Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 4,393 Reaction score 14,500 Sep 30, 2025 #1 Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya. Your browser is not able to display this video.
Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya. Your browser is not able to display this video.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,773 Reaction score 35,993 Sep 30, 2025 #2 Na huyo RPC alijuaje ana madeni? Kuwa amekimbia madeni Itakuwa alikuwa ametekwa