumbuka ni hatari kutumia imani kwa kulazimisha jambo lako.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom