Askofu Gwajima: Kimsingi Waziri wa Afya ni mke wa mdogo wangu

Sabby Masuki

New Member
Jul 29, 2021
4
45
Elimu ni muhimu sana hii nchi. Wazungu kama ni kutaka kutuua wangeshatuua zamani sana wasingesubiri mpaka kuja kutuua na chanjo ya covid.

Madawa yote haya tunayotumia yanatoka kwao sasa kwanini wasituue siku zote hizo waje kutuua sasa?
Wanatumaliza kwa akili sio kwa direct way ivo, wanapunguza population ya watu kwa njia za kibiologia
 

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
6,034
2,000
Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi sana, watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
Dini ikipitiliza inakuwa ni ulevi.
Pole mkuu....inafika mahali muamini uwezo na ukuu wa Mwenyezi Mungu hauwezi ukazidiwa na shetani au Mzungu kupitia chanjo au namna yoyote
 

MUSINGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
917
1,000
Akili za hapa na pale ndio hizi!Kwamba Mama Samia,PM,Mkuu wa majeshi,Jaji Mkuu na viongozi wale wote wanashiriki dhambi ya kutuhujumu watanzania?Tuwe na akili Basi!
Nafikiri wengine tukijamba zinatoka
 

Insigne

JF-Expert Member
Jul 3, 2021
1,299
2,000
Kimsingi tu kama chanjo hiyo unaipata Kwa Kuchomwa sindano, kwakweli wamenikosa labda walete chanjo ya Corona kupitia vidonga, ila sindano hapana
NB:Nina ugomvi wangu binafsi na sindano
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,950
2,000
Nafikiri hoja ya Gwajima imekosa watu sahihi wa kuijibu, naona kelele tu ndo zinazidi
Inakua ngum kumjib sabab hatuna mwanasayans MTz alieshirik katika kutengeneza chanjo...chanjo tumepewa kama kupewa chakula na stranger halaf anakwambia kula. Hujui kaweka nn...so ni ngum snaaaa kujib ndomana unaona kuna ukimya mkuuuu
 

kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,701
2,000
Gwajima anajibiwa Kwa hoja nyepesi sana, watu wanachanjwa sindano za mifupen wanajitokeza kwenye camera kutwambia wamechanjwa chanjo ya corona anyway kila mmoja apambane na Hali yake
Hakuna mwenye ujasiri wa kuchoma chanjo ya Corona, yale yalikuwa ni maigizo 100%
 

chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,115
2,000
Askofu Gwajima alisema Kimsingi Daktari Dorothy Gwajima ambaye ndiye Waziri wa afya wa JMT ni mke wa mdogo wake.

Ni katika kuweka kumbukumbu sawa.

Mungu ni mwema wakati wote!
basi Gwajiboy ana umri mkubwa sana, kama yule mume wa waziri ni mdogo wake? though hapo kidogo kaleta usukuma, anamaanisha waziri jina la "gwajima" sio la kuzaliwa, ni la kuolewa nalo tu hivyo sio ndugu yake sanaaa. that's the meaning.
 

Wuondruok

Senior Member
Jul 2, 2019
189
250
Inakua ngum kumjib sabab hatuna mwanasayans MTz alieshirik katika kutengeneza chanjo...chanjo tumepewa kama kupewa chakula na stranger halaf anakwambia kula. Hujui kaweka nn...so ni ngum snaaaa kujib ndomana unaona kuna ukimya mkuuuu
Leo asubuhi kwenye saa 2 asubuhi nilibahatika kumsikia Naibu Waziri Dr. Mollel akijibu maswali kuhusu hii CHANJO akiwa WASAFI FM ,, yaani ni kichekesho maana alikuwa akiongea mpaka yeye mwenyewe akahisi anaongopa ikabidi atumie nguvu ya ziada kutoa mifano sijui ya Rangi na Nguo na vingine vingi... hata wale watangazaji walimheshimu tu wakabaki kuitikia tu maongezi yake....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom