Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi yeyote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa

Jiwe ni mpuuzi na ni wa kupuuzwa tu, anapenda kuabudiwa na kuogopwa. Anavyopenda yeye vyote anastahili Mungu Mwenyezi.
.
.
Anatamani watanzania wafike mahali wakitaka kula basi tumuombe yeye chakula, yaani tusifanye kitu pasipo kumuomba yeye.
.
.
Jiwe ni mpuuzi na ni mpumbavu kama walivyo watawala wengine wapumbavu, akasome vizuri kitabu cha Kutoka pale ambapo Farao alopambana na Mtumishi wa Mungu Mussa ama Sauli alivyotaka kumuua Daudi.
.
.
Jiwe ni mtawala aliyechaguliwa na serikali ya kuzimu ya tanzania, utawala wake hautokani na kusudi la Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi.
TB Joshua alisema,jiwe linaweza kufa kabla ya 2025 kwa sababu litamkufuru Mungu.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom