Askofu Mokiwa ashitakiwa kwa kumshika makalio Mtikila

inawezekana vipi kwa MTIKILA asiye MUUMINI WA KANISA ANGLIKANA kuwa MJUMBE KWENYE KIKAO CHA NDANI CHA WAANGLIKAN?
CCM WALIPENYEZA WAASI WA ANGLIKANI KAMA WALIVYOFANYA KTK makanisa ambayo Maaskofu wake hawaitaki CCM.WAASI WA ANGLIKAN WALIKWENDA KUOMBA MSAADA KWENYE TAASISI YA MTIKILA IITWAYO LIBERTY INTERNATIONAL ANAYOTUMIA KUTAPELI WATU.HIVI MTIKILA AKAWA ANASULULISHA HUKU ANADAI RUSHWA. Mokiwa hakujua utapeli wa Mtikila na tayari amekula 5m
 
Naanza kupata wasiwasi. Inakuwaje Mtikila anashikwa makalio na mtu mwingine halafu anakuja kukuambia wewe? au wewe ndiyo mwenye mali nini? Maana nyinyi akina ustaadhi kwa mambo 'pwani' !

mtikila ni mchungaji wa kanisa la FULL SALVATION, kwenye MAKAO makuu ya ANGLIKAN tena kwenye kikao akiwa ni MJUMBE ALITOKA WAPI na INAWEZEKANA VIPI?
 
kabla ya kushabikia post.
Tumuulize mtoa mada, kikao chenyewe kilihusu nini?
Mtikila ni Mwizi na wasiomjua wanaliwa!!Anatesa sana wachungaji na viongozi kwa kutishia kuwapeleka mahakamani hukuwa akipewa kibari na viongozi wa serikali.!Inasikitisha serikali inagonganisha viongozi wa dini kwa kumutumia Mtikila kama kibaraka wao! Ingekuwa serikali hainufaiki na Mtikila wamengechunguza taasisi ya Liberty International inayotapeli watu! Najua Mtikila hapendwi na wachungaji wala haaminiki sifa yake na umarufu umeshuka na kesi hii itawafumbua macho wengi.Huyo anayeitwa Maisha Mchunguzi amemtapeli Mtikila na amemfukuza katika chama chake Maisha Mchunguzi 0718 233334 na Mtikila ni majambazi ktk kundi moja la Liberty international.Ifika mahari watu wamujue Mtikila na kumuepuka kama ukoma.Ni rafiki yake mkubwa na Mama Rwakatare na ni majirani wema lakini wanagombania mali za utapeli
 
Mokiwa, kulikoni kumpapasa makalio Mtikila.
Mtikila amefungua kesi ya madai 1bls lakini hakutoa taarifa yoyote polisi tangia juni 2011.Kutokana na madai ya Mtikila inaonyesha kuwa Mokiwa alimtishia kwa Bastola na kumushika Makalio kwa nguvu.Hapa ni sawa na ubakaji ambapo mhusika harusiwi kuoga kuhofia kupoteza ushahidi.Hapa kuna kesi ya unajisi na kesi ya madai sasa jinai hakuna lakini madai makubwa sasa hapa pana biashara ya Makalio ya Mtikila.
 
Kwa nini Mtikila anahusika na kuchochea migogoro Anglikani?Mtikila hana mtoto hata mmoja !Hanakubahatika kupata watoto ,yeye na mkewe Gergina wanaish kwa fedha za utapeli au fidia ya kushikwa makalio
 
Kumbe angeshikwa makalio na askofu wa kanisa lisilokubali ushoga angekubali tu
yote haya kuwapandikiza watu ni ili raia wapoteze concetration kwenye masuala muhimu kama M4C.. Yana mwisho.
 
Tarehe 10dec 2011 Ijumaa, Mtikila alikwenda Nyumbani Kwa Mama Rwakatare Asubuhi.Katika kupisha Mama Rwakatare alimgusa Makalio Mtikila lakini hakumushitaki.Sasa kwa nini iwe kwa Ask Mokiwa?
HE IS GENDER SENSITIVE HA ha ha
 
Mtikila amefungua kesi ya madai 1bls lakini hakutoa taarifa yoyote polisi tangia juni 2011.Kutokana na madai ya Mtikila inaonyesha kuwa Mokiwa alimtishia kwa Bastola na kumushika Makalio kwa nguvu.Hapa ni sawa na ubakaji ambapo mhusika harusiwi kuoga kuhofia kupoteza ushahidi.Hapa kuna kesi ya unajisi na kesi ya madai sasa jinai hakuna lakini madai makubwa sasa hapa pana biashara ya Makalio ya Mtikila.

hakuna kitu hapo wewe mshabiki wa mtikila... mtikila ni mpotoshaji tu ktk jamii.
 
I, Reverend Christopher Mtikila and Amega Global partners Mariam Issa and Mrs Paskazia Matete solemnly make admission that we jointly owe the daughter of our colleague, Mrs Matete, the principal of US dollars 7,000.00 plus reasonable consideration, which I undertake to get settled hopefully within the next week. I am personally working on this commitment and would therefore appreciate if patience will prevail for the while. Every inconvenience to the wonderful people who we owe is deeply regretted. This 30[SUP]th[/SUP] day of October, 2007 Reverend C Mtikila
 
Mchungaji Christopher Mtikila amefungua kesi kumshitaki Askofu Dk. Valentino Mokiwa wa Anglican.

Msingi wa kesi ni kwamba Askofu Mokiwa alimshika makalio Mtikila na kwamba kitendo hicho kilichotokea Juni 25 mwaka jana walipokutana maeneo ya Ilala, kimemdhalilisha.

Mtikila alikuwa ameitwa na Askofu kujadili tamko la la Mtikila kwamba Kanisa la Anglican linajihusisha na ufisadi, ukiwemo ufisadi wa au wizi wa vifaa vya Hospitali ya Mission ya Millo iliyoko Ludewa mkoani Iringa.

Mtikila alivyoitwa na Askofu kujadili hilo alifika na wenzake watatu wa taasisi ya Liberty International Foundation na wakakaribishwa kwenye moja ya jengo la dayosisi ya St. Nocholas, usiku wa saa 03:00.

Muda mfupi baada ya kikao kuanza, Askofu Mokiwa ambaye alikuwa na wenzake saba, alisimama na kuwataka wajumbe wote wakaguliwe kama kuna mtu ana kinasa sauti, kazi ambayo aliifanya yeye baada ya kufunga mlango.

Katika upekuzi huo ndipo tuhuma hizo zilipopatikana kutokana na madai kwamba operesheni hiyo ilienda mbali zaidi ya lengo la kawaida.


"Mlalamikiwa alitangaza kuwa, kila mtu aliyekuwemo kwenye mkutano lazima apekuliwe na kwamba atakayekataa angetumia nguvu, kwa kuwa alikuwa na bastola, hakuna aliyebisha.

Alianza kupenyeza mikono yake kwenye shingo kuelekea chini kisha huko chini mikono ya mlalamikiwa ilionekana waziwazi ikipepesa sehemu za siri za mlalamikaji".

Mchungaji Mtikila ameiomba Mahakama imwamuru Askofu Mokiwa alipe fidia ya shs. bilioni moja kwa kumdhalilisha. Madhara zaidi ya kitendo hicho ni pamoja na mfadhaiko, masikitiko, wasiwasi, aibu katika jamii na kupata shinikizao la damu la mara kwa mara na matatizo ya moyo

Kesi inataarifiwa kuwa kwenye Mahakama
ya Kisutu, chini ya Hakimu Mchome.

SOURCE: AMANI
DATE: TODAY
PAGE: 02,03
MHARIRI: 0714-895555, 0655-207520, 022-2773357
 
Back
Top Bottom