Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

Uaskofu alisomea nchi gani za Magharibi au alifundishwa na walimu kutokea Nchi gani za western tukilijuwa hilo hapo tena tutaweza kunganisha na kulitolea ufafanuzi ,kwani kuna maradhi mengine hayatibiki sio rahisi ,namkumbuka mzee wetu Kingunge yalimkuta alipokuwa shule ikambidi awaulize wazungu why are you doing that to us !!!!!!! namnukuu mzee wetu na ndio mpaka leo anasema hatakji kusikia mambo ya Dini .
 
Mtikila njaa msanii wa mjini tu,anajuwa lazima avute mkwanja kwenye hili kwasababu watu wa hiyo dini sidhani kama watataka iwe dragged kwa muda.

Madai ni kuwa frisked improperly/inappropriately, ama ni kuwa grabbed makalio?maana toka haya mambo ya ugaidi kumekuwa na kesi za "inappropriately frisking"

Njaa noma kweli.Si angeshitaki kabisa na kutishiwa na silaha pamoja na luwa kinapded ama kuwa held against their will?kwasababu si waliambiwa hawaruhusiwi kutoka nje,mlango akaulock na kusema anayo bastola?
 
kasisi mtikila ,kama kweli kakufanyia hivyo inabidi akulipe fidia kubwaa, kisheria hilo ni shambulio la aibu,kama lengo lilikuwa ni kukagua silaha basi hiyo kazi ni ya vyombo vya dola si ya askofu mokiwa. ni wazi alikuwa na lake jambo!
 
magazeti karibu yote makubwa hayajaripoti ni ya udaku,tendeni haki acheni upendeleo,ange kuwa shekh,ni kurasa za mbele kabisa,hii kali ,me naona kama ni vichekesho,nimecheka sana leo.
 
nimeshindwa kujua kama habari hii inachekesha au inasikitisha, afu jamaa kamwaga sosi la kushiba... mpaka peji namba.

Unajua watu ni wabishi mno kiasi kwamba kama huamini kwamba habari hii imetoka basi chukua gazeti soma kweny epage hiyo. Pia kama hukupata gazeti basi piga simu kwa mhariri akuwekee nakala yako.
 
mtikila,,, tangu juni unashtaki leo???? Au ndio ulipatwa na MFADHAIKO!!!!!!!

Kwenye sheria yoyote mashtaka yana kitu kinaitwa Status of Limitation yaani maximum time for plaintiff to be submitted.
Kama Status of Limitation ni miaka mitatu basi unaweza kukaa miaka mitatu bila kushitaki lakini ikishapita hiyo mitatu huwezi tena kushitaki
 
Mokiwa hakustahili kuwa askofu, sasa matakoni kwa mwenziye alikuwa anatafuta nini? Mwache alipe na hizo zilipe yeye mwenyewe na wala sio kanisa
 
Uaskofu alisomea nchi gani za Magharibi au alifundishwa na walimu kutokea Nchi gani za western tukilijuwa hilo hapo tena tutaweza kunganisha na kulitolea ufafanuzi ,kwani kuna maradhi mengine hayatibiki sio rahisi ,namkumbuka mzee wetu Kingunge yalimkuta alipokuwa shule ikambidi awaulize wazungu why are you doing that to us !!!!!!! namnukuu mzee wetu na ndio mpaka leo anasema hatakji kusikia mambo ya Dini .

Uaskofu hausomewi, na hata yeye Mokiwa akikupa vyeti vyake huwezi kukuta hata kimoja kinchoonyesha kama aliwahi kusomea uaskofu.
 
Mtikila njaa msanii wa mjini tu,anajuwa lazima avute mkwanja kwenye hili kwasababu watu wa hiyo dini sidhani kama watataka iwe dragged kwa muda.

Madai ni kuwa frisked improperly/inappropriately, ama ni kuwa grabbed makalio?maana toka haya mambo ya ugaidi kumekuwa na kesi za "inappropriately frisking"

Njaa noma kweli.Si angeshitaki kabisa na kutishiwa na silaha pamoja na luwa kinapded ama kuwa held against their will?kwasababu si waliambiwa hawaruhusiwi kutoka nje,mlango akaulock na kusema anayo bastola?

Si huwa mnalaumu duniani kwamba mapadri wananyanyasa na kuwalawiti watu kwa nguvu na watu hao wakikaa kimya mnalaumu ukimya wao.

Sasa, Mtikila anakupeni sura inayotokea ukiacha kukaa kimya na kwenda Mahakamani.
 
magazeti karibu yote makubwa hayajaripoti ni ya udaku,tendeni haki acheni upendeleo,ange kuwa shekh,ni kurasa za mbele kabisa,hii kali ,me naona kama ni vichekesho,nimecheka sana leo.

Unayoyaita magazeti makubwa ni yapi. Kama yanazembea kutoa habari hii ambayo ni kesi ya Mahakamani basi wenzao wataitoa.
 
Mtikila ni mtu mwenye akili sana, hapa unaona angeweza kufungua kesi ya kutishia kuuwa kwa silaha, lakini katumia udhaifu wa kanisa kwenye msimamo wa mahusiano ya jinsia moja kuwadhalilisha.
 
Hahahahahahahaha

Mtikila bwana! Yani ali mwacha
amshike makalio ili amlipe fidia.
Hujui huwa anaishi kwa kesi za madai? Na anaziweza kwa sababu hoja iliyoandikwa ametengeneza mazingira mazuri ya kutetea hiyo hoja. i.e mlango ulifungwa hivyo hakuweza kukumbia, kitendo cha kumsearchi mtu bila search warranty kinaweza kikaletea matatatizo aliye msearch mwenzie na kawaida wewe mwenyewe unayemsearch mwenzako unatakiwa ujisearch kwanza. Na ukiangalia yeye mahakani ndio kwakwe na sheria anazijua.
 
Si huwa mnalaumu duniani kwamba mapadri wananyanyasa na kuwalawiti watu kwa nguvu na watu hao wakikaa kimya mnalaumu ukimya wao.

Sasa, Mtikila anakupeni sura inayotokea ukiacha kukaa kimya na kwenda Mahakamani.
Unajuwa maana ya kuwa frisked?
 
nilikuwa na mawazo ila nilivyosoma hii habari imenifanya nicheke saaana duh kweli watu tunaenda mbali na huyo mtikila nina wasiwasi utashikwaje ****** na mwanaume mwenzako upate mfadhaiko??? hapo nina wasiwasi angekuwa msichana sawa ila mwanaume usisimke?? ha ha ha haki ya nani mtikila amejiabisha kama ni kweli wa mambo haya. na huyo askofu aliyemshika makalio asipoangalia anaweza kuitoa hiyo faini maana huyu jamaa kwa kesi ni hodari. leo kaibukia kanisani. Tanganyika ni zaidi uijuavyo.
 
Cha kushangaza sio June tu, tena ni June ya mwaka jana alikuwa wapi? Au kesi zake zinakwenda Kwa series Kama album vile inavyoingia sokoni.
 
Back
Top Bottom