Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi yeyote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa

CWR2016

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
2,760
6,294
Habari wakuu.

Huu ndio ujumbe alioutoa Mtumishi wa Mungu, Mchunga kondoo wa Bwana Mungu wa Majeshi (07 June 2018)

Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.

Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa.

Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018
 
.............

...............
Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018

Source: Twita
hako ka kipande ka twiter unge kasikirini shoti mkuuu
 
tz maajab sana, nilikua nachek habari hapa itv huko bariad simiyu gari ya zimamoto imeenda kuzima moto et imefka tu maji yakamwagika kutoka kweny gar, wananch wakaanza kuchota mchanga na maji chin kuzima moto huku gar imetulia pembeni, nimecheka kinyama huku naitaja CCM(lengo n kumchokoza mzee) nusura anipige kibao.
 
Jiwe ni mpuuzi na ni wa kupuuzwa tu, anapenda kuabudiwa na kuogopwa. Anavyopenda yeye vyote anastahili Mungu Mwenyezi.
.
.
Anatamani watanzania wafike mahali wakitaka kula basi tumuombe yeye chakula, yaani tusifanye kitu pasipo kumuomba yeye.
.
.
Jiwe ni mpuuzi na ni mpumbavu kama walivyo watawala wengine wapumbavu, akasome vizuri kitabu cha Kutoka pale ambapo Farao alopambana na Mtumishi wa Mungu Mussa ama Sauli alivyotaka kumuua Daudi.
.
.
Jiwe ni mtawala aliyechaguliwa na serikali ya kuzimu ya tanzania, utawala wake hautokani na kusudi la Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi.
 
Habari wakuu.

Huu ndio ujumbe alioutoa Mtumishi wa Mungu, Mchunga kondoo wa Bwana Mungu wa Majeshi (07 June 2018)

.............
Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.
Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa.
...............
Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018

Source: Twita
Weka source tafadhali, otherwise ni umbea tu!
 
Jiwe ni mpuuzi na ni wa kupuuzwa tu, anapenda kuabudiwa na kuogopwa. Anavyopenda yeye vyote anastahili Mungu Mwenyezi.
.
.
Anatamani watanzania wafike mahali wakitaka kula basi tumuombe yeye chakula, yaani tusifanye kitu pasipo kumuomba yeye.
.
.
Jiwe ni mpuuzi na ni mpumbavu kama walivyo watawala wengine wapumbavu, akasome vizuri kitabu cha Kutoka pale ambapo Farao alopambana na Mtumishi wa Mungu Mussa ama Sauli alivyotaka kumuua Daudi.
.
.
Jiwe ni mtawala aliyechaguliwa na serikali ya kuzimu ya tanzania, utawala wake hautokani na kusudi la Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi.
Ha ha ha shkamoo kaka..
 
Back
Top Bottom