Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Aug 18, 2012.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mtikila amefungua kesi hiyo Kisutu akidai kuwa Tarehe 25/06/2011 saa 20:00 hadi saa 01:00 katika makao Makuu Anglikani DSM Mokiwa aliwaita Wajumbe wa kikao wakiwemo Erasto Mhagama, Christopher Njayike, George Mwafalo, Mtikila na wengine lakini kabla ya kikao hicho Mokiwa alisituka na kusema ni lazima awapekue wote Kwana anahisi kuna mtu ana tape recorder.

  Mokiwa alitoa maelezo hayo huku akichukua bastola yake baada ya kufunga mlango na kuingiza risasi mbele yao huku akiwamuru wanyoshe mikono juu.
  Mtikila anasema Mokiwa alifanya upekuzi mwili mzima kiasi cha kumushika makalio na sehemu za siri jambo lililomdhalilisha huku akijua kwamba kanisa lake limekubali Ushoga.

  Hata hivyo pamoja na kwamba tukio hilo ilimefanyika mwaka jana lakini Mtikila amefungua kesi leo wakati kesi nyingine ya Mokiwa Arusha ipo Ukingoni.

  Watu waliokaribu na Mtikila wanasema Mtikila kapewa Mzingo na baadhi ya Makundi ya CCM ili kumukashifu Mokiwa na Kumudhalilisha!!
  Wamesema kwamba Mtikila amekuwa anachochea Migogoro Ndani ya Anngani ukiwepo ule uliotokea kule Gongola Mboto ambapo FFU waliingilia kati!!

  Mtikila amekuwa anaongoza kufitinisha haki ndani ya Makanisa Mengine kwa kutumiwa na Wanasiasa wa CCM ambao wanachukizwa na kauli za viongozi wa dini.

  Mtikila anatajwa kupewa kazi ya kumtoa Mokiwa mda mfupi baada ya Mokiwa kutoa saa 48 Kwa JK kuwataja Viongozi wa dini wanaojihusha na madawa ya kulevya.

  Pia Mtikila alipewa kazi ya kusuka suka Josephati Gwajima, Josephati Mwingira baada ya watu hao kuwa tofauti na Utawala wa CCM.

  Pia Mtikila ndiye aliyetumiwa na CCM kueneza siasa za Kumuhusisha Mbowe na Kifo cha Wangwe.
  Mtikila amegonganisha sana Mengi na Rostam huku yeye akichukua fedha pande zote Mbili!!

  Mtikila amekuwa mstali wa Mbele Kushambulia Migogoro katika Makanisa Mengine wakati kanisa lake la Full Salvation Church limesambaratika lote na kubaki waumini 10 na mkewe ambapo wanalazimika kupika chakula kila jumapili na kuwalisha kwa lengo la kushawishi kufika tena jumapili ijao.

  Kanisa hilo linafanyikia Nyumbani kwa Mtikila Mwenyewe!!
   
 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  [FONT=&amp]Archbishop Valentino Mokiwa[/FONT]
  [FONT=&amp]St. Nicholas Cathedral, Ilala[/FONT]
  [FONT=&amp]DAR ES SALAAM[/FONT]
  [FONT=&amp]DEMAND NOTE[/FONT]

  [FONT=&amp]TAKE NOTICE[/FONT][FONT=&amp] that on 25[SUP]th[/SUP] June you disrespectfully went out of protocol against the Honourable Reverend Christopher Mtikila, by summoning him through your subordinate's phone call instead of respectfully inviting him yourself, to your night meeting which lasted from 20.00 hours to 01.00. The Reverend humbly bore with you, believing that the meeting was going to deal with the evils he had started attending to by two memoranda in circulation, but in complicity you abusively bulldozed the meeting to exculpate the scoundrels instead of recovery of the booty and spiritually helping them to make restitution![/FONT]
  [FONT=&amp]
  This notice to you is confined to your untold abuse of human dignity, which you perpetrated against the Honorable Reverend Mtikila, after announcing that you were going to thoroughly search everybody, upon allegedly being informed that some of the people at the meeting had recording devices. [/FONT] [FONT=&amp]Reverend Mtikila questioned you about the authenticity of the information you claimed to have received, cautioning you about the legality of the abuse of the sanctity of human life and dignity which you were out to commit, but you replied boldly saying "I will use force against anybody who will refuse!" as you went round the back of the Honourable Reverend Mtikila with the key in your hand to lock the door behind him for the barbaric act.[/FONT]
  [FONT=&amp]
  You began your operation upon your subordinates. Approaching the Honorable Reverend Mtikila you threatened further by testifying that you had searched a State Security officer earlier in your very office, after warning him that if he dared to resist he would be finished and thrown out through the window without even your secretary behind the wall knowing it, adding that the officer gave in and in searching him you pulled out his recording device and trampled it, with impunity. [/FONT] [FONT=&amp]Then you commanded the Honorable Reverend Mtikila and the other victims to stand up to be abused and he obeyed. Your hands landed on his neck and went down to his shoulders, down to his armpits and the length of his sleeves. Then you thrusted your hands inside his coat to his back from the top down to his waist and buttocks. Then your hands were vividly seen feeling the Reverend's private parts, before they proceeded down his thighs to his shins to his shoes. You emphasized, "sorry for the embarrassment but I must do it!" meaning you knew what you were doing to abuse the sanctity of human dignity.
  [/FONT] [FONT=&amp]
  You did all this dehumanization of the Honourable Reverend Mtikila in the presence of fellow victims, who you know to deeply revere and hold him in very high esteem, relying on your pistol which you boasted to have also used in the past to force some people to abide your wishes.
  [/FONT] [FONT=&amp]
  TAKE FURTHER NOTICE[/FONT]
  [FONT=&amp] that for all your dehumanization of the Honorable Reverend Christopher Mtikila you are required to submit a written apology within fourteen days from the date of this notice, which has to be accompanied with Shs 500,000,000/- (Shillings Five hundred million only), in default of which drastic legal action shall be taken against you, without further notice to you and at your own risk as to costs and other undesirable consequences.
  [/FONT] [FONT=&amp]
  Dated at Dar es Salaam this 30[SUP]th[/SUP] day of June 2011[/FONT]


  [FONT=&amp]Liberty International Foundation[/FONT]


  [FONT=&amp]M. Muchunguzi[/FONT]
  [FONT=&amp]LITIGATIONS DIRECTOR[/FONT]
   
 3. B

  Bugema ii Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu Mtikila ni wa ajabu sana. Yeye si analo kanisa lake lenye waumini wawili tu ambao ni yeye na mke wake? Anglikana alikwenda kutafuta nini?
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huyu naye, kesi kila siku. anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu
   
 5. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Askofu Mokiwa na ana mambo!!na ni mtemi kumbe!duu...kazi ipo!
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mokiwa kanisa lake si limehalalisha ushoga? Lazima Mtikila astuke!
   
 7. Kitaeleweka

  Kitaeleweka JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 393
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii tena next level.

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kabla ya 2015 tutasikia na kuona mengi ila lazima tukubali, hili lidudu CCM halitaondoka hivihivi bila kuacha majeruhi.
   
 9. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hapa Mokiwa ndiyo anapakaziwa ushoga?
   
 10. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,036
  Likes Received: 8,525
  Trophy Points: 280
  Duh...limokiwa ni noumer.
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hii kali askofu anafanya ukaguzi hard to believe
   
 12. M

  MWIGOLA Senior Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  huu ni uongo mkubwa, na hii itakuwa ndio mwisho wa mtikila kwa kuwa anamsingizia mtumishi wa Bwana
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kushikwa makalio Mtikila kuna uhusiano gani na CCM...cha kujiuliza kwa nini Mokiwa kamshika Mtikila makalio.
   
 14. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kesi iko mahakamani, wewe una uhakika gani kama alishikwa makalio?
   
 15. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Baba mchungaji hipo siku utajishtaki mwenye
   
 16. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumbe angeshikwa makalio na askofu wa kanisa lisilokubali ushoga angekubali tu
   
 17. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Dah! Ukiwa na baba kama mtikila....?!
   
 18. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahaha!
  hebu tiririka ingekuweje!
  nicheke vizuri.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mtikila kaniambia kashikwa makalio na Mokiwa ndio maana kafungua kesi ya madai.
   
 20. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Naanza kupata wasiwasi. Inakuwaje Mtikila anashikwa makalio na mtu mwingine halafu anakuja kukuambia wewe? au wewe ndiyo mwenye mali nini? Maana nyinyi akina ustaadhi kwa mambo 'pwani' !
   
Loading...