Habarinjema kwa UKAWA... na kilio kwa CCM uchaguzi, 25 Oct. 2015, nisiwachoshe, let'sdig in...!!!
SABABU KUU ZA CCM kuanguka...!!
1: KATIBA mpya ya WARIOBA.... huu ndio masumari mkuu, na wananchi WANA HASIRANA HILI.. na CCM walichakachua, na wako kimya...hata Ilani yao hawasemi hilo
2: UFISADI.... hadi sasa CCM hawana SERA... wanaongelea Lowassa, Lowassa,Lowassa, Lowassa... hawana policies kabisa...Watu wanahoji na wanajua CCM ndioina ufisadi wa kutisha, sio Lowassa, Lowassa hana kesi au kutuhumiwa sehemuyoyote na vyombo vya Dola... eg TAKUKURU, DPP, MAHAKAMA, POLICE, TUME YAMAADILI YA VIONGOZI WA UMMA na hata KAMATI ya maadili ya CCM haijawahi mshutumumaisha yake yote akiwa CCM na Serikalini... so CCM hawana points, sasa watuwanajua mengiii kuhusu ufisadi... kuna
a) ESCROW... wizi wa wazi...
b) EPA... wizi wa wazi..
c) WANYAMA hai kwenda na Ndege hadi Twiga... hii ni hatari kuu
d) RICHMOND... sio ya Lowassa na kaikana, na hata Obama alipelekwa Ubungo nakuipongeza... so utajua ni ya nani hapo..
e) IPTL... hili ndio ZIMWI LINALO TUMALIZA... na mnajua mmiliki wake... watuwanajua haswaaa...!!!
f) MIKATABA YA GESI NA MAFUTA.. hapa hata PAC, hawajui nn hii mikataba TAIFAlinafaidika... tunaibiwa mchana
mchana tena.. hadi TPDC wenyewe hawajui kuna nn ndani... hatari sana
g) MEREMETA...
h) KIWIRA...
i) TEMBO wanuawa sana, na wahusika wanajulikana, hadi meli zake... so wananchiwanajua,kinana ni muusika mkubwa kwenye ili. WACHINA ndio wanashirikiana nae,jambazi mkuu wa swala hili... Wachina wamemaliza nchi yetu...
j) MKOPO WA BOMBA LA GESI from CHINA... Tshs. 1.6 TRILLION... yaani Dollarbillion 1 kwa rate ya wakati ule wa mkopo... Hizo fedha watu wanahoji fedhahizo kama zimetumika, ZIMEFICHWA SANA SANAAA... na wanasema almost nusu tu ndioimetumika kulaza mabomba ya Gesi from Mtwara hadi Dar... Zingine ndiohivyo..refer Freeman Mbowe..
k) MABEHEWA FEKI... tshs 252 Bilioni, jamani... na Mwakyembe akiwa waziri waUchukuzi, hatari sana hii... billions zote zilitolewa na kulipwa kwa wakatimmoja kinyume na taratibu za manunuzi... you have to pay half kikawaida, thenbidhaa au VIFAA vikisha tengenezwa na kuwa tested to standard na kuona viko toSTANDARD... ndio UNALIPA NUSU YA FEDHA ZILIZOBAKIA...
L) MELI YA SAMAKI ya Magufuli...Serikali imeshindwa kesi...na sasa inadaiwabillions.. huu ni ufisadi, yaani unamkamata mwizi, kaiba samaki wetu, alafuunashindwa kesi, HAPA SBB MELI NI YA CHINA TU... so WACHINA WANATUMALIZA HADIBAHARI YETU.. WACHINA HAWAFAI...
m) NYUMBA ZA SERIKALI... yaani hapa ndio DHAMANI YA MA TRILLIONS zilipotea...bure kabisa, Magufuli ndio kahusika... BILLIONS of ASSETS incl..Prime Areasziligawiwa hovyo na kuwapa ndugu, vimada, hapa Serikali ilipoteza matrillions... hii ni hasara kubwa sana saanaaa...
n) LOLIONDO... ule mradi wa waarabu ni ni wizi mtu wa kuwinda wanyama, ORTELOgroup... nchi haifaidiki na chochote... na KINANA alihusika kuwapa waarabu waleLOLIONDO...
o) BANDARI YETU... hapa CCM na serikali yake ndio imekuwa kichaka cha kuchumafedha, na kutoa misamaha ya kodi BILLIONS kwa wiki tu... mfano kampuni moja tuya mtoto wa kigogo, inasamehewa Tshs. 16 billions kwa wiki moja tu... ni hatarisana...
p) MIKATABA YA MADINI... hapa tumeliwa hadi basi... we lost TRILLIONS ofTshs... na wafaidika ni CCM na vigogo wake... wananchi maeneo husika ya migodiwamekuwa vilema na maskini fukara wa kutupa...mikataba ya migodi INAFICHWAKULIKO SEHEMU ZA SIRI ZA MWANADAMU WA LEO...
q) MADAWA YA KULEVYAAAAAA... wote mnajua hata siandiki kitu hapa... yaani...
r) NET GROUPS solutions... yaani wee acha tu..
HAYO ni kwa UCHACHE TU MADHAMBI na UFISADI WA CCM
....SERA za CCM sasa ktk UCHAGUZI HUU... ni hakuna kitu... sera zao tuone..
1: Lowassaaaa, Lowassaaa... Lowassaaaa, Lowassaaaaaaaa..nonsense...
2: MSIFANYE MABADILIKO mtakuwa kama Libya, sijui Tunisia... what..?? hatamgombea wao hajui LIBYA na Tunisia hawakupiga kura wala MAPINDUZI YAOHAUJATOKANA NA KURA.. nashangaa mifano mfu kabisa.. wanatisha watu hovyo... ilahawatolei mifano KENYA, MALAWI, ZAMBIA ambayo ni mifano halisi na yetu...
3: NITAFUNGUA MAHAKAMA YA MAFISADI... eeeehh.. hii ndio priority ya watanzaniakweli...?????
4: UDINI... badala wauze sera bora, wamebaki kusema udini, huku wakijua niuongo kabisa.. walianza na Ugonjwa, ukanda, ukabila vyote vimegonga mwamba...
5: KUWA SAMBARATISHA VIONGOZI WAKUU WAWILI WA UKAWA... Dr. Slaa na Lipumba..mbinu hizi mbili kuu ndio ilikuwa SILAHA kuu za CCM, na zote zimeshindwakabisa.. wananchi wamebaki na UKAWA.. na hakuna alio wafuata hao, na sasaWANANCHI WANAWAONA WASALITI WAKUU.. so mbinu hii au sera hii imefeli vibaya..
6: MGOMBEA URAIS CCM, anaongea kama mpinzani, na yeye ANATAKA MABADILIKO..anashangaa DAWA HAKUNA, VIWANDA VIMEKUFA... ANASHANGAA UFISADI, na hata anasemaKUNA MCHWA WENGI SERIKALINI sana, sasa hapo anamchongea boss wake kwa wananchi,na ANASHANGAZA... YUKO KAMA HAGOMBEI CCM vile...
7: ETI kitandani kikiingia KUNGUNI wawili utachoma kitanda au utawatafutaKUNGUNI wawili utawaua... hii sio sera jamani... this is TOO LOW....
8: CCM wananchi wameichoka sana, ulizia kila group la watu, kila kona yanchi... na hata wana CCM wengii wataipigia kura UKAWA... yaani wengi bado wanamatumaini sana na Lowassa , hii ndio hatari kubwa CCM kuliko yote.. na hawatakikuona hili...
CCM ikifuatilia kwa makini, hawana JIPYA... kabisa kabisa...
SOON nakuja na SERA ZA UKAWA muone sasa...kwnn CCM inakufa.. hapa chini...