Askofu Malasusa kuibua mgogoro KKKT

Askofu Malasusa kuibua mgogoro KKKT

Haya ni maneno yatokayo mdomoni kwa mtu maharufu sana tena yupo nje ya nchi? Daaa kweli watanzania nani katuloga
Unautukuza u-nje ya nchi mbwiga Wewe? Mbona Rostam na wahuni wenzio wanaoleta habari za kimbea na kichokozi nao wanatokea nje ya nchi? Wewe ndo umechapiwa mkeo? Mwenye mke si anaushahidi? Si aende mahakamani kupata Haki? Au unataka Wewe use MKE MDOGO? Au wivu kuwamba sio Wewe uliyekazwa na Malasusa? Vikaratasi vyenu vya kupangusia haja kubwa ndo mnavitumia kuchafua watu sio? Pumbavu zenu!
 
Ukweli huwa haufichiki, tusihukumu bali tuendelee kusubiri ukweli kamili wa hii skendo
 
Ukweli huwa haufichiki, tusihukumu bali tuendelee kusubiri ukweli kamili wa hii skendo
Hata mimi leo naweza kuandika kuwa Mwanahabari huru kambaka mwanawe wa miaka mitatu, lakini bila uthibitisho wa aina yoyote , nitakuwa naeneza uongo.
Aibu mtu kujiita mwanahabari, kutoa habari za kutunga kama huyu mtoa mada, sana sana anajionyesha jinsi anavyo uza utu wake kwa pesa kidogo kueneza habari zisizo za kweli.
Changamoto kwake ni kuleta uthibitisho kuliko harufu mbaya anayoitoa.
 
Josephat Isango mjinga sana. Ndiye aliyeleta huu udaku!
Baada ya kuona watu wanapuuzia ujinga wao wamekuja kudhihirisha kile tulichokuwa tunasema Kuwa kashfa zinazotangazwa ni mambo ya Madaraka hao Mwanahalisi wameamua kuchukua upande wa wasaka Madaraka...ujinga plus
 
Aibu Kanisa linaongozwa na askofu mzinzi sasa anataka kuwa dikteta
 
Hivi yule muasherati mwenzio aliyezaa watoto wawili na binti wa watu kule arusha akawatelekeza na kutangazwa magazetini si ndio yule anaitwa askofu ..... halafu kumbe ndio kakutuma uje kumchafua malasusa kwa sababu yeye ameshaoza sasa anataka na malasusa achafuke kwani malasusa kazaa na nani? ukumbuke lile gazeti la mwanahalisi ni la rafiki yake na huyo aliyekutuma hivyo hatudanganyiki. ile kesi ya madai ya kutunza watoto bado ipo mahakamani arusha kwa hiyo mwambie huyo mzinzi anayejiita askofu apelekea matumizi ya watoto arusha haraka sana habari ya malasusa tunajua ni ya uzushi. Malasusa ni mbarikiwa na wala hana doa amemaliza muda wake wa uongozi wa kanisa vizuri sana acheni kuchafua kanisa nyie waambieni maaskofu wenu waache uzinzi haswa huyo aliyezaa watoto kule arusha kakimbia polisi mpaka leo hakanyagi arusha amebakia kumchafua malasusa shame on you
 
Wewr mwandishi tuachen na kanisa letu kwan tumewafanya nn lakin mbona hivyo aaaaaaakh
 
Malipo ya dhambi ni mahuti,askofu ni MTU ambaye amepewa majukumu makubwa ya kuhakikisha anamuwakilisha Bwana wetu Yesu Kristi kivitendo kwa kuishi katika Usafi na utakatifu kama Kristo Mwenyewe.endapo umekengeuka na kuntii shetani lszima ukubali matokeo ibilisi ni baba wa uongo kama alikudanganya na wewe ukakubali basi hata ukichakachua katiba ya kkkt ya Mungu iko palepale inabidi utubu hakuna ubabe hapa vinginevyo utajuta.
 
SAFI SANA ....MALIPO NA HAPA HAPA VIONGOZI WENGI WA DINI NI WANAFIKI SANA ...YESU ALISEMA UKINIKANA NAMI NITAKUKANA...SIKU ALIYOVUA NGUO ALIMKANA YESU NA YESU AMEMUACHA SASA ANAADHIRIKA MCHANA KWEUPE
NYIE MNAOBISHA MNAJUA YALIYO SIRINI MWA MTU! MUACHENI NA MSALABA WAKE ALIYTATAKA MWENYEWE
 
Malipo ya dhambi ni mahuti,askofu ni MTU ambaye amepewa majukumu makubwa ya kuhakikisha anamuwakilisha Bwana wetu Yesu Kristi kivitendo kwa kuishi katika Usafi na utakatifu kama Kristo Mwenyewe.endapo umekengeuka na kuntii shetani lszima ukubali matokeo ibilisi ni baba wa uongo kama alikudanganya na wewe ukakubali basi hata ukichakachua katiba ya kkkt ya Mungu iko palepale inabidi utubu hakuna ubabe hapa vinginevyo utajuta.
KWELI MKUU TENA ATUBU HADHARANI
 
kiongea kwa hisia kali, mchungaji huyo alisema, “… uzinzi unawezaje kuwa wa taasisi? Hawa watu wanazungumza kama wasiofahamu Biblia?
 
Unautukuza u-nje ya nchi mbwiga Wewe? Mbona Rostam na wahuni wenzio wanaoleta habari za kimbea na kichokozi nao wanatokea nje ya nchi? Wewe ndo umechapiwa mkeo? Mwenye mke si anaushahidi? Si aende mahakamani kupata Haki? Au unataka Wewe use MKE MDOGO? Au wivu kuwamba sio Wewe uliyekazwa na Malasusa? Vikaratasi vyenu vya kupangusia haja kubwa ndo mnavitumia kuchafua watu sio? Pumbavu zenu!
Jianike upeo wa akili yako
 
Mkuu mleta mada labda nikurekebishe katika hiyo propaganda yako, siyo kweli Dkt Malasusa aliondolewa katika wadhifa wa Ukuu wa kanisa la KKKT Tanzania bali muda wake wa kutumikia nafasi hiyo ulifikia kikomo kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa na alistaafu kwa heshima zote.

Ndugu zangu acheni kutumika kulichafua KANISA na watumishe wake. Hii LAANA itatafuna vizazi vyenu vyote.

Tuache kutumiwa kwa MASLAHI ya wengine.

Nakutakia wakati mwema mkuu mleta mada, MUNGU aendelee kukupatia nguvu na afya uendelee kulichafua kanisa na watumishi wake.
 
Maana yake Mungu hawezi kumuacha aendelee mkuu, haiwezekani kabisa kuona hilo linafanyika, sijakosea kuandika!
 
Back
Top Bottom