Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,241
- 18,416
Siasa ilikuwepo makanisani long time ago!! Na makanisa yaliitambua siasa kama mhimili wa mamlaka ya kidunia ambayo ambayo kanisa linawajibika kwake kwa kiwango kikubwa!! Hakuna ushirika usio na ushirikiano!!Chadema inamtumia Dr Shoo kuingiza siasa Kanisani!
Kama alivyoingia Dr Malasusa!Dr Shoo anaingiaje hapa?
Malasusa ni usalamMalasusa anatumika na serikali kufifisha mapambano ya kudai haki na usawa dhidi ya wanyonge wa nchi hii kupitia Kanisa ambalo ndio wajibu wake
Michango ya Sadaka ikipungua madhara mojawapo ndio kama haya
Wenye hoja ni hao viongozi tena wa kiroho wanaolumbanaUmekosa hoja.
Hilo kanisa ni branch ya ufipaMalasusa anatumika na serikali kufifisha mapambano ya kudai haki na usawa dhidi ya wanyonge wa nchi hii kupitia Kanisa ambalo ndio wajibu wake
Askofu Malasusa ni msariti km Yuda, hapaswi kuonewa aibu, ni lzma aombe radhi km yule wa Mtwara, asilete kiburi ndani ya kanisa kwani Kiburi ni dhambi kubwa! Mwenye Akili timamu, alimwona Askofu Malasusa ni msariti pale alipokwenda Airport. Viongozi wa Dini wanapaswa kuwa makini na kujiepusha na mitego ya wanasiasa maana hawa watu wana hira mbaya, viganja vyao vya mikono vimejaa damu za watu wasiyo na hatia! Ninawashangaa viongozi wa Dini wanaojiweka karibu na Utawala huu uliojaa dhambi ya utekaji wa watu na uuwaji wa watu wa Mungu wasiyo na hatia. Ukiona Kiongozi wa Dini anauunga mkono utawala huu basi ni mmoja wao ktk kumwaga Damu ya watu wasiyo na hatia! Kiongozi mwenye Roho ya ki-Mungu hawezi kuchangamana na waovu wa aina hiiLeo kwenye makanisa yote ya kkkt mashariki na pwani umesomwa waraka ambao ni kama umemsafisha askofu malasusa na wakati huohuo kama halmashauri kuu imekiri kuwa alichofanya malasusa ni kosa, sasa najiuliza kwa nn askofu hakuwaomba radhi tu maaskofu wenzake badala ya kuendelea na misimamo ambayo itazidi kuligawa kanisa, kama amekiri kuwa haikuwa lengo la dayosisi kuzuia waraka ule, why now wanakuwa kama wanawaomba waumini msamaha!?, Hili jambo dayosisi waliangalie kwa umakini,
Una ushahidi au unajiropokea tu ili uonekane nawe upo? Jifunze kuwaheshimu viongozi wa kiroho kwani wao ndio chaguo la Mungu na sio hao wanasiasa unaowaabudu na kuwatukuza! Isitoshe askofu unayemtuhumu hakuuandika waraka ule akiwa chumbani kwake bali walikubaliana maaskofu wote. Mpe heshima yake na muombe msamaha!Chadema inamtumia Dr Shoo kuingiza siasa Kanisani!
Na RC na bakwata ni branch ya lumumba?Kamanda askofu shoo
unaongea kama vile kuna kitu umekalia,anachofanaya pengo ni sawa kwako?hamna akili wote mnaojidai kutumia fake arguments kudefend mifumo ambayo life span yake imefika mwisho.Chadema inamtumia Dr Shoo kuingiza siasa Kanisani!
Malasusa yeye hakerwi ni kupotea haki za binadamu?Hawa maaskofu bhana walitaka kumpindua malasusa!!hongera halmashauri kuu kwa hekima
Ni mambo ya kusikitisha sanaMalasusa kama aliweza kupokea amri toka kwa Makonda hadi akafikia kutamba kuwa "katika Mkoa wangu hakuna cha waraka wala matamko" alikubali kudhalilisha kanisa hivyo asiendelee kuwayumbisha waumini