Huwezi kuzuia padre au askofu kuwa na acount binafsi, hata tu kule uhasibu wa jimboni kila mtumishi yaani padre hata askofu ana account yake.
Kuna baadhi ya maeneo yako mbali na ofisi za jimbo, mfano jimbo kuu la Tabora watumishi wa kanisa wanaoishi Sikonge muhimu kuwa na account zao bank ya pale sikonge kuliko gharama ya kwenda hadi makao makuu ya mkoa na jimbo kuu Tabora. Jaribu kuona jambo hili kipana zaidi. Na hakuna kosa la wazi kuingiziwa pesa kwenye account binafsi kwa vile ni jambo lililozoeleka hivyo toka kwa wahisani mbalimbali sababu ya mtumishi wa kanisa kuaminiwa.
Watumishi wengine sio waaminifu,kuna njia nyingi sana ya askofu au padre kupata pesa sehemu yoyote alipo Tanzania sio lazima kuwa na account binafsi!!