Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

Zamani mimi niliingia kichwakichwa bila kuchambua kupata ukweli, sasa nafahamu pesa hizo si za wizi ila wizi ni pale zisipolipiwa kodi. Bank ya mkombozi walilipa kodi lakini ya Stanbic haikulipiwa kodi.

Wapeleke kesi hii mahakamani hakuna ushindi pesa ni halali ya akina Rugemalila.

mkuu hata mimi nimeelewa sasa mwanzoni nilihemka sana.
 
"Kazi za matoleo
Huku akisema tangu apokee fedha hizo hakuna mamlaka yoyote iliyowahi kumhoji Askofu Nzigilwa alisema matoleo ya waumini hutumika katika shughuli na uendeshaji wa jimbo, parokia na taasisi zake; katika miradi maalumu iliyokusudiwa na pia kwa kadri ya matakwa na lengo la mtoaji"

Jimbo, Parokia na taasisi zake hazina akaunti za benki?

Wananchi wamekuwa na imani na maaskofu ila kwa hili sifuri tu acha kuhadaa watu,mbona maaskofu wa makanisa mengine hawakupewa matoleo hayo???? walimu wanadai shilingi ngapi??? hali ya huduma msingi za binadamu ikoje?? mfano afya, maji, barabara, elimu na mengine??? nyie mwajiita wasodhambi kumbe unafiki mtupu jehanamu inawangoja

Sasa pesa ya MTU binafsi inahusikanini kwenye hospitali na mishahara ya walimu!!. Kwani yeye ni serikali? Tuwe tunatoa hoja kwa kufikiri siokufuata mkumbo tu.
 
Mkuu sabuni unayoitumia haitakatishi na hata ungekuja na JIKI mimi ni Mkatoliki nakushauri kaa, wezi wote wapyawapya wajifunze kwa Chenge yeye huwa hoengei na pia jiulize mbona Rugemalira hana uthubutu wa kujitokeza hadharani kumsafisha Askofu wake? Sembuse wewe hujapewa hata mia umetiwa upofu na udini.

Tunajadili kwa hoja si kulalama bila hoja, eleza kinagaubaga cha wizi huo, wizi umetokeaje? Ukinifafanulia nitakuunga mkono, lakini kwa sasa hoja ninayojua pesa hizo za escrow ni mali ya Singasinga na Rugemalila malipo halali kimkataba toka Tanesco kwa kuuziana umeme. Wizi ninaoutambua mimi katika sakati hili ni pesa zisipolipiwa kodi jambo ambalo pesa zilizopitia bank ya Mkombozi tulianikiwa hapa kodi ililipwa. Huko Stanbic badi siri.

Hivyo lete hapa ufafanuzi wa wizi hapa jamii forums ni huru si pa kulalamika ila kujadili hoja
 
Wewe "Askofu" bora ungelikaa kimya. Unadhani watu wote ni wajinga? Kwa nini itokee matoleo kwenye hela za scandle kama hizi/hela chafu na si huko nyuma? Unawafundissha nini waumini, ubingwa wa kugeuza maneno. Afadhali ungelikaa kimywa kuliko kutoa uharo kama huu. Unatuaibisha wakatoliki! Hopeless "Askofu"

Mkuu acha jazba'. Acha kuongea kama umekatwa kichwa, pesa imeingizwa kwenye account mwezi February. Scendal imebainika baada ya pesa kuingia kwenye account yeye angejuaje.
 
Huyu Nzigilwa asubiri tu panga la Pope Francis. Kimsingi atatengwa kama Askofu Jacob Koda wa Same. Pope wa sasa hivi hapendi kabisa maaskofu na mapadri wanaojilimbikizia mali na kuishi maisha ya anasa.
 
"Kazi za matoleo
Huku akisema tangu apokee fedha hizo hakuna mamlaka yoyote iliyowahi kumhoji Askofu Nzigilwa alisema matoleo ya waumini hutumika katika shughuli na uendeshaji wa jimbo, parokia na taasisi zake; katika miradi maalumu iliyokusudiwa na pia kwa kadri ya matakwa na lengo la mtoaji"

Jimbo, Parokia na taasisi zake hazina akaunti za benki?

Nijaribu kufafanua kidogo hapa
Watumishi wa kanisa ambao ni wachungaji iwe Maaskofu, mapadre au mashirika ya watawa wa kiume au kiume huruhusiwa kuwa na account, lakini account hizo huwa wazi na kujulikana kwa mhasibu mkuu wa jimbo kuna baadhi huita TG (Treasure General) na wengine Procurator
. Katika account hizo binafsi ndimo mafao ya posho za utumishi wao huwekwa humo na na ndizo zinazotumika kwa matumizi binafsi kama mavazi, na kujikimu kimaisha. Ila baadhi ya mashirika ya watawa hairuhusiwi kuwa na account binafsi ila accont ya shirika tu.

Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.

Mfano jimbo Katoliki Njombe Mhashamu Askofu Alfred Maluma hupewa misaada kadhaa kujenga vinu vya vinavyoendeshwa na nguvu ya maji kuzalisha umeme katika parokia na vijiji kadhaa ambapo Rais Kikwete alienda kufungua mmoja wa mradi huo Tarafa ya mawengi huko Ludewa, wahisahi hupitisha pesa hizo moja kwa moja kwa Askofu na askofu huelekeza kwenye mradi uliokusudiwa.

Kawaida maaskofu si watu wa kujilimbikizia mali na matanuzi binafsi katika jimbo, hata huduma za usafiri ni mali ya kanisa na kipindi wanapomwendea baba wa milele account yake inakuwa mali ya kanisa hata gari atumialo ni mali ya kanisa ndio utaratibu wa kanisa Katoliki.

:frusty::A S-confused1:😛layball::frusty::A S-confused1:😛layball::frusty::A S-confused1:😛layball:

​
Pesa kwenye account ya Rugemalila zilizotoka bank Kuu kwenye account ya ESCROW zilikuwa halali ya malipo ya ubia ya mtajwa na sharti la bank ya Mkombozi ilikuwa pesa haitatoka hadi ilipiwa kodi na ndivyo ilviyofanyika. Rugemalila ilikuwa pesa yake halali tokana na ubia kwenye mradi wa umeme. Kama yalikuwa malipo zaidi ya ilivyotakiwa ni makosa ya wanasheria wa serikali, mfanya biashara ye yote anaangalia faida ataipataje na mteja jukumu lake kulinda gharama zisiwe juu.

Rugemalila pato lake kwa kuwa ni kubwa alivyozoea aliamua kuelekeza pesa hizo kwenye shughuli za umma, na ili pesa ifanye kazi iliyokusudia kuna watu anaowaamini watazifanyia kazi kwa manufaa ya umma ndio maana alielekeza kwa maaskofu ambao wanafanya maendeleo ya umma bila kinyongo wala kuwa na bodi za kugawiana pesa.

Kosa la kuingiziwa pesa hizo lipo wapi wakati mtoaji Rugemalila ni pesa yake halali tokana na ubia wa uzalishaji umeme?

Bank ya Stanbic ndiyo inayotakiwa kulalamikiwa kwa kutotoza kodi pesa toka acc. ya ESCROW na ndio maana inafisha taarifa tokana na kosa hilo.
 
Tunajadili kwa hoja si kulalama bila hoja, eleza kinagaubaga cha wizi huo, wizi umetokeaje? Ukinifafanulia nitakuunga mkono, lakini kwa sasa hoja ninayojua pesa hizo za escrow ni mali ya Singasinga na Rugemalila malipo halali kimkataba toka Tanesco kwa kuuziana umeme. Wizi ninaoutambua mimi katika sakati hili ni pesa zisipolipiwa kodi jambo ambalo pesa zilizopitia bank ya Mkombozi tulianikiwa hapa kodi ililipwa. Huko Stanbic badi siri.

Hivyo lete hapa ufafanuzi wa wizi hapa jamii forums ni huru si pa kulalamika ila kujadili hoja

Mkuu wangu naona unatumia nguvu nyingi bure, mimi na wewe wote ni wakatoliki tumuombe Rugemalira ajitokeze kumsafisha Askofu kuliko Askofu kubwata tu wakati mtoa pesa yupo, anaogopa nini?
 
Nijaribu kufafanua kidogo hapa
Watumishi wa kanisa ambao ni wachungaji iwe Maaskofu, mapadre au mashirika ya watawa wa kiume au kiume huruhusiwa kuwa na account, lakini account hizo huwa wazi na kujulikana kwa mhasibu mkuu wa jimbo kuna baadhi huita TG (Treasure General) na wengine Procurator
. Katika account hizo binafsi ndimo mafao ya posho za utumishi wao huwekwa humo na na ndizo zinazotumika kwa matumizi binafsi kama mavazi, na kujikimu kimaisha. Ila baadhi ya mashirika ya watawa hairuhusiwi kuwa na account binafsi ila accont ya shirika tu.

Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.

Mfano jimbo Katoliki Njombe Mhashamu Askofu Alfred Maluma hupewa misaada kadhaa kujenga vinu vya vinavyoendeshwa na nguvu ya maji kuzalisha umeme katika parokia na vijiji kadhaa ambapo Rais Kikwete alienda kufungua mmoja wa mradi huo Tarafa ya mawengi huko Ludewa, wahisahi hupitisha pesa hizo moja kwa moja kwa Askofu na askofu huelekeza kwenye mradi uliokusudiwa.

Kawaida maaskofu si watu wa kujilimbikizia mali na matanuzi binafsi katika jimbo, hata huduma za usafiri ni mali ya kanisa na kipindi wanapomwendea baba wa milele account yake inakuwa mali ya kanisa hata gari atumialo ni mali ya kanisa ndio utaratibu wa kanisa Katoliki.
Hizi pesa za Brother Ruge zilikuwa zinatafutwa watu wenye sifa au silika fulani. Kwa makasisi ni lazima awe wa kabila lake! Ebu aeleze ni mradi gani huyu Askofu katika jimbo kuu anaosimamia uliokuwa unafadhiliwa. Wa Njombe tumeuelewa, lakini wa huyu hatujatajiwa. Jimbo Kuu la Dar lina kiongozi wake ni Kardinali na Askofu mwingine. Tungetarajia ikiwa ni wa mradi wa Jimbo angepewa Kardinali!
 
Nijaribu kufafanua kidogo hapa
Watumishi wa kanisa ambao ni wachungaji iwe Maaskofu, mapadre au mashirika ya watawa wa kiume au kiume huruhusiwa kuwa na account, lakini account hizo huwa wazi na kujulikana kwa mhasibu mkuu wa jimbo kuna baadhi huita TG (Treasure General) na wengine Procurator
. Katika account hizo binafsi ndimo mafao ya posho za utumishi wao huwekwa humo na na ndizo zinazotumika kwa matumizi binafsi kama mavazi, na kujikimu kimaisha. Ila baadhi ya mashirika ya watawa hairuhusiwi kuwa na account binafsi ila accont ya shirika tu.

Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.

Mfano jimbo Katoliki Njombe Mhashamu Askofu Alfred Maluma hupewa misaada kadhaa kujenga vinu vya vinavyoendeshwa na nguvu ya maji kuzalisha umeme katika parokia na vijiji kadhaa ambapo Rais Kikwete alienda kufungua mmoja wa mradi huo Tarafa ya mawengi huko Ludewa, wahisahi hupitisha pesa hizo moja kwa moja kwa Askofu na askofu huelekeza kwenye mradi uliokusudiwa.

Kawaida maaskofu si watu wa kujilimbikizia mali na matanuzi binafsi katika jimbo, hata huduma za usafiri ni mali ya kanisa na kipindi wanapomwendea baba wa milele account yake inakuwa mali ya kanisa hata gari atumialo ni mali ya kanisa ndio utaratibu wa kanisa Katoliki.

:frusty::A S-confused1:😛layball::frusty::A S-confused1:😛layball::frusty::A S-confused1:😛layball:

​
Pesa kwenye account ya Rugemalila zilizotoka bank Kuu kwenye account ya ESCROW zilikuwa halali ya malipo ya ubia ya mtajwa na sharti la bank ya Mkombozi ilikuwa pesa haitatoka hadi ilipiwa kodi na ndivyo ilviyofanyika. Rugemalila ilikuwa pesa yake halali tokana na ubia kwenye mradi wa umeme. Kama yalikuwa malipo zaidi ya ilivyotakiwa ni makosa ya wanasheria wa serikali, mfanya biashara ye yote anaangalia faida ataipataje na mteja jukumu lake kulinda gharama zisiwe juu.

Rugemalila pato lake kwa kuwa ni kubwa alivyozoea aliamua kuelekeza pesa hizo kwenye shughuli za umma, na ili pesa ifanye kazi iliyokusudia kuna watu anaowaamini watazifanyia kazi kwa manufaa ya umma ndio maana alielekeza kwa maaskofu ambao wanafanya maendeleo ya umma bila kinyongo wala kuwa na bodi za kugawiana pesa.

Kosa la kuingiziwa pesa hizo lipo wapi wakati mtoaji Rugemalila ni pesa yake halali tokana na ubia wa uzalishaji umeme?

Bank ya Stanbic ndiyo inayotakiwa kulalamikiwa kwa kutotoza kodi pesa toka acc. ya ESCROW na ndio maana inafisha taarifa tokana na kosa hilo.

Is there "transparency and accountability"? If funds are meant for Hospital why don't he provide Hospital's account?
 
Huyu Nzigilwa asubiri tu panga la Pope Francis. Kimsingi atatengwa kama Askofu Jacob Koda wa Same. Pope wa sasa hivi hapendi kabisa maaskofu na mapadri wanaojilimbikizia mali na kuishi maisha ya anasa.

Vatican hawafuati upepo kama bendera, kuna wasomi wanachambua ndago na ngano shambani, mnalalamika tu bila kuleta hoja yaufafanuzi wa wizi huo. Mimi nasema pesa si za wizi ila malipo halali ya mkataba wa kuuziana umeme kati na Tanesco na wawekezaji Singasinga na Rugemalila, bank ya mkombozi ilitoza pesa hizo kodi, sasa kosa la wizi ni wapi? Acheni kulalamika leteni ya uchambuzi wa wizi huo kutushawishi si kwa mipasho.
 
Is there "transparency and accountability"? If funds are meant for Hospital why don't he provide Hospital's account?

Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.
 
Hizi pesa za Brother Ruge zilikuwa zinatafutwa watu wenye sifa au silika fulani. Kwa makasisi ni lazima awe wa kabila lake! Ebu aeleze ni mradi gani huyu Askofu katika jimbo kuu anaosimamia uliokuwa unafadhiliwa. Wa Njombe tumeuelewa, lakini wa huyu hatujatajiwa. Jimbo Kuu la Dar lina kiongozi wake ni Kardinali na Askofu mwingine. Tungetarajia ikiwa ni wa mradi wa Jimbo angepewa Kardinali!
Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.
 
Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.

I am a Roman Catholic. Kama Paroko ni signatory kwenye akaunti ya Zahanati kwani awape wafadhili akaunti binafsi badala ya ile ya Zahanati ambayo iko wazi zaidi hata bank statements zinachuliwa na Mhasibu na miamala yake kuhakikiwa? We need to change
 
​huyu nae angepiga kimya tu

Bora mara sabini...angekaa kimyaaa maswali ni yale yale kwani Kanisa halina Akaunti!? Matoleo si hutolewa kanisani!? Aliyesema matoleo ya kanisa hupokelewa na mtu binafsi ni nani!? Ni maandiko yapi hufundisha hivyo
 
Mkuu wangu naona unatumia nguvu nyingi bure, mimi na wewe wote ni wakatoliki tumuombe Rugemalira ajitokeze kumsafisha Askofu kuliko Askofu kubwata tu wakati mtoa pesa yupo, anaogopa nini?

Sijaona hoja unayotoa kulalamikia pesa hizo kwamba ni za wizi bila kutuletea uchambuzi wa wizi huo. Mimi nimeelezea hoja wazi bila kuficha kwamba pesa si za wizi kwa vile ni malipo halali ya mkataba wa kuuziana umeme kati ya Tanesco na wawekezaji Singasinga na Rugemalalila na hivyo gawio la Rugamalila ni halali yake na yuko huru kuzitumia pesa hizo apendavyo kwa vile ni zake.

Sasa niletee hoja yako kupinga hoja yangu jamii forums tunashindana kwa hoja si kulalamika kwa mipasho.
 
Bora mara sabini...angekaa kimyaaa maswali ni yale yale kwani Kanisa halina Akaunti!? Matoleo si hutolewa kanisani!? Aliyesema matoleo ya kanisa hupokelewa na mtu binafsi ni nani!? Ni maandiko yapi hufundisha hivyo

Watumishi wa kanisa ambao ni wachungaji iwe Maaskofu, mapadre au mashirika ya watawa wa kiume au kiume huruhusiwa kuwa na account, lakini account hizo huwa wazi na kujulikana kwa mhasibu mkuu wa jimbo kuna baadhi huita TG (Treasure General) na wengine Procurator. Katika account hizo binafsi ndimo mafao ya posho za utumishi wao huwekwa humo na na ndizo zinazotumika kwa matumizi binafsi kama mavazi, na kujikimu kimaisha. Ila baadhi ya mashirika ya watawa hairuhusiwi kuwa na account binafsi ila accont ya shirika tu.

Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.

Mfano jimbo Katoliki Njombe Mhashamu Askofu Alfred Maluma hupewa misaada kadhaa kujenga vinu vya vinavyoendeshwa na nguvu ya maji kuzalisha umeme katika parokia na vijiji kadhaa ambapo Rais Kikwete alienda kufungua mmoja wa mradi huo Tarafa ya mawengi huko Ludewa, wahisahi hupitisha pesa hizo moja kwa moja kwa Askofu na askofu huelekeza kwenye mradi uliokusudiwa.

Kawaida maaskofu si watu wa kujilimbikizia mali na matanuzi binafsi katika jimbo, hata huduma za usafiri ni mali ya kanisa na kipindi wanapomwendea baba wa milele account yake inakuwa mali ya kanisa hata gari atumialo ni mali ya kanisa ndio utaratibu wa kanisa Katoliki.

Sipingani na pia sikubaliani na maelezo yako. Kuna miradi ambayo inasimamiwa na kanisa kwa ujumla na kuna miradi ambayo kiongozi binafsi anasimamia ni ya kanisa. Pesa zinapoombwa na mhuhusika kwa mradi anakusudiwa pesa hizo zitatumwa kwa mhusika kwa ajili ya mradi ulioombewa pesa. Account ya jimbo ni jumla mno sawa na pesa ya serikali kuelekezwa hazina ni mkanganyiko kuliko ikielekezwa kwa Makinda aliyeomba kujenga uzio bungeni.

Kuna tofauti ya sadaka kanisani na pesa zinazotolewa kusaidia maendeleo. Watoaji hutujia njia kupitishia kwa mtu wanayemwamini, hili ni po pote duniani.

Wahisani pia hata wakati hawajaombwa kama wana pesa tayari wanaweza kuzipekeka kwa mtu ambaye wanamwamini atazitumia kwa manufaa ya huduma za umma kama alivyofanya Rugemalila kugawa pesa alizopata tokana na pato gawio lake la ubia.
Hapa Umenena. Lakini katika maelezo ya Baba Askofu haionyeshi kama alikuwa ameomba ufadhili wa mradi wowote bali aliombwa akaunti na akadondokewa fedha ambazo hata yeye idadi yake kilimshangaza!
 
Nijaribu kufafanua kidogo hapa
Watumishi wa kanisa ambao ni wachungaji iwe Maaskofu, mapadre au mashirika ya watawa wa kiume au kiume huruhusiwa kuwa na account, lakini account hizo huwa wazi na kujulikana kwa mhasibu mkuu wa jimbo kuna baadhi huita TG (Treasure General) na wengine Procurator
. Katika account hizo binafsi ndimo mafao ya posho za utumishi wao huwekwa humo na na ndizo zinazotumika kwa matumizi binafsi kama mavazi, na kujikimu kimaisha. Ila baadhi ya mashirika ya watawa hairuhusiwi kuwa na account binafsi ila accont ya shirika tu.

Kuna wahisani wanaosaidia maendeleo katika kanisa iwe nyanja za afya, elimu, utume nk hupenda kutoa pesa zao na kuzielekeza kupitia kwa mtumishi wa kanisa iwe askofu au padre kadiri ya usimamizi wa miradi na shughuli alizo nazo na hata kwa mashirika ya watawa. Kwa kawaida pesa hizo huweza kuwekwa kwenye account yake binafsi na kisha matumizi yake kuyaelekeza kwenye shughuli iliyokusidiwa na wahisani. Hii hufanyika kwa malengo ya kuaminiwa mtumishi huyo ili pesa ifanye kazi kwa shughuli iliyokusudiwa na wahisani huhitaji kujua ufanisi wa mradi wanaoufadhilia.

Mfano jimbo Katoliki Njombe Mhashamu Askofu Alfred Maluma hupewa misaada kadhaa kujenga vinu vya vinavyoendeshwa na nguvu ya maji kuzalisha umeme katika parokia na vijiji kadhaa ambapo Rais Kikwete alienda kufungua mmoja wa mradi huo Tarafa ya mawengi huko Ludewa, wahisahi hupitisha pesa hizo moja kwa moja kwa Askofu na askofu huelekeza kwenye mradi uliokusudiwa.

Kawaida maaskofu si watu wa kujilimbikizia mali na matanuzi binafsi katika jimbo, hata huduma za usafiri ni mali ya kanisa na kipindi wanapomwendea baba wa milele account yake inakuwa mali ya kanisa hata gari atumialo ni mali ya kanisa ndio utaratibu wa kanisa Katoliki.

:frusty::A S-confused1:😛layball::frusty::A S-confused1:😛layball::frusty::A S-confused1:😛layball:

​
Pesa kwenye account ya Rugemalila zilizotoka bank Kuu kwenye account ya ESCROW zilikuwa halali ya malipo ya ubia ya mtajwa na sharti la bank ya Mkombozi ilikuwa pesa haitatoka hadi ilipiwa kodi na ndivyo ilviyofanyika. Rugemalila ilikuwa pesa yake halali tokana na ubia kwenye mradi wa umeme. Kama yalikuwa malipo zaidi ya ilivyotakiwa ni makosa ya wanasheria wa serikali, mfanya biashara ye yote anaangalia faida ataipataje na mteja jukumu lake kulinda gharama zisiwe juu.

Rugemalila pato lake kwa kuwa ni kubwa alivyozoea aliamua kuelekeza pesa hizo kwenye shughuli za umma, na ili pesa ifanye kazi iliyokusudia kuna watu anaowaamini watazifanyia kazi kwa manufaa ya umma ndio maana alielekeza kwa maaskofu ambao wanafanya maendeleo ya umma bila kinyongo wala kuwa na bodi za kugawiana pesa.

Kosa la kuingiziwa pesa hizo lipo wapi wakati mtoaji Rugemalila ni pesa yake halali tokana na ubia wa uzalishaji umeme?

Bank ya Stanbic ndiyo inayotakiwa kulalamikiwa kwa kutotoza kodi pesa toka acc. ya ESCROW na ndio maana inafisha taarifa tokana na kosa hilo.

Mkuu humu kuna watu wanafuata Benderatu, Mimi sitetei ufisadi!. Ila humu kunawatu sijui in IQ ndogokuelewa mambo au nimakusudi sijui, yani mmoja akisema flani mbaya basi nawengine wooote wanaunga mkono bilahatakujiridhisha na kuchambua hojakwanza.
 
Back
Top Bottom