masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,685
- 14,698
Habari za kumtukuza Ibilisi utazivumiliaje, mmetumwa na freemason yupi?Nimekwambia siyo kila habari itakufurahisha vumilia tuu
Hakika mtaumbuka, wabakaji ninyi!
Habari za kumtukuza Ibilisi utazivumiliaje, mmetumwa na freemason yupi?Nimekwambia siyo kila habari itakufurahisha vumilia tuu
Kama yana ukweli ni kwa nini umwite mjinga? Nadhani ungemtaka athibitisheJosephat Isango mjinga sana. Ndiye aliyeleta huu udaku!
Hajui atendalo, asamehewe tu.Mkuu mleta mada labda nikurekebishe katika hiyo propaganda yako, siyo kweli Dkt Malasusa aliondolewa katika wadhifa wa Ukuu wa kanisa la KKKT Tanzania bali muda wake wa kutumikia nafasi hiyo ulifikia kikomo kwa mujibu wa Katiba ya Kanisa na alistaafu kwa heshima zote.
Ndugu zangu acheni kutumika kulichafua KANISA na watumishe wake. Hii LAANA itatafuna vizazi vyenu vyote.
Tuache kutumiwa kwa MASLAHI ya wengine.
Nakutakia wakati mwema mkuu mleta mada, MUNGU aendelee kukupatia nguvu na afya uendelee kulichafua kanisa na watumishi wake.
Huyu mleta mada ana pepo la uongo, na muongo lengo lake ni uchonganishi.Hajui atendalo, asamehewe tu.
Kwani mligombana na Malasusa?Lakini yanapotokea usilaumu kazi zetu nikuhabarisha umma
Siyo kosa lako najikita kwenye fani yanguHuyu mleta mada ana pepo la uongo, na muongo lengo lake ni uchonganishi.
Na akibobea katika pepo hilo mengine kama uzinzi, uuaji na wivu, tamaa vyote hivyo lazima anavyo huyo Mwanahabari.
Mkuu hatujagombana wala siwezi kugombana nakiongozi wa dini ni fani yangu ya habari lazima kuna saa haitamfurahisha kila mtuKwani mligombana na Malasusa?
Siku hizi umeamua kuingia katika mtego huu wa kukashifu Kanisa na viongozi wa dini mkuu?Mkuu hatujagombana wala siwezi kugombana nakiongozi wa dini ni fani yangu ya habari lazima kuna saa haitamfurahisha kila mtu
Mkuu fani yangu si yakufuata mkumbo wala kumuonea mtu tunafuata maadili kwa hiyo nimojaya habari hiiSiku hizi umeamua kuingia katika mtego huu wa kukashifu Kanisa na viongozi wa dini mkuu?
Hao waajiri wako wanakulipa shilingi ngapi kwani...
Fani ya uongo wa kijinga na kueneza mifarajano, hongera pengine utafanikiwa kumtukuza shetani!Siyo kosa lako najikita kwenye fani yangu
Mwenye huu udaku ni Isango akishirikiana na Fupe na kina MokolaMkuu ukiambiwa udhibitishe kua ni Josephat Isango utakua na Udhibitisho?
Wewe una fani gani mjinga tu?! Njaa tu, utaolewa Wewe boya!Mkuu fani yangu si yakufuata mkumbo wala kumuonea mtu tunafuata maadili kwa hiyo nimojaya habari hii
Ukweli uko wapi? Hii ya kusema ....mchungaji mmoja akesema..... Mwingine alilalamika.......bila kumhoji Malasusa au mtu wa upande wa Malasusa? Ni Isango huyu. We mwache tu Mungu anamwona na anamchemshia dawa yake! Siku si nyingi mtasikia.... Njaa ya namna hii usishangae yakamkuta ya kumdhalilisha zaidi ya haya anayoyaandika. Mjinga sana Joseph at IsangoKama yana ukweli ni kwa nini umwite mjinga? Nadhani ungemtaka athibitishe
Lakini yanapotokea usilaumu kazi zetu nikuhabarisha umma
Kwakua hii habari haikufurahishi wewe?Fani ya uongo wa kijinga na kueneza mifarajano, hongera pengine utafanikiwa kumtukuza shetani!
Unajikita au unakitwa na pepo la uongo?Siyo kosa lako najikita kwenye fani yangu
Haya ni maneno yatokayo mdomoni kwa mtu maharufu sana tena yupo nje ya nchi? Daaa kweli watanzania nani katulogaWewe una fani gani mjinga tu?! Njaa tu, utaolewa Wewe boya!
Umeshajionyesha kuwa mbakaji wa habari zisizo na ukweli, ndio pepo lenyewe.Kwakua hii habari haikufurahishi wewe?