CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Wewe "Askofu" bora ungelikaa kimya. Unadhani watu wote ni wajinga? Kwa nini itokee matoleo kwenye hela za scandle kama hizi/hela chafu na si huko nyuma? Unawafundissha nini waumini, ubingwa wa kugeuza maneno. Afadhali ungelikaa kimywa kuliko kutoa uharo kama huu. Unatuaibisha wakatoliki! Hopeless "Askofu"