Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi yeyote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa

Habari wakuu.

Huu ndio ujumbe alioutoa Mtumishi wa Mungu, Mchunga kondoo wa Bwana Mungu wa Majeshi (07 June 2018)

Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.

Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa.

Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018
Unajua siyo vizuri kumsingizia askofu wa CDM Shoo kuwa ametoa ujumbe huo wakati mnatengeneza tweeter akaunti yake fake au unataka tuwaumbue??
 
Habari wakuu.

Huu ndio ujumbe alioutoa Mtumishi wa Mungu, Mchunga kondoo wa Bwana Mungu wa Majeshi (07 June 2018)

Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.

Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa.

Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018
Tunamshukuru mtumishi wa Mungu kwa kuendelea kuiambia jamii ukweli.Na sote tunatakiwa kutambua ni kazi ya viongozi wa kiroho kukemea maovu pamoja na kusema iliyo kweli ya Kimungu.Ubarikiwe sana BABA ASKOFU.
 
Huu ni uzushi!
Hajatamka haya maneno walahi!
Mbona makanisa mengi tu yamefungwa huko ulaya?
Australia ndiyo yamegeuzwa ma discotheque
Ulaya ndiyo yalipo makao makuu ya Kanisa Katoliki. Usitishie watu nyau.
 
tz maajab sana, nilikua nachek habari hapa itv huko simiyu gari ya zimamoto imeenda kuzima moto et imefka tu maji yakamwagika kutoka kweny gar, nimecheka nusura mzee anipige kibao
Eti mi ningeona ningelia!
 
hahahaha SHOO bado ana maumivu ya kubwagwa kwa Lowasa kwenye uchaguzi mkuu hahaha
Huu ujumbe ametungiwa na wana chadema
 
Ila japo na-support ule Waraka wa KKKT....Ni bora Askofu Shoo angekaa kimya kulikoni hii mipasho anayoitoa....


"Speech is Silver, but Silence is Gold"....By Pope Francis
Would've been a bad move...They would've said he listened to the opposition leaders from the parliament.

I support his decision.
 
Back
Top Bottom