Askofu Thomas Laizer: "Uchaguzi wa Meya Arusha Urudiwe"

Askofu Thomas Laizer: "Uchaguzi wa Meya Arusha Urudiwe"

uliona lini tukimsifia mkapa? Nani alimsifia kuhusu sudan kama sio mjomba ako kikwete katika mahotuba yake? Sisi hapa hatutumii dini kama kigezo sisi tunaangalia utendaji kazi wake na jinsi anavyowalinda hao ndugu zake mafisadi.kama jk ni mchapa kazi basi awapeleke hao mafisadi mahakamani? Na unajua kitu hosea alichosema kuhusu jk? Hosea naye ni mdini? Nani alimteua hosea? Acha unazi na udini wewe , elimu yako haujakusaidia tu?kama humuungi jk katika ufisadi basi mada imefungwa manake yaliyotokea arusha ni ufisadi pia. Its means you dont know where you stand :

Hoseah alichokisema ni undumilakuwili na to be honest ningelikuwa mie JK nampiga chini siwezi fanya kazi na mtu mnafiki. Na hilo linajulikana na MBONA MKAPA alishindwa kuwafikisha mahakamani akina Balozi Hassan Diria na Mama sitti mwinyi au ule ufisadi wa NSSF na PPF alimezea mbona mlikuwa hamsemi jamaa sio mtendaji kazi? Unazi mnao nyie ambapo ikifika wakati kuna kiongozi muislamu basi nyie na maaskofu wenu mnaanza vimbelembele vyenu vya kujitia kukosoa.

Pia fafanua zaidi unajua definition ya ufisadi au nikusaidie:-

cor·rup·tion

   /kəˈrʌp
thinsp.png
ʃən/ Show Spelled[kuh-ruhp-shuh
thinsp.png
n] Show IPA
–noun 1. the act of corrupting or state of being corrupt.

2. moral perversion; depravity.

3. perversion of integrity.

4. corrupt or dishonest proceedings.

5. bribery.

6. debasement or alteration, as of language or a text.

7. a debased form of a word.

8. putrefactive decay; rottenness.

9. any corrupting influence or agency.



Use corruption in a Sentence

See images of corruption

Search corruption on the Web

Origin:
1300&#8211;50; ME corrupcio ( u ) n (< AF) < L corrupti&#333;n-, s. of corrupti&#333;. See corrupt, -ion

-Related forms an·ti·cor·rup·tion, noun, adjective
o·ver·cor·rup·tion, noun
pre·cor·rup·tion, noun

-Synonyms
2. dissolution, immorality. 8. rot, putrefaction, putrescence, foulness, pollution, contamination.


-Antonyms
1&#8211;3. purity. 3, 4. honesty.

Sasa hebu nieleze kilichofanyika Arusha kipi kifanane na ufisadi acheni upumbavu wenu huo!!!! Mkishindwa hoja mnakimbilia udini kwenu nyie udini ni uislamu utawatokea puani.
 
Mdondoaji said:
Hoseah alichokisema ni undumilakuwili na to be honest ningelikuwa mie JK nampiga chini siwezi fanya kazi na mtu mnafiki. Na hilo linajulikana na MBONA MKAPA alishindwa kuwafikisha mahakamani akina Balozi Hassan Diria na Mama sitti mwinyi au ule ufisadi wa NSSF na PPF alimezea mbona mlikuwa hamsemi jamaa sio mtendaji kazi? Unazi mnao nyie ambapo ikifika wakati kuna kiongozi muislamu basi nyie na maaskofu wenu mnaanza vimbelembele vyenu vya kujitia kukosoa.

Mdondoaji,

..miaka michache iliyopita kulikuwa na posting nyingi sana za kumshambulia Mkapa, Wakristo, na Wachaga.

..kwani walichokisema Maaskofu ambacho kina makosa ni nini? je, nini ubaya wa rai ya Askofu Laizer kwamba uchaguzi wa meya wa Arusha urudiwe?

..wakati mwingine tuangalie content ya kitu kilichozungumzwa, na siyo imani ya mzungumzaji.
 
Wale masjehe na wale waliojiita wazee wa Dar es salaam wengine wanaongea sauti zimewakauka wanasingizia eti tamko la maaskofu linakuza udini, wapi bwana, hivi Gaudence aliyechanguliwa ni muislam? Anakataliwa kwa utaratibu mbovu uliotumika kumuweka madarakai na wala siyo kwa dini yake.
Tangazeni sana udini lakini lazima kieleweke tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa Kanisa linajionyesha wazi kuwa lina ubavu wa kuingilia siasa. Tumeona Sumbawanga na sasa tunamuona huyu askofu.

Nina hofu kuwa Tanzania itafanywa kama ilichofanywa Rwanda na haya makanisa.
 
Nadhani tu huyu bwana aelewe kwamba jinsi ambavyo viongozi wa dini wanavyoshiriki siasa ni vilevile viongozi wa siasa wanashiriki kwenye nyumba za ibada (makanisa na misikiti)
Sio kwamba makanisa ni CHADEMA, ila hata makanisa na kila taasisi inawajibika kusema pale haki inapokuwa haikutendeka kwamba walionyimwa haki ni CHADEMA AU CCM. Hii inakuwa na uzito zaidi ikiwa kupotoshwa kwa haki huko kuna mwelekeo wa uvunjifu wa Amani. Nadhani kuna uchanga mkubwa wa uelewa kuhusu siasa.

Tatizo ni kwamba wengi (akiwemo Chatanda) wanadhani viongozi wa dini hawana au hawapaswi kutoa mawazo yao kuhusu mambo ya kisiasa. Eti ni kuchanganya dini ni siasa. Ni vyema tufahamu kuwa dini ni wadau wa siasa kama taasisi yoyote nyingine nchini. Siasa ya inchi ikiwa chafu dini huathirika kama wengine. Hivyo ni lazima waseme. Lakini pia viongozi wa dini ni wanadamu wenye fikra na uzalendo wa nchi zao kama wengine. Kuwa kiongozi wa dini hakumnyimi haki yake ya kiraia ya kutoa mawazo yake hasa kama kiongozi wa watu.
 
Kwa taarifa yako Ng'wanangwa mie niko makini kuliko unavyofikiri nakupa picha nina GPA ya nguvu kwenye first degree (honours), Nina distinction katika degree zilizobakia. Nimesoma vyuo hivyo mnavyoviita makini msitake kutudharau waislamu bure tunawaburuza darasani halafu mnaleta kelele zenu za nini!!!

Inferiority complex bwana......


Hivi wenye GPA nzuri na Distinction huwa wanjitangaza ?? wanaojitangaza ni wale ambao wanaona kuwa hiyo ni news ...kwa wale ambao wanaona ni mambo ya kawaida walaa....tena hata asome vipi ..hata awe na Phd Za ukweli utakuta haata hataki kuitwa DR..........

Sasa mwenzangu na mie ...kuandika Crap tu hapa jamii hadi utangaze umesoma ..........kuna wengine wengi tu hapa wakiandika post zao huna haja ya kuuliza ,kuambiwa au kusubiri wajitangaze kuwa wamesoma.......just by reading the substance unajuwa ..yes ..this buddy is educated!!!!....wewe vipi bwana......unaona kadegree au videgree ni kitu cha ajabu....everybody is supposed to be educated beyond that ..nothing special muzee ........shambaa!!!
 
Crying babies bwana ..hata uwabebe kwa mbeleko gani watabaki kulalamika tu.............

kazi ukishindwa ofisini ..ukipewa warning ....unasema ni kwa sababu ya..........kila kitu aah hila ,kwa sababu ya ....du sasa kama mnao ji propagate mmesoma nanyi mkilia mnaonewa kwa sababu ya.....wasiosoma wasemeje??????????

sisi kwenye familia yetu tunaye failure mmoja ameishia form six ...tumeamua yeye akae kijijini aangalie mashamba yetu......he never complain...sana sana he is working very hard to subsidise his weaknesses especially for not attending university....na in some cases he makes more money than some of us in the city or abroad....i like that....we have to take everything positive!!!
 
Mdondoaji,

..miaka michache iliyopita kulikuwa na posting nyingi sana za kumshambulia Mkapa, Wakristo, na Wachaga.

..kwani walichokisema Maaskofu ambacho kina makosa ni nini? je, nini ubaya wa rai ya Askofu Laizer kwamba uchaguzi wa meya wa Arusha urudiwe?

..wakati mwingine tuangalie content ya kitu kilichozungumzwa, na siyo imani ya mzungumzaji.

Mkuu ni kweli unalolisema but how you present your evidence is what makes me angry. Angelisimama kama Thomas Laizer akakosoa na kuomba uchaguzi urudiwe ni opinion but ukisema lazima kama Askofu Thomas Laizer natamka uchaguzi urudiwe hapo hushauri wala kukosoa bali unacommand serikali na kwakweli kama mie ningelikuwa rais ningelisema hakuna uchaguzi kurudiwa halafu tuone huyo askofu atafanya nini.
 
Inferiority complex bwana......


Hivi wenye GPA nzuri na Distinction huwa wanjitangaza ?? wanaojitangaza ni wale ambao wanaona kuwa hiyo ni news ...kwa wale ambao wanaona ni mambo ya kawaida walaa....tena hata asome vipi ..hata awe na Phd Za ukweli utakuta haata hataki kuitwa DR..........

Sasa mwenzangu na mie ...kuandika Crap tu hapa jamii hadi utangaze umesoma ..........kuna wengine wengi tu hapa wakiandika post zao huna haja ya kuuliza ,kuambiwa au kusubiri wajitangaze kuwa wamesoma.......just by reading the substance unajuwa ..yes ..this buddy is educated!!!!....wewe vipi bwana......unaona kadegree au videgree ni kitu cha ajabu....everybody is supposed to be educated beyond that ..nothing special muzee ........shambaa!!!

Kaka GPA yangu nimeisotea na nikahangaikia ninashukuru mola amenipa sasa kama unaona wivu matatizo yako hiyo sio inferiority complex but I am showing you how confidence I am na kitu ninachokiongea sibabaishi kama wewe usizungumze crap hapa bwana mnafikiri kila muislamu kihiyo kama nyinyi mnavyofikiria.
 
Back
Top Bottom