poa mkuuKugongwa na lori
haya madudue wakati yanaletwa kwa wingi, hakukua na mkakati wa kuyacontrol,CHADEMA mkiingia madarakani pigeni marufuku bodaboda na kama ni lazima ziwepo basi wadhibitiwe kwa nguvu kubwa mno, hawa wanasabishia hili Taifa hasara kubwa kuliko faida
Yaani hawa ni wakubanwa zaidi ya Majangili maana hawa wanaua na kulemaza watuhaya madudue wakati yanaletwa kwa wingi, hakukua na mkakati wa kuyacontrol,
Inasikitisha sana.Vingi sana mkuu.
Mimi kuna cousin kafiwa na mwanawe hivihivi.
Hivi karibuni nimeshuhudia bodaboda zinagongana mbele yangu mara nne tofauti. Wanagongana kwa mwendo ule ule. Yaani u ashangaa tu watu wamezagaa barabarani maanake wanakuwa wamebebama eatatu watau. Huwa inanichukua sekunde kadhaa kujua nini kimetokea.Akili za bodaboda wanazijue wenyewe. Japo kuna wakati madereva wa magari wanaweza kuwa ndiyo wamesababisha ajali, lakini boda nao ni wabishi sana.
Kwani bodaboda Sio mtu?Uskute huyo dereva boda alikua bwana wake
hahahaaaUskute huyo dereva boda alikua bwana wake
Fursa ya nini tena kwa bodaboda,wakati kuwa bodaboda tu wao wanaita fursaKwani bodaboda Sio mtu?
Kuna bodaboda wana akili kuliko baadhi ya wakuu wa mikoa. Hawajapata fursa tu.
Malawi wameweza kuwadhibiti bodaboda,kwanza hakuna usajili, kuanzia Kasumulu hadi unaingia Limbe-Blantyre pikipiki zenye usajili wa Tanzania zimejaa,sasa mwenye pikipiki akigongana na bodaboda mwenzie hakuna kesi, gari akigonga boda trafiki wana waambia malizaneni.haya madudue wakati yanaletwa kwa wingi, hakukua na mkakati wa kuyacontrol,
Boda boda mnatuonea sana jamani 😢Akili za bodaboda wanazijue wenyewe. Japo kuna wakati madereva wa magari wanaweza kuwa ndiyo wamesababisha ajali, lakini boda nao ni wabishi sana.
Hatuna shidaUsafiri wa bodaboda siyo wa kuaminika hata kidogo.