Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
"Tunafundishwa daima na shetani kubadili mawe kuwa mkate, wewe ni waziri katika nchi badili mawe haya kuwa mkate, kweli waziri huyu baada ya miezi mitatu tu ana ghorofa 10, ana mabasi 100. Na nyie vijana wangu chochote utakachokipata, kama viongozi na hata kama ni waumini shetani yupo nyuma anataka kuwajaribu, badili mawe kuwa mkate. Ukimkubalia utaingia katika uovu na dhambi"
Mhashamu Renatus Nkwande, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza ameyasema hayo leo Aprili 29, 2025 katika adhimisho la Misa Takatifu ya shukrani kwa Miaka 2025 ya Ukristo duniani, itakayoambatana na uzinduzi wa Majengo ya Madarasa, katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (CUoM).