Askofu mkosoaji wa uislamu avamiwa na kudungwa kisu katikati ya ibada

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
2,347
4,170
Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha kasisi huyo akidungwa kisu mara sita. Picha za mtu anayedaiwa kuwa ni mshambuliaji akinaswa ndani, huku umati wa watu wenye hasira na umati mkubwa wa polisi ukianza kujijenga nje.

Polisi nchini Australia humo wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba tayari mshukiwa amekamatwa baada ya kufanya tukio hilo la kumjeruhi askofu Mar Mari Emmanuel ambaye kwa mujibu wa taarifa ya polisi hakupata majeraha makubwa ya kuhatarisha uhai wake.

Video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii inamuonyesha mtu aliyevaa mavazi meusi akimsogelea askofu huyo na kuanza kumshambulia wakati akitoa mahubiri.

IMG-20240415-WA0004.jpg
 
kwahiyo amedungwa visu na mtu anayetetea uislam,kwani waislam hawana mungu anayeweza kujitetea mwenyewe hadi ahitaji msaada wa mwanadamu kumtetea? wanadamu kama wanamtetea mungu, huyo mungu wao atakuwa na uwezo kuwatetea wao kweli? au ni nini icho FaizaFoxy njoo fafanua hapa
 
Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha kasisi huyo akidungwa kisu mara sita. Picha za mtu anayedaiwa kuwa ni mshambuliaji akinaswa ndani, huku umati wa watu wenye hasira na umati mkubwa wa polisi ukianza kujijenga nje.

Polisi nchini Australia humo wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba tayari mshukiwa amekamatwa baada ya kufanya tukio hilo la kumjeruhi askofu Mar Mari Emmanuel ambaye kwa mujibu wa taarifa ya polisi hakupata majeraha makubwa ya kuhatarisha uhai wake.

Video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii inamuonyesha mtu aliyevaa mavazi meusi akimsogelea askofu huyo na kuanza kumshambulia wakati akitoa mahubiri.View attachment 2964436
Allah wao hana uwezo wa kujitetea/kujipigania sherti asaidiwe...
 
Askofu wa Assyriac Church Mari Mari Emmanuel alidungwa kisu pamoja na waumini kadhaa katikati ya ibada huko Wakeley Jumatatu usiku. Shambulio hilo lilitokea katika Kanisa la Christ The Good Shepherd Church. Picha hiyo ilinaswa kwenye mkondo wa moja kwa moja wa ibada na ilionekana kuonyesha kasisi huyo akidungwa kisu mara sita. Picha za mtu anayedaiwa kuwa ni mshambuliaji akinaswa ndani, huku umati wa watu wenye hasira na umati mkubwa wa polisi ukianza kujijenga nje.

Polisi nchini Australia humo wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba tayari mshukiwa amekamatwa baada ya kufanya tukio hilo la kumjeruhi askofu Mar Mari Emmanuel ambaye kwa mujibu wa taarifa ya polisi hakupata majeraha makubwa ya kuhatarisha uhai wake.

Video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii inamuonyesha mtu aliyevaa mavazi meusi akimsogelea askofu huyo na kuanza kumshambulia wakati akitoa mahubiri.

View attachment 2964436

BBC wanasema kapigwa nawaumini wenzake waliopishana kauli juu ushoga ndani ya kanisa
 
kwahiyo allah hana nguvu za kujiokoa pia?ndio swali.

Kama bile Mungu yesu alivyoshindwa kujiokoa akapigwa na watu alowaumba mwenyewe na kilio juu alilia haya ni maajabu jamani!!
Yasni uache kushangaa mungu yesu ukashangae waislam mzima kweli wewe!!!
 
bro, twende polepole, Yesu aliuvaa mwili wa mwanadamu ndio maana ilikuwa vile. Ila kwa allah sasa, tuseme na yeye hana nguvu hadi mumtetee, mnajilipua kwa ajili yake, kwanini msimwache yeye ajipiganie kama ana nguvu yeyote? au ni kwasababu amewaahidi mabikira 72 ambao bikra zao hazitatoka hata muwaingilie? yaani leo unawaingilia watu ambao ni sealed (sasa sijui penetration inakuwaje), una ejuculate (sijui nje ya bikra au ndani) na kesho bikra inakuwa vilevile, na wewe unaamini. hauoni unadanganywa mchana kweupe?
 
Kwa hiyo huyo mtu katumwa na Uislam?

Mbona huongelei na vifo vya Australia ""Sydney's City Mall muders" vimefanywa na nani?
Alikuwa anasema alahu akbaluu
Nadhani alifuatisha Surat Al'anfal 12
👇👇👇
Screenshot_20240415-223801.png
 
Back
Top Bottom