Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

Kama ni kweli kwamba hasikilizwi na Mungu, basi sawa! Bali ikiwa Mungu aliye hai humsikikiza huyo bishop, na upigwe na corona, ufe umfuate Baba ako, huku umalaikani, au motoni, kufa hata leo!
mimi siabudu miungu inayosapoto sodoma na goroma kama wewe na askofu wako. mimi namwabudu Mungu wa kweli,Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel. na kwa kauli yako hiyo, ninaitengua na kuirudisha kwako hukohuko, hiyo corona ikupate wewe na familia yako yote hadi mjue kuna Mungu anayekataza ushoga. lakini nawaombea kwa Mungu msife. binafsi sitakufa kwa matakwa yako, nitaishi ili niyasimulie matendo makuu ya Mungu, kwa utukufu wa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
 
Hamna Mungu anaemsikiliza huyo mburula ata yule mungu ngombe wa kibaniani amekataa., kama kwaya zimekuwa dua sawa.
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
MUNGU ni MWEMA ATASIKIA UONEVU HUO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
mimi siabudu miungu inayosapoto sodoma na goroma kama wewe na askofu wako. mimi namwabudu Mungu wa kweli,Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo, Mungu wa Israel. na kwa kauli yako hiyo, ninaitengua na kuirudisha kwako hukohuko, hiyo corona ikupate wewe na familia yako yote hadi mjue kuna Mungu anayekataza ushoga. lakini nawaombea kwa Mungu msife. binafsi sitakufa kwa matakwa yako, nitaishi ili niyasimulie matendo makuu ya Mungu, kwa utukufu wa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
Hakuna kitu hapo umekariri tu, mjinga wa maandiko! Umepaniki, haya nimekusamehe, hutakifa, lakini usirudie tena! Alafu jifunze kiandika, inayosapoto ni nini? Kuabudu ccm tu, kutakupeleka jehanamu wewe kibaraka!
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Mimi nimetoa siku 7 kwa mhusika mkuu wa ugaidi dhidi ya mbowe, kama hakusitisha ugaidi wake, basi mniulize ifikapo 27.03.2022
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Afanye maombi COVID-19 ipotee Tanzania
 
he might have gone insane, yaani kwenye maombi yangu nimuombee diktator ili Hali Kuna wagonjwa ,masikini,yatimina wajane
 
Kama kweli haya anayotendewa Mbowe anaonewa Mungu atende muujiza na kuwaangamiza watesi wake.......

Kama kweli Mbowe ametenda haya anayoshutumiwa moto wa Mungu mpenda haki umuangamize Mbowe na genge lake..........

AMEN.......AMEN.......AMEN....
 
Tunasoma Neno lake na kujua nini Mungu anataka. Mungu anakataza ushoga ambao huyo askofu wenu mwamakula ni wakala, ndio maana hata sodoma na goroma aliwateketeza, kwasababu ya ufirauni anaouwakilisha huyo kimbaumbau.
Unauhakika kama biblia ninmaneno ya mungu. Kama watu waliamua kumlisha maneno mdomoni.
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
La Mgambo Limelia
 
Ingekuwa dua na maombi yanajibiwa kwa binadamu kutaka basi GEORGE BUSH na OBAMA wangeshakuwa kaburini ama machizi....Wakristo na waislam wa Iraq na Syria WAMEOMBA SANA.....

#KaziIendelee
Mwamakula aliomba tar 24 februari, Tar 28 februari mtu kaanza kuumwa kichwa, tar 17 marchi akatangulia kwa ibilisi
 
Mwenyezi Mungu hayuko mfukoni mwa ASKOFU MWAMAKULA.....

ENDELEENI KUJIFARIJI

#TujiandaeNaChanjo
#NchiKwanza
#JMTMilele
#KaziIendelee
 
askofu wa kanisa linaloruhusu ndoa za jinsia moja. anamwomba mungu gani, baali au Mungu anayekataza usodoma? hako kajamaa hakajui nini maana ya askofu. ameweka pembeni Biblia amekuwa chadema, si akagombee tu ubunge kama mwenzie gwajiboy? ni kavurugaji na serikali ifike mahali ichoke. wasimuogope, ni wakristo wachache sana wanamsapotu huyo kimbaumbau.
Unaweza kuthibitisha hayo uliyoyanena juu ya Askofu?
 
View attachment 1870225

Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii

1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi

7. Leo Askofu anatangaza dua kuhusu suala la Mbowe.

Hizi dua zichukulieni poa tu, lakini Siyo za kufanyia mchezo.
Zikianza kuwatafuna, msitafute mchawi!
Nitawakilisha upande wa kaliba yetu ile kwenye haya maombi...Ma ajifunze ya kayafa
 
Back
Top Bottom