Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

1749446688856.jpg
 
Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
Watajificha mpaka CCM itakapoachia madaraka kwa CHAUMMA.
Kama unadhani mahabusu kuna usalama yu wapi Soka & co? Au nenda wewe.
 
Halafu ukiwa CCM lazima uwe mpumbavu, KAMA wewe ni zao la wapumbavu kuwahi kutokea ndani ya CCM na Tanzania.

Tujadili kosa lao ni nini hadi mnawatafuta muwamalize, je ndani ya CCM hakuna uhuru wa maoni?
 
Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
Kwa hali ilivyo hapa nchini, unawahakikishia vipi kuwa hawatatekwa? Unadhani wataweza hata kufika huko mahabusu bila kunyakuliwa na watekaji?
Hawa jamaa wamechagua maisha magumu bila sababu. Wangeweza funika kombe mwanaharamu akawapita, na wao wakaendelea na maisha yao.
Sasa wanaishi maisha ya hofu kama vifaranga wanaowindwa na mwewe mwenye njaa. Ngoja tuone game itaishije?
 
Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
Acha ujinga wa kusema mahabusu zipo salama hujui yaliyo wafiks wanaharakati wa Kenya na Uganda kwenye mahabusu za Samia.
 
Back
Top Bottom