😄
Aise boda nlipanda kwa mara kwanza nlipokuwa kampala kitambo sana hapo tz bado hazijaingia
Kwa sana maana ug ndiyo kama kwa east Africa zilianza kwa kasi,nanhuko ilikuwa mshikemshike
Zilipoingia bongo kwwa kasi
Bila kuziwekea rules®ulation hapo walikosea
Maana zamani zlikuwa zinakuja pikipiki kama pikipiki, badaye wakawa wana zileta na kuzi assemble
Egypt Kuna pikipiki nyingi kuliko bongo lkn ajali ni chache
Boda anajifunza leo kesho tu anaingia road
Hawai viatu,wanavaa ndara hawavai helmet na wakivaa helmet zenyewe hazina ubora
Kingine barabara zetu hazina motorcycle lanes kama kwa wenzetu
Ova