Askofu Malasusa kuibua mgogoro KKKT

Askofu Malasusa kuibua mgogoro KKKT

mkuu, watu hapa hawatakuelewa, wengi wamelewa na kuabudu watu na sio Muumba, so wataishi wakiamini labda malasusa sio binadamu... ukweli utakuwa wazi soon....
 
Haya makanisa ndiyo tabu yake. Waumini wana mamlaka makubwa na kanisa na hii itasumbua sana. Katika Katoliki, Kanisa ni mali ya askofu kwa niaba ya waumini, LAKINI hakuna muumini/padre mwenye mamlaka ya kuhoji lolote kuhusu mali ya kanisa. That way huwezi kuwa na mgogoro wowote!!
Naona umesahau ile story ya morogoro!!!! Kuwa makini mzee
 
What i believe is, nurturing someone is one thing, working on the skills learnt is another thing. Give someone skills, then he/she would decide to work on it or not and to what extent. Alishawahi kuja mtu anaomba nimjazie dodoso, PhD candidate anasoma Belgium, nilisikitika, hadi nikajiuliza, how did it pass through her supervisor and given a green light!
Mbona sasa tuko pamoja. Wanaleta hopeless PhD candidates, incapable ones. Unaondoa lawama unamwandikia papers amalize akuondolee kiwingu, vinginevyo atakulaumu milele nami sitaki, Nimefanya hivyo na alikuwA chuo kinachojinasibu na umahili kama hicho
Naona umesahau ile story ya morogoro!!!! Kuwa makini mzee
Nikumbushe tafadhali
 
mkuu, watu hapa hawatakuelewa, wengi wamelewa na kuabudu watu na sio Muumba, so wataishi wakiamini labda malasusa sio binadamu... ukweli utakuwa wazi soon....
Nani anaabudu watu? we kichwa nazi kabisa
 
Mbona sasa tuko pamoja. Wanaleta hopeless PhD candidates, incapable ones. Unaondoa lawama unamwandikia papers amalize akuondolee kiwingu, vinginevyo atakulaumu milele nami sitaki, Nimefanya hivyo na alikuwA chuo kinachojinasibu na umahili kama hicho
It was very fortunate (unfortunate ) that she wasn't one of us. She was from a different University. As i read the dodoso, i knew it was a 'cut and paste'. I tried to express my doubts to someone else and he said, 'sio kama.....huyu ka copy na ku paste'.
 
Hawa ni wachagga wnapambana na wanyakyusa. Maana kama uzinzi ni dhambi, wizi ni dhambi pia. Tusipoteze muda wa kazi kujadili dhambi za wahusika.
 
Mkurugenzi wa fedha na mkuu ni kitu moja. Okay. Ndio kusema mahesabu yanajumlishwa na kugawanywa gesti......
Toa ndugu toa ndugu.......
Watu wanavinjari gesti
 
Hata Owdenbarg Mdegella alijaribu kubadili katiba ili kulinda maslahi yake Ktk Dayosisi ya Iringa lakini ninashindwa vibaya na Khamis kujiudhuru mwenyewe! Tena wakati huo yeye alikuwa ni mkuu wa KKKT!
 
Katika hili ids zote za Lumumba na makada wake wapo busy kumtetea Malasusa!!

Watu humshangaa Askofu Pengo bin Mwanya kuwa mtetezi wa serikali kama huyu Malasusa labda sasa warejee kwa Mkuu wa TISS kuwa ni Mchungaji pia kwa taaluma yake nyingine.

BAKWATA huwekwa vilaza ila huku hutafutwa watukufu kiasi na kusimikwa uchungaji wa kondoo!!
 
Back
Top Bottom