Askofu Shoo, Wabunge Timotheo Mzava wa Korogwe na Dkt. Pallangyo wa Arumeru wanalichafua kanisa au wanachafuliwa?

Kiimani huko Sina shida Nako, hiyo ndiyo ni makosa ila ,

Kisheria Binti anahoja , pingamizi lake lisikilizwe.
Nimepata habari kwa mtu wa karibu kuwa walimuita kanisani binti kwa barua,lakini alipofika akaambiwa mzava kashindwa kufika sababu yupo safarini Dar.
 
Inasemekana huyo ana alishakubali kuachana hadi kwa barua kabisa na saini juu lakini wapambe wake wakaja mshauri akaenda kuoindua meza tena
Kama hakuwa na haki kwa nini aliachana na barua juu ya saini? Kwa nini alisainishwa kama alikuwa hana impact? Kuna mambo yanapepeswa hapa. Nimesoma Raia mwema inaonekana huyo Mbunge ni oppprtunist sana.

Kama kaamua kwenda kuoa kwa nini amuache mwezie na madeni aliyomsababishia yeye? Bad enough nasikia mshikaji anakataa hadi mtoto. Mshamba sana huyu kijana.
 
Huyo dogo mzava kwanza hawezi tena kurudi Bungeni hao ndio wabunge walioingia kwa mbeleko za Mwendazake ali pokea kijiti bila hata uchaguzi baada ya Reprofessor Maji marefu kufariki!! Hana influence wala Hela yoyote ya kumfanya aendelee kuhold hio position 2025 Sio mbali naona Ana stretch his muscles kwa Kutataka awe circled Na watu wenye exposure Na icho cheo, Kijana atafute kazi ya kufanya
Kamfanyia vibaya sana binti wa watu mshikaji. Unakataa damu yako ili ukaoe mtoto wa mbunge.Hii dhambi haitomuacha salama
 
Sijawahi kuona post ya kipumbavu kama hii kwanza kabisa ujue kabisa halihusiki na uzinzi wenu na ujue kabisa kwamba mahusiano ya sasa yamekuwa ni janga .swali LA kujiuliza ni je huyo Anna aliishije miaka mitatu na mwanaume hadi kuzaa,mtoto? Je huyo mwanaume alishampeleka kwao kumtambulisha? Alilipa mahari? Mila na tamaduni za kiafrica zinasemaje huu ya uchumba? Au ndoa? Tatizo lenu wadada mmezidi kujiachia hivyo hivyo mkizani kwamba kuzaa ndio kupata ndoa isitoshe Pete za uchumba feki wengine mnavishana bar halafu eti mnajiita wanandoa wakati hata familia zenu hawajui kama unaishi na mwanaume.ifike mahali mabinti muwe na adabu kaa kwa utulivu subiri kijana afike kwenu ajitambulishe ndio uambatane naye hata kama sio kwa harusi lakini heshima inakuwepo. Huyo Anna kwa ukweli unaaonekana ni Hawara sio make na atafahamika tu kama mzazi mwenzake na sio make Wa ndoa kwa hiyo akae kwa kutulia .sharia ya ndoa ingekuwa inatambua wadada waliozalishwa bado ndoa nyingi zingezuiliwa. Pia ukumbuke kwamba hata huyo mtoto Wa mbunge naye angekuwa na mimba wakaja wrote Wawili bado huyo mwanaume anaruhusiwa kuchagua mmoja kati yao na kufunga naye ndoa kwakuwa mapenzi hayalazimishwi. Ukumbuke pia kwamba mawaziri wengi na wabunge wengi waliacha wakezao Wa jamani Tena wenye watoto wengi tu kisa wake zao sio wasomi na wakaoa wanawake wengine wasomi Tena kwa ndoa halali za kanisani . mbona hamjawahi kuwaongelea? Au umemuona huyo binti Wa palanjo tu? Inawezekana umetumwa kuvuruga kabisa au ndoa ya huyo binti lakini hutaweza. Huyo binti simfahamu lakini namtakia baraka zote Mungu amtangulie . watanzania tupinguze majungu kama Anna ana haki aende mahakamani kama kuna Mali wamechuma pamoja atapewa share yake
Umeongea point japo baadhi naona umetarua kama bata tu..Niliona gazetini huyo Anna anadai mali ambazo nyingi ni jasho lake zina jina la mzava ziende kwa mtoto wao.Lakini tena inaonekana mshkaji anakataa hadi mtoto.Ndo maana huyo demu kaenda mahakamani kuomba wapime DNA.Hili sakata ukiliangalia vzr inaonekana huyu mshkaji ana roho ngumu sana,hana staha.Mwanamke anakupambania hivyo unamsuprise na pete kwa mwanamke mwingine.Ata kama waliishi katika uzinzi ni nini kimemshindwa mzava kutatua haya matatizo kabla hayajawa faida kwa sisi watizamaji.Vijana wengi wakipata vyeovyeo wanajiona miungu mtu.
 
Back
Top Bottom