King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,731
- 68,750
Kina gwajima wana maumbo madogo dogo sana.
Hahahaaaa... Ndio maana umemsoma!Hivi mmekosa kabisa watu wa kuwa "quote" hadi muwe mnakuja kwa huyu taahira?
Umetumia kipimo gani bwashee?!Kina gwajima wana maumbo madogo dogo sana.
Umetumia kipimo gani bwashee?!
Wanatumaliza kwa akili sio kwa direct way ivo, wanapunguza population ya watu kwa njia za kibiologiaElimu ni muhimu sana hii nchi. Wazungu kama ni kutaka kutuua wangeshatuua zamani sana wasingesubiri mpaka kuja kutuua na chanjo ya covid.
Madawa yote haya tunayotumia yanatoka kwao sasa kwanini wasituue siku zote hizo waje kutuua sasa?
Dini ikipitiliza inakuwa ni ulevi.Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi sana, watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
Hahahaaaa.......!Wewe si umemuona gwajima jinsi alivyo? Awali sijalitilia maanani ila leo baada ya kujua kwamba mme wa Doroth ni mdogo wa "MKONO WA BAUNSA" ndio nime conclude wana maumbo madogo dogo.
Nafikiri wengine tukijamba zinatokaAkili za hapa na pale ndio hizi!Kwamba Mama Samia,PM,Mkuu wa majeshi,Jaji Mkuu na viongozi wale wote wanashiriki dhambi ya kutuhujumu watanzania?Tuwe na akili Basi!
Hizi ni presumptions tu wala hazina ukweli.Wanatumaliza kwa akili sio kwa direct way ivo, wanapunguza population ya watu kwa njia za kibiologia
Inakua ngum kumjib sabab hatuna mwanasayans MTz alieshirik katika kutengeneza chanjo...chanjo tumepewa kama kupewa chakula na stranger halaf anakwambia kula. Hujui kaweka nn...so ni ngum snaaaa kujib ndomana unaona kuna ukimya mkuuuuNafikiri hoja ya Gwajima imekosa watu sahihi wa kuijibu, naona kelele tu ndo zinazidi
Hakuna mwenye ujasiri wa kuchoma chanjo ya Corona, yale yalikuwa ni maigizo 100%Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi sana, watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
basi Gwajiboy ana umri mkubwa sana, kama yule mume wa waziri ni mdogo wake? though hapo kidogo kaleta usukuma, anamaanisha waziri jina la "gwajima" sio la kuzaliwa, ni la kuolewa nalo tu hivyo sio ndugu yake sanaaa. that's the meaning.Askofu Gwajima alisema Kimsingi Daktari Dorothy Gwajima ambaye ndiye Waziri wa afya wa JMT ni mke wa mdogo wake.
Ni katika kuweka kumbukumbu sawa.
Mungu ni mwema wakati wote!
Leo asubuhi kwenye saa 2 asubuhi nilibahatika kumsikia Naibu Waziri Dr. Mollel akijibu maswali kuhusu hii CHANJO akiwa WASAFI FM ,, yaani ni kichekesho maana alikuwa akiongea mpaka yeye mwenyewe akahisi anaongopa ikabidi atumie nguvu ya ziada kutoa mifano sijui ya Rangi na Nguo na vingine vingi... hata wale watangazaji walimheshimu tu wakabaki kuitikia tu maongezi yake....Inakua ngum kumjib sabab hatuna mwanasayans MTz alieshirik katika kutengeneza chanjo...chanjo tumepewa kama kupewa chakula na stranger halaf anakwambia kula. Hujui kaweka nn...so ni ngum snaaaa kujib ndomana unaona kuna ukimya mkuuuu
So whatAskofu Gwajima alisema Kimsingi Daktari Dorothy Gwajima ambaye ndiye Waziri wa afya wa JMT ni mke wa mdogo wake.
Ni katika kuweka kumbukumbu sawa.
Mungu ni mwema wakati wote!