MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 762
Bado hujajibu kosa liko wapi. Inaonekana umekasirika bila kujua umekasirikia nini.
Wewe ulishawahi kutoa sadaka kwa kutumia acount binafsi ya padri askofu mchungaji au hata mwinjilisti?
Bado hujajibu kosa liko wapi. Inaonekana umekasirika bila kujua umekasirikia nini.
Assume kama ungekuwa umeingiziwa wewe ungeendelea kupiga kelele?
Wewe ulishawahi kutoa sadaka kwa kutumia acount binafsi ya padri askofu mchungaji au hata mwinjilisti?
Hapa mtu hasafishiki
Acha uvivu soma taarifa vizuri. Aliombwa acc.
Ha haa haa, nauhakika unasoma pasipo kuelewa, mimi sina tatizo na Baba Askofu kupokea pesa toka kwa muumini wake, lakini maelezo yake yanaonyesha kuna tatizo, ''wamefahamiana tangu 2008, Ruge amekuwa akitoa matoleo tangu kipindi hicho, lakini Feb mwaka jana ndio amemwomba account yake kwa ajili ya kutoa matoleo!!
hata mimi ninatoa matoleo kanisani kwetu, account ya Kanisa naifaham; ya Mchungaji siifahamu, ya nini?? kama kuna mfadhili wa nje ya kanisa anataka kutoa kupitia mimi, project hiyo itaanza na discussions and fund transfer itafuata.

Wizi upo na ndio maana swala hili haliishi.kuna wizi hapo jamani? mbona tunahemuka sana.
Kaibe na wewe BOT leo , na umpatie huyo askofu, nawe utabarikiwa.Kabarikije?
Mkuu inatia kichefu chefu kuwa kwa vile ameshirikishwa askofu matunda ya wizi, basi inakuwa halali?Thread hii inazidi kunifunguwa akili kwa nini Ccm imetawala mpaka leo, turufu ya udini imewanufaisha sana, linapokuja swala la dini hata waliosoma na madegree yao wanakuwa hawana tofauti na darasa la nne kwenye reasoning.
Aache kujidai askofu, aingie mitaani kupiga dili, na anaweza kuonja Segerea.Mbona unapiga sana kelele? Ungeingiziwa wewe ungekataa?
Wewe wacha kujitoa akili huyo Pengo mwenyewe akitaka pesa huwa anatuomba sisi parokia zote za Dar kila muumini tumchangie shilling 200 tu je unajuwa tupo wakatoliki wangapi Dar? Ukipata jibu ndio ujuwe Pengo hana shida na pesa za wezi kwa sababu tunampa pesa ya kutosha.
Huyu mshenzi kanisa likikaa kimya tuna-declare kua kanisa hili ni taasisi ya watakasishaji wa pesa chafu, na ni wezi kama wezi wengine.
Vatican tutapeleka taarifa za uchafu huu wote wa huyu askofu kanjanja alafu Vatican wakisupport huu upumbavu na waumini wakakaa kimya tutaendelea kutangaza uovu huu ni wa kanisa na sio wa askofu binafsi.
bwana mdogo haya matoleo yalikuwa maalumu kwa askofu sio kanisa acha ukilaza.
Aache kujidai askofu, aingie mitaani kupiga dili, na anaweza kuonja Segerea.
Watu wasijidai watu wa Mungu kumbe ni wezi.
ha ha ha
bint yangu remote
kumbe hizo sadaka mnazotoa huwa ni maalum kwa maaskofu binafsi na sio kwa kanisa eeh???
teh teh teh
aibu hii wzi hadi ndan ya makanisaa....
lol