Askofu mkuu Ruwa'ichi anasema corona bado ipo, amesihi tuendelee kuvaa barakoa, tunawe mikono, tufuate kanuni za afya

Hawajazuia kweli ila wamezuia kupashana habari utaishia pabaya. Unakumbuka yule dada sijui Malecela alisema sijui kuna ugonjwa gani akaishia kuondolea na kuhutumiwa kibaraka. Serikali ni wajibu wake kutoa miongozo kwa watu wake na kauli ya serikali ni nzito vinginevyo ni sawa na dereva uko makini barabarani lakini mwingine anavunja sheria tu anakugonga unakufa wewe makini lenye fujo linapona. Uwazi katika suala hili utatusaidia huko mbele ya safari lakini kama tumeamuwa kuishi kama kisiwa tuendelee tu huko mbele tutanyosheana vidole tu.
Nimaeneo gani hupati maelezo juu ya kujikinga na korona?? Mitandao yote inasema, hadi ATM Zote ukiiingia zinakwambia juuu ya korona. Ofisi zote kunatahadhali kedekede. Au nani hajui kama kunamlipuko wa korona??
 
Mwambieni askofu korona haiondolewi kwa kunawa mikono. Mungu tu ndiyo huondoa korona.

Askofu Rwaichi aache porojo na kutafuta umaarufu ktk hili suala la korona. Siyo watanzania wote wanakula madhabahuni kama yeye.
 
Back
Top Bottom