mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,077
- 132,545
Walikosea tokea mwanzohaya madudue wakati yanaletwa kwa wingi, hakukua na mkakati wa kuyacontrol,
😄Kuna kijana ashàwahi nipakiza, wakati pikipiki inaenda kwa kasi akaachia sterling huku akirekebisha helmet yake
Kutokupata fursa pia ni kutokua na akili!.Kwani bodaboda Sio mtu?
Kuna bodaboda wana akili kuliko baadhi ya wakuu wa mikoa. Hawajapata fursa tu.
NenoKutokupata fursa pia ni kutokua na akili!.
Akili ndo fursa yenyewe..
😹😹😹 Umefanya nicheke mpk ex wangu kajua nimefurahi kumuona..!!Kuna kijana ashàwahi nipakiza, wakati pikipiki inaenda kwa kasi akaachia sterling huku akirekebisha helmet yake
boda wanaoendesha vizuri ni wachache sanaWalikosea tokea mwanzo
Washachelewa
Washapewa sana elimu ila ndy hivyo,
Sema ukiwa kwenye boda mwili wako ndy body
Ova
pale kwa kagame napo huwa wanasema sheria inafatwa sanaMalawi wameweza kuwadhibiti bodaboda,kwanza hakuna usajili, kuanzia Kasumulu hadi unaingia Limbe-Blantyre pikipiki zenye usajili wa Tanzania zimejaa,sasa mwenye pikipiki akigongana na bodaboda mwenzie hakuna kesi, gari akigonga boda trafiki wana waambia malizaneni.
Sasa bodaboda sababisha ajali,utajilaumu kwanini haukufia kwenye ajali...
ExactlyUskute huyo dereva boda alikua bwana wake
Matapeli wa kidini hao!Askofu wa Kanisa la The House of Prayer International Ministry, Kanda ya Songwe na muimbaji wa nyimbo za injili, Sarah Wega, amefariki dunia baada ya Pikipiki (bodaboda) aliyokuwa akisafiria kupata ajali ya kugongwa na lori iliyotokea Machi 16, 2026 katika eneo la Chapwa, Wilaya ya Momba mkoani Songwe.
View attachment 3559095
alishindwaje kuepuka kifo Cousin wako, mkuu?Vingi sana mkuu.
Mimi kuna cousin kafiwa na mwanawe hivihivi.
Binafsi napendelea kupanda kwenye Barabara ndogo za mtaani zenye michangaBodaboda zinasababisha vifo vingi sana.
Tanzania tatizo kubwa lililopo ni kuwa bodaboda umekuwa mtaji wa vyama vya siasa na wapo kwenye mfumo wa serikali kimapato,wenzetu hawana habari kabisa na bodaboda. Hata bei za pikipiki hawa wenzetu zipo chini sana,sijaona pikipiki inazidi 2,000,000 hata iwe Yamaha ya Kijapan.pale kwa kagame napo huwa wanasema sheria inafatwa sana
Askofu halafu muimbaji.. Askofu!Askofu wa Kanisa la The House of Prayer International Ministry, Kanda ya Songwe na muimbaji wa nyimbo za injili, Sarah Wega, amefariki dunia baada ya Pikipiki (bodaboda) aliyokuwa akisafiria kupata ajali ya kugongwa na lori iliyotokea Machi 16, 2026 katika eneo la Chapwa, Wilaya ya Momba mkoani Songwe.
View attachment 3559095
Kwani wapi nilizema cousin wangu anaweza kuepuka kifo?alishindwaje kuepuka kifo Cousin wako, mkuu?
Rip mchungajiAskofu wa Kanisa la The House of Prayer International Ministry, Kanda ya Songwe na muimbaji wa nyimbo za injili, Sarah Wega, amefariki dunia baada ya Pikipiki (bodaboda) aliyokuwa akisafiria kupata ajali ya kugongwa na lori iliyotokea Machi 16, 2026 katika eneo la Chapwa, Wilaya ya Momba mkoani Songwe.
View attachment 3559095
hapa kwetu hata ukikaa na matrafki ukipiga nao story suala la kucontrol boda hakuna majibu ya kueleweka,Tanzania tatizo kubwa lililopo ni kuwa bodaboda umekuwa mtaji wa vyama vya siasa na wapo kwenye mfumo wa serikali kimapato,wenzetu hawana habari kabisa na bodaboda. Hata bei za pikipiki hawa wenzetu zipo chini sana,sijaona pikipiki inazidi 2,000,000 hata iwe Yamaha ya Kijapan.
Kutokupata fursa pia ni kutokua na akili!.
Akili ndo fursa yenyewe..
😄Kwani wapi nilizema cousin wangu anaweza kuepuka kifo?
Are you high or something? Una ugonjwa wa kuathiri fikra zako?